TISS mnatuangusha tunaowaamini kwa kutomsaidia Rais na Mali za Taifa letu

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,647
109,034
TISS inawezekana vipi Mtu anakopa au anaiba Pesa za Watanzania na Kukimbia nchi halafu hamjui?

TISS kuna Matukio mengi sana yanaendelea nchini ambayo mna Dhamana nayo Kiusalama ila huwa hakuna hatua mnazochukua Kukabiliana nazo.

Hivi TISS mnajua kuwa mnaaminika n kuheshimika sana na Watanzania kuliko hata Taasisi zingine nchini?

TISS kama kweli mngekuwa imara Kiutendaji Wala jana ( Mama / Rais ) asingelalamika vile huku akiwa na Masikitiko makubwa.

TISS kama mnaweza Kufuatilia mambo mengine ( hata yale yasiyokuwa ya Msingi ) mnashindwa nini Kukabiliana na Hawa Wanaoitafuna Kiulini Keki ya Tanzania?

TISS hivi Wengine ( Watu wa Kawaida ) hapa JamiiForums ( hasa Mimi GENTAMYCINE ) tukiwa tunawapeni Changamoto na Ushauri huwa mnaufanyia Kazi japo mnaweza kuwa mnatudharau mkiamini hatuna a,b,c's za Mambo ya Kiusalama?

TISS Wengine tunaumia kwa tunayoyaona na mambo kuharibika huku mkiwepo kwakuwa mmetulea ( hasa Kifamilia ) na tunajiuliza mbona TISS ya kuanzia Uhuru au aliyomaliza nayo Mzee ( Family Friend ) Marehemu Cornel Apson Mwang'onda ( Baba Jimmy ) aliyewahi kuwa DGIS ilikuwa Imara na kamwe haikutiliwa mashaka kama TISS ya sasa?

Mwisho ni Ombi langu tu GENTAMYCINE Kwenu TISS kuwa hebu rejeeni na ule mtindo wenu wa Kuajiri Watu Werevu hasa, wenye Vimelea vyote vya Kimuonekano kuwa wanafaa kwa Kazi yenu hiyo Kubwa na Nyeti lakini achaneni na Mtindo Siri wa sasa wa Kuajiri Watu wenu ( wa Idara ) kutoka UVCCM au kwa Vimemo vya Watawala Wastaafu, Watoto wao wenye Ushawishi, Wakuu ( Wakurugenzi wenu ), Wakuu wa Taasisi zingine za Kimedani, Mawaziri, Wabunge, Wakuu wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya na Mahawara.

Japo mna Mapungufu yenu kadhaa ya Kiutendaji ila bado GENTAMYCINE nina Imani Kubwa nanyi na natambua pia Uwajibikaji wenu Uliotukuka katika Usalama wa Taifa letu hili zuri la Tanzania.
 
Tatizo is tiss Lipo kwenye katiba WAO kazi yao ni kutoa taarifa tu ila hawana wajibu wa kukamata/kudhibiti Mpaka wapewe ruhusa na mwanasiasa(Rais na genge lake)

Marehemu Cornel Apson Mwang'onda alionekana imara sababu alikuwa anauwezo kwa ku-programe tukio jinsi anavyotaka iwe na alikuwa anauwezo wa kujenga hoja
Kubwa zaidi alikuwa anajiamini (wengi wao hasa top officer wa sasa hawajiamini)
 
do GENTAMYCINE nina Imani Kubwa nanyi na natambua pia Uwajibikaji wenu Uliotukuka katika Usalama wa Taifa letu hili zuri la Tanzania.
Shida ni kuwa GENTAMYCINE pale walipoanza kusifiwa au kupewa sifa wasizokuwa nazo ndiyo shida ilipoanzia .

Ni mimi mpaka mwaka 2002 na umri wangu wakati huo na elimu yangu na kuishi wanapokaa na kufanya mipango kazi sikuwahi hata kuona vitambulisho vyao .

Ni mpaka nilipoamua kuvitafuta ili nivijue vikoje basi ikawa ni ujinga mtu sasa hivi wako bize kujitangaza kwa kila rika .

Mpaka mkulima ukimuuliza kitambulisho cha Teeth anakuambia kikoje kwa kutaja S-CODE Mpaka No CODE sasa hapo unafikiri kuna usalama tena rafiki .

