Tuiombee nchi ya Israel: Haikanushiki kuwa Israel ni Taifa teule la Mungu. Hii haina maana kuwa Waisrael wote hawana makosa, tuwaombee

mpolekabisa

Senior Member
Oct 18, 2023
161
221
Tatizo la msingi la Wayahudi ni kauli yao hii waliyoisema juu ya Yesu: Math 27:25. Wakasema damu yake na iwe juu yetu na juu ya watoto wetu! Tuwaombee Mungu awape kutubu na kupokea rehema. Natamani Mungu awajalie kutubu kama taifa la NINAWI lilivyotubu kwa mahubiri ya Nabii Yona!
 
Huyo Mungu wenu mpuuzi ameshindwa kuwafanya waafrika weusi muwe na akili ili mambo ya kipuuzi kama haya muache.

Mungu, Mungu ( taka taka kabisa ) huku umasikini,ujinga na upuuzi ukikithiri Afrika huyo Mungu sijui kajificha huko mapangoni kama mwizi.
 
Israeli apartheid, military occupation, settler colonialism and ethnic cleansing is crime against humanity. Israel has violated 28 resolutions of the United Nations Security Council (which are legally binding on member-nations U.N. Charter, Article 25 (1945); a few sample resolutions - 54, 111, 233, 234, 236, 248, 250, 252, 256, 262, 267, 270, 280, 285, 298, 313, 316, 468, 476, etc.
 
1699521980245.png
 
Huyo Mungu wenu mpuuzi ameshindwa kuwafanya waafrika weusi muwe na akili ili mambo ya kipuuzi kama haya muache.

Mungu, Mungu ( taka taka kabisa ) huku umasikini,ujinga na upuuzi ukikithiri Afrika huyo Mungu sijui kajificha huko mapangoni kama mwizi.
Punguza manenoMungu yupo na ataendelea kuwepo. Wewe unafikiri dunia inajiendesha yenyewe. Huyo Mungu utamjua tu siku moja lakini itakuwa too late kwako kutubu.
 
MKUU KWANI WEWE MUNGU WA WAARABU ALLAH MBONA MPUUZI TU KASHINDWA BALI KUWAFANYA WAISLAMU WAWE NA AKILI ZA KUWAZA MABIKIRA 72 TU NA SIO MAISHA.
NB: ANGALIA MAISHA YA WAISLAMU
SOMALIA,NIGERIA,CHAD,SUDAN,YEMEN, NA AFGHANISTAN,PAKISTAN,BANGLADESH KWA UCHACHE TU
 
Mimi masuala ya Mungu wa waarabu sijui Allah yana nihusu nini mimi ?

Wewe ni mpumbavu
 
Punguza manenoMungu yupo na ataendelea kuwepo. Wewe unafikiri dunia inajiendesha yenyewe. Huyo Mungu utamjua tu siku moja lakini itakuwa too late kwako kutubu.
Mungu hayupo na hata uwezekano wa kuwepo kwake Haupo.

Na wewe unadhani huyo Mungu ana jiendesha mwenyewe?

Kama huyo Mungu ameweza kujiendesha mwenyewe, Dunia Inashindikana vipi kujiongoza?

Hakuna ulazima wa kwamba Dunia ina ongozwa.

Haupo.

Mungu hayupo.
 
Tatizo la msingi la Wayahudi ni kauli yao hii waliyoisema juu ya Yesu: Math 27:25. Wakasema damu yake na iwe juu yetu na juu ya watoto wetu! Tuwaombee Mungu awape kutubu na kupokea rehema. Natamani Mungu awajalie kutubu kama taifa la NINAWI lilivyotubu kwa mahubiri ya Nabii Yona!
Unaweza ukatubu kwa niaba yao na Mungu akakusikia, Israel inao waombaji tena wengi tu dunia nzima ambao daima hudumu katika maombi🙏
 
Back
Top Bottom