FUFA yawakana Yanga SC na Uwongo wao kuwa Beki Gift Fred kaitwa Timu ya Taifa ya The Cranes

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,646
109,034
"Mchezaji Gift Fred hajaitwa katika Kikosi cha Timu ya Taifa ya Uganda (The Cranes) na Wachezaji Wote walioitwa tumewataja na wanajulikana" amesema Afisa wa Shirikisho la Soka nchini Uganda (FUFA)

Chanzo: Sports Extra ya Clouds FM Usiku huu.

Taratibu sasa GENTAMYCINE naanza kuona Mapungufu yaliyojificha ya Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said baada ya kuyaona yale mengine ya Udanganyifu katika Usajili halafu baadae Wachezaji hao hao aliowasajili kwa Mbwembwe wanaenda Kuishtaki Yanga SC yake.

Mchezaji ana Sura ya Ajabu Ajabu kama Kandambili (Ndala) ya Sokoni iliyochoka ndiyo Kocha mwenye Akili Timamu wa Timu ya Taifa ya Uganda (The Cranes) apoteze muda wake Kumuita?
 
punguza chuki hazikusaidii kitu afu sio jambo jema kumkashfu binadamu mwenzio hujafa hujaumbika
Wana Simba na Yanga kutaniana siyo Dhambi hivyo acha Ushamba na Upimbi sawa?

Mara ngapi GENTAMYCINE naambiwa Mimi ni Mbilikimo ( Kijitu Kifupi Kilichopitiliza ) hapa JamiiForums na akina Dr Matola PhD na huwa sikuoni ukijitokeza kama hivi Kukemea / Kuwakemea?

Acha Unafiki na usinipangie la Kuandika.
 
Unataka mwanaume awe na sura nzuri kama yako.
Yani popoma umefika hatua unajivua sura nzuri na ngozi nyororo
Dar inaharibu wanaum

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"Mchezaji Gift Fred hajaitwa katika Kikosi cha Timu ya Taifa ya Uganda (The Cranes) na Wachezaji Wote walioitwa tumewataja na wanajulikana" amesema Afisa wa Shirikisho la Soka nchini Uganda (FUFA)

Chanzo: Sports Extra ya Clouds FM Usiku huu.

Taratibu sasa GENTAMYCINE naanza kuona Mapungufu yaliyojificha ya Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said baada ya kuyaona yale mengine ya Udanganyifu katika Usajili halafu baadae Wachezaji hao hao aliowasajili kwa Mbwembwe wanaenda Kuishtaki Yanga SC yake.

Mchezaji ana Sura ya Ajabu Ajabu kama Kandambili (Ndala) ya Sokoni iliyochoka ndiyo Kocha mwenye Akili Timamu wa Timu ya Taifa ya Uganda (The Cranes) apoteze muda wake Kumuita?
Mara Kiongozi wa Yanga hajui kuvaa, mara anavaa jeans zilizochanika, mara naanza kuona mapungufu yaliyojificha ya rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said......, mara mchezaji ana sura ya ajabu ajabu kama kandambili (ndala) ya sokoni iliyochoka....!!!

Hizi ni tabia za wazi kabisa za wanawake wa uswahilini, na pia zinazoashiria mwelekeo mbaya ukiwa kama mtoto wa kiume.
 
Well said.
 
Yule Gift ni Garasa tu Kama Doumbia...!

Bado anahangaika Kuchukua namba ya Job na Mwamnyeto, wakati Yanga wanajua Job ana Mapungufu ya Ufupi na Mwamnyeto ni mchezaji Maji Kupwa Maji Kujaa na ndio Sababu inahaha kutafuta mbadala..!
 
Kutwa kuizungumzia Yanga. Hii timu ni kama maji usipoyanywa utayaoga tuu.
 
Yule Gift ni Garasa tu Kama Doumbia...!

Bado anahangaika Kuchukua namba ya Job na Mwamnyeto, wakati Yanga wanajua Job ana Mapungufu ya Ufupi na Mwamnyeto ni mchezaji Maji Kupwa Maji Kujaa na ndio Sababu inahaha kutafuta mbadala..!
Hizi ndio roho za waswahili
 
Mara Kiongozi wa Yanga hajui kuvaa, mara anavaa jeans zilizochanika, mara naanza kuona mapungufu yaliyojificha ya rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said......, mara mchezaji ana sura ya ajabu ajabu kama kandambili (ndala) ya sokoni iliyochoka....!!!

Hizi ni tabia za wazi kabisa za wanawake wa uswahilini, na pia zinazoashiria mwelekeo mbaya ukiwa kama mtoto wa kiume.
Umeandika point tupu
 
Yule Gift ni Garasa tu Kama Doumbia...!

Bado anahangaika Kuchukua namba ya Job na Mwamnyeto, wakati Yanga wanajua Job ana Mapungufu ya Ufupi na Mwamnyeto ni mchezaji Maji Kupwa Maji Kujaa na ndio Sababu inahaha kutafuta mbadala..!
Haya maelezo yako uliyoandika hapa yanadhihilisha wewe ni kijana mtiifu wa Rage.
 
"Mchezaji Gift Fred hajaitwa katika Kikosi cha Timu ya Taifa ya Uganda (The Cranes) na Wachezaji Wote walioitwa tumewataja na wanajulikana" amesema Afisa wa Shirikisho la Soka nchini Uganda (FUFA)

Chanzo: Sports Extra ya Clouds FM Usiku huu.

Taratibu sasa GENTAMYCINE naanza kuona Mapungufu yaliyojificha ya Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said baada ya kuyaona yale mengine ya Udanganyifu katika Usajili halafu baadae Wachezaji hao hao aliowasajili kwa Mbwembwe wanaenda Kuishtaki Yanga SC yake.

Mchezaji ana Sura ya Ajabu Ajabu kama Kandambili (Ndala) ya Sokoni iliyochoka ndiyo Kocha mwenye Akili Timamu wa Timu ya Taifa ya Uganda (The Cranes) apoteze muda wake Kumuita?
Utokolo wanapenda sana sifa za kipumbavu
 
We jamaa unataka kuwa mafuta?
 
Yule Gift ni Garasa tu Kama Doumbia...!

Bado anahangaika Kuchukua namba ya Job na Mwamnyeto, wakati Yanga wanajua Job ana Mapungufu ya Ufupi na Mwamnyeto ni mchezaji Maji Kupwa Maji Kujaa na ndio Sababu inahaha kutafuta mbadala..!
Hivi una habari mkuu ktk kikosi cha team ya taifa hawa wote wapo ambapo wewe team yako imetoa Kennedy Juma tu ambae nae ni kwa ajili ya ku balance tu mzani ila ni tia maji tia maji tu?

Sent from my SM-A536E using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom