taifa

The taifas (singular taifa, from Arabic: طائفة‎ ṭā'ifa, plural طوائف ṭawā'if, a party, band or faction) were the independent Muslim principalities of al-Andalus (Spain) that emerged from the decline and fall of the Umayyad Caliphate of Córdoba between 1009 and 1031. They were a recurring feature of Andalusian history. Conquered by the Almoravids in the late 11th century, on its collapse many taifas re-appeared only to be subsumed by the Almohads. The fall of the latter resulted in a final flourishing of the taifas, but by the end of the 13th century only one remained, Granada, the rest being incorporated into the Christian states of the north.

View More On Wikipedia.org
  1. T

    JamiiForums Tanzania Rais Samia hurumia wazee waliolitumikia taifa kwa uaminifu leo wanalipwa Tsh 3,000 kwa siku

    Raisi wangu Samia naandika post hii nikiamini kwa huwa unapitia jukwaa hili kama siku moja ulivyotwambia. kama siyo wewe kuusoma mwenyewe basi naomba wasaidizi wako wakufikishie ujumbe huu. Kuna wazee wastaafu waliolitumikia taifa hili kwa uaminifu, na unajua kuwa huko myuma hapakuwepo ujanja...
  2. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Ni hasara kubwa kuwa na wanasiasa kama Mbowe wenye kujali matumbo yao

    Kwa nini mtu usig'atuke na kupisha watu wenye nia thabiti ya kuwakomboa Watanzania? Tozo, ufisadi, umeme kukatika hovyo na wizi wa mali za umma iiuweze kudhibitiwa unahitaji viongozi wenye nia thabiti na madhubuti. Sio matapeli wa kisiasa kwenye karne kama hii. Wanaodhani siasa ni ulaghai ili...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ubungo DSM, Kibesa S/Msingi wanafunzi darasa la nne waamuliwa kuchangia sh. 1,000/ mfululizo mpaka watakapofanya mtihani wa taifa

    Kibesa S/msingi wilaya ya Ubungo, jijini Dar Es Salaam, wanafunzi wa darasa la nne waamuliwa kufanya mtihani mfululizo kwa gharama ya sh. 1,000 kila mwanafunzi na kwa darasa zima lenye wanafunzi 120 linalazimika kuchanga kiasi cha sh.120,000/ ikitajwa kuwa ni posho ya Mwalimu na gharama ya...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Kama Taifa tumeshindwa kweli kutoka hapa tulipo hata kwa mambo madogo?

    Wakuu habari za wakati huu, Kama Taifa kwa miaka 60 tumeshindwa kupiga hatua katika kila nyanja hata mambo madogo yametushinda inashangaza hata mambo madogo ya wananchi kuzaa kwa mpangilio tu ili kumudu gharama za maisha haiwezekani? Mtu ana chumba kimoja ana watoto wanne mtu huyu atapiga...
  5. Watchaman255

    JamiiForums Tanzania Mambo mawili yanabaki kuwa alama ya uzalendo wa Waziri Mchengerwa kwa taifa lake

    G.O.A.T Mambo mawili yanabaki kuwa alama ya uzalendo wa Waziri M. Mchengerwa kwa taifa lake! Mosi: Agizo lake akiwa OR Utumishi alipokuwa anaapisha Bodi ya Nne ya Sekretalieti ya Ajira kuwa, "Kuanzia leo (siku hiyo) ajira zote za umma zipitie utumishi ili kuondoa upendeleo na kuweka usawa...
  6. Mkurugenzi Wa Mashirika

    JamiiForums Tanzania Matatizo yote ya taifa letu yanatokana na kutokujua kiingereza vizuri na msingi mbovu wa kiingereza

    Matatizo yote ya taifa letu yanatokana na kutokujua kiingereza vizuri na msingi mbovu wa kiingereza. Huo ndio ukweli lazima tuuseme. Ukiingalia mataifa yote yanayotumia kiingereza kama official language yanatuzidi sana kwenye maendeleo na kutekeleza mambo muhimu. Watu wao wako very seriously...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais Samia yalituliza Taifa na Kukata kiu ya Watanzania juu ya changamoto ya umeme

    Ndugu zangu Watanzania, Leo Rais samia Amekata kiu ya watanzania na kulituliza Taifa ambapo muda mwingi walikuwa wanataka kusikia kauli yake juu ya changamoto ya kukatika kwa umeme. Kwa utulivu ,upole,uthabiti na uimara wa hali ya juu sana amelieleza Taifa sababu ya chagamoto hiyo na mikakati...
  8. kavulata

    JamiiForums Tanzania TFF waliwaza nini kuipa Sandaland tenda ya jezi za timu za taifa?

    Ninachofahamu Mimi Simba na mashabiki wa Simba waligomea mkataba wa TFF na GSM kuidhamini ligi. Simba na mashabiki wao waligomea kuvaa jezi zenye logo ya GSM. Hivi karibuni TFF imeingia mkataba wa miaka 10 na kampuni inayotengeneza jezi za timu ya Simba, Sandaland kutengeneza jezi za timu za...
  9. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu: Adui wa taifa sio Ujinga, umasikini na maradhi, bali ni ni lishe

    Aliyebuni kula liugali kubwa na kamboga kadoko au wali lumbesa na tumaharage kidogo ndio katufikisha hapa. Tunakula ili tujaze tumbo sio kushibisha seli hai kwa virutubisho jengefu. Watu wengi tunashiba tumboni lakini seli za ubongo na za maamuzi ya msingi zinalala njaa kila siku. Matokeo yake...
  10. nyboma

    JamiiForums Tanzania UTEUZI: Maharage Chande aondolewa TTCL, ateuliwa kuwa Postamasta, Ulanga arudishwa TTCL

