The taifas (singular taifa, from Arabic: طائفة ṭā'ifa, plural طوائف ṭawā'if, a party, band or faction) were the independent Muslim principalities of al-Andalus (Spain) that emerged from the decline and fall of the Umayyad Caliphate of Córdoba between 1009 and 1031. They were a recurring feature of Andalusian history. Conquered by the Almoravids in the late 11th century, on its collapse many taifas re-appeared only to be subsumed by the Almohads. The fall of the latter resulted in a final flourishing of the taifas, but by the end of the 13th century only one remained, Granada, the rest being incorporated into the Christian states of the north.
Footballers with degrees: Kompany, Mata & 10 players who went to university | Goal.com
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa Jamiiforums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty. Eti ndugu zangu watanzania;
Kwanini Tanzania inashindwa...
Kigogo ni lugha ya Wagogo toka Dodoma, sababu zinazopelekea kuipendekeza lugha hii kuwa lugha ya Taifa ni:
Kwanza ina kitu tunachoita Yodo, kisomi Yodo ni hali ya muziki wa utulivu toka nyimbo za Afrika Kusini, Wanyakyusa, Wanaigeria na nyimbo za marehemu Komba.
Pili wanaozungumza Kiswahili...
Nimesikia mahala kuwa COMMANDO (si lazima awe wa Tanzania) ana uwezo wa kupata taarifa nyeti hata kuliko Mwana Usalama Taifa mwenyewe. Kwa mfano; COMMANDO wa Malawi anaweza akaenda nchini Zimbabwe katika maeneo yao muhimu na akapata akitakacho na wala asishtukiwe, lakini kwa Usalama wa Taifa wa...
Mutharika kaaanguka.
Haki imetamalaki Wananchi wameamua kumtoa kuhani madarakani. Sio mapolisi wala wana wa usalama walioingilia mchakato. Hatukusikia IGP wa huko wakiingilia mchakato na kuviita vyama vya upinzani vikiitwa vyama vya hovyohovyo kama anavyoita hapa kwetu bwana SIMON SIRRO.
Hii...
WAJUMBE WA BARAZA KUU LA TAIFA CUF & WILFRED LWAKATARE WAITEKA TANGA. KILA WILAYA WANAYOFIKA WAPOKELEWA KIPEKEE
Wajumbe wa Baraza Kuu la Taifa CUF wameamua kufika kila wilaya kuzungumza na wanachama na Viongozi wa CUF kuweka mikakati kuelekea katika Uchaguzi Mkuu.
Wameanza na Mkoa wa Tanga na...
Habari wana JF,
Kwa masikitiko makubwa naomba nitoe maoni yangu chefuzi. Watu wetu wana IQ ndogo, kwa sababu ya hofu wanashangilia udhalimu na kupigia mapambio uonevu.
Je, kazi ya akili ni nini, ikiwa haikufikirishi? Je, kazi ya elimu ni nini ikiwa haikuelimishi? Ikiwa unauza utu wako kwa...
Jeshi la Polisi Mkoani Tanga wilayani Pangani, limewakamata viongozi wa cuf pia ni wajumbe wa baraza kuu la taifa la CUF. Wamekamatwa wakiwa katika ujenzi wa chama
#hatuwezikurudinyuma.
Tundu Lissu na rekodi yake ya kisiasa, ati sasa naye anautaka Urais.
...............
APR
17
EDWIN MTEI ASIKITISHWA NA ALAANI KITENDO CHA TUNDU LISSU KUMTUKANA BABA WA TAIFA, MWL. NYERERE
Nilimsikiliza Mheshimiwa Tundu Lissu na nasikitika kwamba sikubaliani naye jinsi alivyoeleza shutma juu na...
Ile kauli ya Baba wa Taifa Mwl. J.K. Nyerere(rip) kuwa tunataka Rais atakaye HESHIMU Katiba ya nchi na kwamba hatuwezi kuwa na Rais anayelala na mkewe usiku na halafu kesho yake asubuhi anatoa tamko.
Leo imejidhihirisha kwa Rais Magufuli aliposema kuwa kumbe: MAAMUZI YAKE YA UTEUZI NA...
Naliomba jeshi letu JWTZ liiombe Serikali yetu isitumie sare zake kwa namna yoyote ile kwenye post za kiraia.
Wala nafasi kubwa za kiraia za kuchaguliwa zisivae sare za jeshi letu kamwe.
Sababu.
Tunaànza kuona jeshi linatumika kisiasa kabisa wazi wazi Sasa wananchi wasije kutafsiri under...
====
BAADA ya kutoka sare katika mchezo wao uliopita dhidi ya Ruvu Shooting, hatimaye kikosi cha Simba kimeibuka na ushindi wao wa kwanza leo dhidi ya Mwadui, Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam tangu kurejea kwa Ligi Kuu Bara, Juni 13.
Ligi Kuu Tanzania Bara ilisitishwa Machi 17 kutokana...
Najua kuna watakao elewa hili ni kuna ambao hawataelewa hili;
Kama taifa inabidi wakati tuamue kama taifa tunataka kuwa taifa la namna gani,Je tunataka kuwa taifa la walalamishi,walaumuji,wajutaji na watu tusio na mbele wala nyuma au tunataka kuwa taifa la watu jasiri waleta mabadiliko waota...
Mbunge wa Kwahani na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa katika serikali ya awamu ya Tano Dkt. Hussein Mwinyi achukua fomu kwa lengo la kuwania nafasi ya Urais wa Zanzibar katika ofisi za chama cha Mapinduzi (CCM) Kisiwandui mjini Unguja.
WASIFU
Dkt. Hussein Ali Mwinyi ni Waziri wa...
Habari!
Serikali ya Marekani chini ya rais Donald Trump imemshitaki mshauri mkuu wa zamani wa usalama wa taifa, John Bolton, ili kuzuia kuchapishwa kwa kitabu chake kipya kinachohusu wakati wake alipokuwa katika ikulu ya White House.
John Bolton.
Kitabu hicho kilichopewa jina "The Room Where...
"Darasa la 7 wataanza Mitihani Oktoba 7-8, Kidato cha 2 wataanza Nov 9 -20, wanaomaliza Kidato cha 4 na wa kujitegemea, wataanza Nov 23 hadi Disemba 11, na Darasa la Nne wataanza Novemba 25 - 26, 2020 " -Waziri wa Elimu, Prof Joyce Ndalichako.
"Kidato cha 5 wataanza kufanya mitihani Julai 24...
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. John Magufuli amechukua fomu ya kuwania kinyang'anyiro cha Urais katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu. Magufuli amekabidhiwa fomu hiyo na Katibu Mkuu wa CCM Taifa, Dkt. Bashiru Ally, Makao Makuu ya CCM, Dodoma.
Maendeleo hayana vyama!
Habari wadau. Pole na majukumu ya kujenga taifa. Wananchi wa chini wanapambana vya kutosha kusogeza taifa letu mbele, nguvu kazi zao na jitihada hukwamishwa na sera duni za nchi, sheria duni za nchi, taasisi na serikali isio-lenga kumnasua mtanzania wa chini kwenye umaskini uliokithiri.
Hayo...
Nchi yetu imekuwa kituko sana siku hizi. Ukisikiliza hata vyombo vya habari vya nje jinsi wanavyoizungumzia nchi utafikiri wanaizungumzia Sudani ya Kusini, DRC au nchi zile zilizotawaliwa kimabavu.
Imeonekana viongozi wetu wengi wamepoteza weledi na wamekuwa wachumia tumbo na matapeli mbele ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.