Uteuzi: Kanali Simbakalia ateuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Ranchi za Taifa (NARCO)

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,376
8,120
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Kanali Mstaafu, Joseph Leon Simbakalia kuwa Mwenyekiti wa Bodi Tendaji ya Kampuni ya Ranchi za Taifa (NARCO)

Simbakalia ni Mhandisi wa Jeshi Mstaafu kutoka Kikosi cha Wahandisi wa Umeme na Mitambo wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ)

Amewahi kushika nyadhifa nyingine za juu kwa kuteuliwa na Rais katika Serikali zikiwemo Ukuu wa Mkoa, Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Maendeleo la Taifa na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Maeneo Maalum ya Uzalishaji kwa Mauzo ya Nje (EPZA)
Untitled.png

1693755017435.png
 
Huko kwenye uongozi wa boards, that's where the Senior Citizens belong.
 
Wasomi sana kufuatana na CV zao lakini wanashindwa kuleta mabadiliko ya kiviwanda, ukulima wa kisasa, uwezeshaji wa kuundwa kampuni kubwa za ujenzi wa miundombinu au kuchimba madini kisha kutengeneza nondo, matofali ya dhahabu, Vito vya thamani vilivyoongezwa thamani na kuwezesha ajiri sekta zote badala ya vijana kuishia kuwa machinga, wachuuzi, waendesha bodaboda na bajaji mijini
 
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Kanali Mstaafu, Joseph Leon Simbakalia kuwa Mwenyekiti wa Bodi Tendaji ya Kampuni ya Ranchi za Taifa (NARCO)

Simbakalia ni Mhandisi wa Jeshi Mstaafu kutoka Kikosi cha Wahandisi wa Umeme na Mitambo wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ)

Amewahi kushika nyadhifa nyingine za juu kwa kuteuliwa na Rais katika Serikali zikiwemo Ukuu wa Mkoa, Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Maendeleo la Taifa na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Maeneo Maalum ya Uzalishaji kwa Mauzo ya Nje (EPZA)
VIJANA MACHAWA WA CCM SUBIRINI MKIZEEKA NDIO MTATEULIWA KWA SASA TEUZI NI ZA WASTAAFU NYIE ENDELEENI NA UCHAWA
 
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Kanali Mstaafu, Joseph Leon Simbakalia kuwa Mwenyekiti wa Bodi Tendaji ya Kampuni ya Ranchi za Taifa (NARCO)

Simbakalia ni Mhandisi wa Jeshi Mstaafu kutoka Kikosi cha Wahandisi wa Umeme na Mitambo wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ)

Amewahi kushika nyadhifa nyingine za juu kwa kuteuliwa na Rais katika Serikali zikiwemo Ukuu wa Mkoa, Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Maendeleo la Taifa na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Maeneo Maalum ya Uzalishaji kwa Mauzo ya Nje (EPZA)
Isiyo kongwe HAIVUSHI....

#SiempreSSH
 
Rushwa za uongozi ni kansa
 
Hawa vijana wa zamani wa TANU bado wanaendelea kuula.
 
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Kanali Mstaafu, Joseph Leon Simbakalia kuwa Mwenyekiti wa Bodi Tendaji ya Kampuni ya Ranchi za Taifa (NARCO)

Simbakalia ni Mhandisi wa Jeshi Mstaafu kutoka Kikosi cha Wahandisi wa Umeme na Mitambo wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ)

Amewahi kushika nyadhifa nyingine za juu kwa kuteuliwa na Rais katika Serikali zikiwemo Ukuu wa Mkoa, Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Maendeleo la Taifa na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Maeneo Maalum ya Uzalishaji kwa Mauzo ya Nje (EPZA)
Kwa teuzi za namna hii Mama hatomaliza kupanga serikali, manake kama vile lipo kundi ambalo lazima wawe katika uongozi ije jua au mvua. Kama kuna vitu CCM wana feli ni hili kundi waliloliandaa ambalo lazima liwemo katika kuongoza hata kama mtaa. NARCO ilitaka mtu kama ASAS ambaye anazo records of accomplishment sokoni hasa katika kujua mahitaji ya soko ndani na nje katika dunia ya leo. CV hii ukisoma unaona hamna ubunifu na mabadiliko yeyote NARCO yatakayo vuka expectations za tasnia hapa nchini zaidi ni beuracracy mwingine kashika hatamu.
 
Back
Top Bottom