Najua leo Taifa Stars inafuzu AFCON, ila ingefungwa na kutofuzu ningekuwa ni mwenye furaha kubwa

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,690
109,123
Kwangu mimi Taifa Stars isiyo na Wachezaji wangu ninaowakubali akina Kapombe, Tshabalala, Feitoto, Kipa Kinda Ali Salim na yenye Wachezaji wabovu akina Mkude, Boko (Mfalme wa Miba Tanzania ) Mzize na Himid Mao Mkami ni batili.

Hongereni Taifa Stars kwa kufuzu tena AFCON, ila binafsi kama GENTAMYCINE sijafurahi kufuzu kwenu ila sina jinsi.
 
Kwangu Mimi Taifa Stars isiyo na Wachezaji wangu ninaowakubali akina Kapombe, Tshabalala, Feitoto, Kipa Kinda Ali Salim na yenye Wachezaji wabovu akina Mkude, Boko ( Mfalme wa Miba Tanzania ) Mzize na Himid Mao Mkami ni Batili.

Hongereni Taifa Stars kwa Kufuzu tena AFCON, ila Binafsi kama GENTAMYCINE sijafurahi Kufuzu Kwenu ila sina jinsi.
Kwani imekuwaje bro?
 
Hata wakipigwa wanafuzu?
 
Haini na Gaidi
 
Kwangu mimi Taifa Stars isiyo na Wachezaji wangu ninaowakubali akina Kapombe, Tshabalala, Feitoto, Kipa Kinda Ali Salim na yenye Wachezaji wabovu akina Mkude, Boko (Mfalme wa Miba Tanzania ) Mzize na Himid Mao Mkami ni batili.

Hongereni Taifa Stars kwa kufuzu tena AFCON, ila binafsi kama GENTAMYCINE sijafurahi kufuzu kwenu ila sina jinsi.
Ali Salum akacheze Taifa Stars? Nchi imekuwa na Uhuru wa kujieleza hiii!!!
 
Kwangu mimi Taifa Stars isiyo na Wachezaji wangu ninaowakubali akina Kapombe, Tshabalala, Feitoto, Kipa Kinda Ali Salim na yenye Wachezaji wabovu akina Mkude, Boko (Mfalme wa Miba Tanzania ) Mzize na Himid Mao Mkami ni batili.

Hongereni Taifa Stars kwa kufuzu tena AFCON, ila binafsi kama GENTAMYCINE sijafurahi kufuzu kwenu ila sina jinsi.
Acha unafiki pompoma wewe
 
Back
Top Bottom