Kenya: Serikali yashusha gharama za kuhuisha Vitambulisho vya Taifa baada ya Mahakama Kuu kuweka zuio la Kupandisha

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,376
8,120
1700069577719.png

Wizara ya Mambo ya Ndani imetangaza kufanya mabadiliko ya gharama za kupata Hati ya Kusafiria, Kitambulisho cha Taifa, Kibali cha Kazi, Cheti cha Kuzaliwa na Kifo ikiwa ni siku chache tangu Mahakama Kuu isitishe tangazo la kupandisha gharama za huduma hizo.

Kwa mujibu wa taarifa ya Wizara, mabadiliko hayo yataanza Januari 1, 2024 ambapo Maombi ya Kitambulisho cha Taifa yatakuwa Tsh. 4,920 badala ya Tsh. 16,401, Kitambulisho cha Taifa kilichopotea itakuwa Tsh. 16,401 badala ya Tsh. 32,803.

Gharama za kuomba Hati ya Kusafiria ya kurasa 34 imepanda hadi Tsh. 123,013 kutoka Tsh. 73,808, Hati ya Kusafiria yenye kurasa 50 imepanda kutoka Tsh. 106,611 hadi Tsh. 155,817, Hati yenye kurasa 66 itagharimu Tsh. 205,022.

Gharama za maombi ya Cheti cha Kuzaliwa na Kifo zitakuwa Tsh. 3,280 kutoka Tsh. 820. Hata hivyo, kwa mara nyingine tangazo la mabadiliko hayo limewekewa pingamizi katika Mahakama Kuu likitaka Serikali kushusha gharama zaidi.

============

The government has revoked a Gazette Notice issued on November 7, 2023, that announced an increase in charges for some services including passport, ID, work permit, birth and death certificate applications to allow for public participation on the matter.

Following the withdrawal of the earlier Gazette Notice, the Interior CS has gazetted new intended charges for the same services to take effect on January 1, 2024.

In the new Gazette Notice however, the government has made minimal changes, with most of the charges such as application of passports, death and birth certificates being retained as previously published on November 7, 2023.

The only significant change however is the application for national IDs. The government had intended to increase the fee for first-time ID applications to Ksh.1,000 but has now reviewed the cost downward to Ksh.300.

The fee for replacement of lost IDs has also been reviewed to Ksh.1,000 instead of the intended Ksh.2,000.

The fee for application of the standard 34-page passport has been set at Ksh.7,500 from the current Ksh.4,500.

A 50-page ordinary passport will also cost applicants Ksh.9,500 from the existing Ksh.6,000 while the application fee for a 66-page ordinary passport will rise by Ksh.5,000 to cost Ksh.12,500.

New birth certificate applications will also cost Ksh.200 from Ksh.50. Application fees for death certificates have also quadrupled to Ksh.200.

Kindiki further announced that on the particular issue of the acquisition of National IDs by previously not registered citizens, the Government shall waive the fees for Kenyans who demonstrate an inability to pay.

In a statement issued on Tuesday, Interior Cabinet Secretary Kithure Kindiki said the State Department for Immigration and Citizen Services has been directed to conduct and complete public participation not later than December 10, 2023.

The High Court had suspended the revoked notice with yet another petition against the revision of the charges filed on Tuesday.

CITIZEN DIGITAL
 
Kenya Serikali inatii hukuma za mahakama ila Tanzania sijui tuna shida! Utasikia Rais anasema maamuzi ya mahakama hayawezi kuzingatiwa na kumpongeza aliepinga maamuzi ya mahakama! Alafu tunajidanganya tuna utawala wa sheria katika nchi yetu!
 
Hakuna jipya hapo, ni mwendo wa tozo kila kona.

Wanatuhadaa eti mahakama imeweka pingamizi, hivi tangu lini sikio likazidi kichwa?
 
Back
Top Bottom