Sasa hivi wako bize na ujinga ujinga kikubwa warejee mihiko na utaratibu wa huko nyuma kutoka 2002 kushuka chini la sivyo hatuna watu wa kuangalia usalama wa taifa letu .

"Stupid pumbavu kabisa" Alisikika dada mmoja pale chumba namba 17 , akiwafokea watoto wake waliodokoa mboga .
 
TISS inawezekana vipi Mtu anakopa au anaiba Pesa za Watanzania na Kukimbia nchi halafu hamjui?

TISS kuna Matukio mengi sana yanaendelea nchini ambayo mna Dhamana nayo Kiusalama ila huwa hakuna hatua mnazochukua Kukabiliana nazo.

Hivi TISS mnajua kuwa mnaaminika n kuheshimika sana na Watanzania kuliko hata Taasisi zingine nchini?

TISS kama kweli mngekuwa imara Kiutendaji Wala jana ( Mama / Rais ) asingelalamika vile huku akiwa na Masikitiko makubwa.

TISS kama mnaweza Kufuatilia mambo mengine ( hata yale yasiyokuwa ya Msingi ) mnashindwa nini Kukabiliana na Hawa Wanaoitafuna Kiulini Keki ya Tanzania?

TISS hivi Wengine ( Watu wa Kawaida ) hapa JamiiForums ( hasa Mimi GENTAMYCINE ) tukiwa tunawapeni Changamoto na Ushauri huwa mnaufanyia Kazi japo mnaweza kuwa mnatudharau mkiamini hatuna a,b,c's za Mambo ya Kiusalama?

TISS Wengine tunaumia kwa tunayoyaona na mambo kuharibika huku mkiwepo kwakuwa mmetulea ( hasa Kifamilia ) na tunajiuliza mbona TISS ya kuanzia Uhuru au aliyomaliza nayo Mzee ( Family Friend ) Marehemu Cornel Apson Mwang'onda ( Baba Jimmy ) aliyewahi kuwa DGIS ilikuwa Imara na kamwe haikutiliwa mashaka kama TISS ya sasa?

Mwisho ni Ombi langu tu GENTAMYCINE Kwenu TISS kuwa hebu rejeeni na ule mtindo wenu wa Kuajiri Watu Werevu hasa, wenye Vimelea vyote vya Kimuonekano kuwa wanafaa kwa Kazi yenu hiyo Kubwa na Nyeti lakini achaneni na Mtindo Siri wa sasa wa Kuajiri Watu wenu ( wa Idara ) kutoka UVCCM au kwa Vimemo vya Watawala Wastaafu, Watoto wao wenye Ushawishi, Wakuu ( Wakurugenzi wenu ), Wakuu wa Taasisi zingine za Kimedani, Mawaziri, Wabunge, Wakuu wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya na Mahawara.

Japo mna Mapungufu yenu kadhaa ya Kiutendaji ila bado GENTAMYCINE nina Imani Kubwa nanyi na natambua pia Uwajibikaji wenu Uliotukuka katika Usalama wa Taifa letu hili zuri la Tanzania.
Hawa ticks wanapenda kazi za kunyonga na kutupa porini, hizi za uchunguzi na usalama wa fedha za umma hawawezi.
 
Wewe kama nani wa kutuambia nini cha kufanya na nini tusifanye?

Sasa ngoja tukutafute utueleze vizuri mbele yetu.
 
Ati hawafanyi kazi huyu kizibo kweli. Hayo unayoyasikia unadhani ni malaika wameyashusha?
Hebu wapewe meno zaidi uone moto wake.
 
TISS inawezekana vipi Mtu anakopa au anaiba Pesa za Watanzania na Kukimbia nchi halafu hamjui?

TISS kuna Matukio mengi sana yanaendelea nchini ambayo mna Dhamana nayo Kiusalama ila huwa hakuna hatua mnazochukua Kukabiliana nazo.

Hivi TISS mnajua kuwa mnaaminika n kuheshimika sana na Watanzania kuliko hata Taasisi zingine nchini?

TISS kama kweli mngekuwa imara Kiutendaji Wala jana ( Mama / Rais ) asingelalamika vile huku akiwa na Masikitiko makubwa.

TISS kama mnaweza Kufuatilia mambo mengine ( hata yale yasiyokuwa ya Msingi ) mnashindwa nini Kukabiliana na Hawa Wanaoitafuna Kiulini Keki ya Tanzania?

