Wako watu kama akina Mkwawa, Kinjekitile, Isike na wengine ambao waliomwaga damu zao wakati wa kuitetea nchi hii. Kupinga dhuluma na fedheha za kutawaliwa. Lakini wapo Watanzania hadi leo ambao wanamwaga damu zao kuilinda nchi hii na kupinga dhuluma na kutetea misingi ya kidemokrasia na utawala...