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi kama ifuatavyo: Amemteua Bw. John Ulanga kuwa Balozi. Bw. Ulanga ni Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF). Amevunja Bodi ya Wakala wa Nishati Vijijini (REA) na amemteua Balozi Meja...
  11. Kingsharon92

    JamiiForums Tanzania Miaka 20 ijayo Bila hatua stahiki tunaenda kuwa na taifa la watu kati

    Naandika kwa masikitiko sana Nikiangalia vijana wanavyoteketea kwa pombe, ugoro, bangi, sigara Mpaka napata kichefuchefu Unakutana na kijana miaka 19 mpaka 30 hawajulikani Ni vijana au wazee nadiriki kuwaita ni watu kati si wazee si vijana yaani wapo wapo tu sura zimepauka nguvu walizobakiza ni...
  12. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania Tanzania imekuwa nchi ya matukio; hongera CCM kwa kufaulu kujenga Taifa la namna hii

    Wiki chache zilizopita tulishuhudia mjadala mkali kuhusu bandari, baadaye kukaibuka tetesi za rupia kupenyezwa kwa baadhi ya wakazi wa Ufipa ili wajiondoe katika mjadala huu. Dkt. Slaa, Dkt. Nshallah, Mwabukusi, Tundu Lissu, TEC na wananchi wengine wakaendelea kutoa elimu kuhusiana na kile...
  13. MK254

    JamiiForums Tanzania Jengo la Usalama wa Taifa Urusi lapigwa bomu na drone ya Ukraine

    Dah! Sasa ikiwa usalama wa taifa (FSB) hawapo salama nani mwingine yuko salama....kama mashairi vile ==== A Ukrainian drone hit an FSB building in the city centre of Kursk, Russia, on the morning of 24 September, a source from Ukraine’s Defence Intelligence claims. Source: source of Ukrainska...
  14. Melubo Letema

    JamiiForums Tanzania Mwanariadha Mtanzania Magdalena Shauri aweka Rekodi ya Taifa Berlin Marathon

    Mwanariadha pekee wa Tanzania wa kike, Magdalena Shauri ameshika nafasi ya Tatu na kuweka rekodi ya Taifa kwa kukimbia muda wa 2:18:41 katika mashindano ya berlin Marathon Leo huko Ujerumani. === Assefa clocked 2hr 11min 53sec, more than two minutes ahead of the previous world mark of 2:14:04...
  15. mugah di matheo

    JamiiForums Tanzania Taifa stars, kizazi hiki Cha kuanzia 2000 ndio tumeshuhudia stars bora kuwahi kutokea

    Kuanzishwa 1925 Mchezo wa kwanza Uganda 3-10 Tanganyika Baada ya Muungano 1969 Tanzania 10-1 Kenya Ushindi mkubwa kwenye mechi ya mashindano Tanzania 7-0 somalia,,,jinja Uganda 1/12/1995 na Kampala 1/5/2012.. Kipigo kikubwa .. Tanganyika 8-9 Kenya 1956. Baada ya Muungano Algeria 7-0...
  16. comte

    JamiiForums Tanzania Hii ndiyo hali ya Nishati ya Umeme katika Taifa letu

    Top 10' ya mikoa iliyoongoza kwa matumizi makubwa ya umeme 2022: 1.Dar es Salaam-2,805.9 GWH 2.Pwani-635.7GWH 3.Arusha-413.9 GWH 4.Shinyanga-411.2 GWH 5.Tanga-408.7 GWH 6. Mwanza-344.5 GWH 7. Morogoro-307.5 GWH 8.Dodoma-249.3 GWH 9.Mbeya-231.5GWH 10.Mara-215.1 GWH
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa UWT Taifa amtaka DED Busega ajitafakari

    Mwenyekiti wa UWT Taifa, Mary Chatanda amemtaka Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Busega, Veronica Vicent kujitafakari juu ya utendakazi wake ndani ya Wilaya hiyo. Chatanda amesema kuwa amesikitishwa na namna ya utendaji kazi wa Mkurugenzi huyo ambavyo hauko vizuri kwenye Halmashauri hiyo...
  18. Supu ya kokoto

    JamiiForums Tanzania Serikali ingilieni kati, Yanga inaangamiza taifa

    Mashabiki na wapenzi wengi wa Yanga watapata kisukari kwa utamu wanaoupata kutoka Yanga....hili ni tatizo lidhibitiwe. Lakini pia wale wa upande wa pili Wana kila dalili ya matatizo ya afya ya akili pamoja na makasiriko. Kwa Yanga hii Sasa tunakuwa na taifa la wagonjwa na tatizo ni hii YANGA...
  19. Dr Msaka Habari

    JamiiForums Tanzania Pato la taifa kupitia Sekta ya Bima inatajwa kukua

    Ukuaji wa Pato la Taifa kupitia Sekta ya Bima Nchini inatajwa kukua kwa kipindi cha miaka mitano ambapo mauzo ghafi ya Bima yameongezeka hadi kufikia Trilioni 1.2, ukilinganisha na ongezeko la shilingi Bilioni 691.9, mwaka 2018. Akitoa ufafanuzi wa ongezeko hilo, Kamishna wa Bima kutoka Mamlaka...
  20. Msanii

    JamiiForums Tanzania Ukubwa wa mtu yaani cheo uendane na uzalendo kwa TAIFA. Msitutishe na sheria mbovu mlizotunga

    Sheria nyingi zimetungwa kulinda hadhi za viongozi kama kinga hususan hata wakiwa wapuuzi na majizi yanajitwika heshima na staha wasiyo stahili. Mnataka tuwaite waheshimiwa lakini hakuna hata heshima moja mnayostahili. Mnatumia mamlaka vibaya kukandamiza wananchi wanaohoji na kukosoa. Kuhusu...
Back
Top Bottom