TISS hivi Wengine ( Watu wa Kawaida ) hapa JamiiForums ( hasa Mimi GENTAMYCINE ) tukiwa tunawapeni Changamoto na Ushauri huwa mnaufanyia Kazi japo mnaweza kuwa mnatudharau mkiamini hatuna a,b,c's za Mambo ya Kiusalama?

TISS Wengine tunaumia kwa tunayoyaona na mambo kuharibika huku mkiwepo kwakuwa mmetulea ( hasa Kifamilia ) na tunajiuliza mbona TISS ya kuanzia Uhuru au aliyomaliza nayo Mzee ( Family Friend ) Marehemu Cornel Apson Mwang'onda ( Baba Jimmy ) aliyewahi kuwa DGIS ilikuwa Imara na kamwe haikutiliwa mashaka kama TISS ya sasa?

Mwisho ni Ombi langu tu GENTAMYCINE Kwenu TISS kuwa hebu rejeeni na ule mtindo wenu wa Kuajiri Watu Werevu hasa, wenye Vimelea vyote vya Kimuonekano kuwa wanafaa kwa Kazi yenu hiyo Kubwa na Nyeti lakini achaneni na Mtindo Siri wa sasa wa Kuajiri Watu wenu ( wa Idara ) kutoka UVCCM au kwa Vimemo vya Watawala Wastaafu, Watoto wao wenye Ushawishi, Wakuu ( Wakurugenzi wenu ), Wakuu wa Taasisi zingine za Kimedani, Mawaziri, Wabunge, Wakuu wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya na Mahawara.

Japo mna Mapungufu yenu kadhaa ya Kiutendaji ila bado GENTAMYCINE nina Imani Kubwa nanyi na natambua pia Uwajibikaji wenu Uliotukuka katika Usalama wa Taifa letu hili zuri la Tanzania.
Kuna intelligence failures nyingi Sana ndani ya Nchi. Mojawapo NI Hilo alilosema Mama Jana. Mengine Acha tukae kimya tusije jikita matatizoni

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
 
Jina TISS lilikua siri kubwa ,utendaji kazi wao ulikua impartial na smart, na ilikuwa ipo respected na iliwatia hofu mafisadi na wezi wa pie yetu, Leo hii hata kuficha number plates za magari yao ni zero, na upuuzi mkubwa kuweka double number plate kwenye gari moja na why mnatumia SA number plates kwenye magari yenu?
 
TISS inawezekana vipi Mtu anakopa au anaiba Pesa za Watanzania na Kukimbia nchi halafu hamjui?

TISS kuna Matukio mengi sana yanaendelea nchini ambayo mna Dhamana nayo Kiusalama ila huwa hakuna hatua mnazochukua Kukabiliana nazo.

Hivi TISS mnajua kuwa mnaaminika n kuheshimika sana na Watanzania kuliko hata Taasisi zingine nchini?

TISS kama kweli mngekuwa imara Kiutendaji Wala jana ( Mama / Rais ) asingelalamika vile huku akiwa na Masikitiko makubwa.

TISS kama mnaweza Kufuatilia mambo mengine ( hata yale yasiyokuwa ya Msingi ) mnashindwa nini Kukabiliana na Hawa Wanaoitafuna Kiulini Keki ya Tanzania?

TISS hivi Wengine ( Watu wa Kawaida ) hapa JamiiForums ( hasa Mimi GENTAMYCINE ) tukiwa tunawapeni Changamoto na Ushauri huwa mnaufanyia Kazi japo mnaweza kuwa mnatudharau mkiamini hatuna a,b,c's za Mambo ya Kiusalama?

TISS Wengine tunaumia kwa tunayoyaona na mambo kuharibika huku mkiwepo kwakuwa mmetulea ( hasa Kifamilia ) na tunajiuliza mbona TISS ya kuanzia Uhuru au aliyomaliza nayo Mzee ( Family Friend ) Marehemu Cornel Apson Mwang'onda ( Baba Jimmy ) aliyewahi kuwa DGIS ilikuwa Imara na kamwe haikutiliwa mashaka kama TISS ya sasa?

Mwisho ni Ombi langu tu GENTAMYCINE Kwenu TISS kuwa hebu rejeeni na ule mtindo wenu wa Kuajiri Watu Werevu hasa, wenye Vimelea vyote vya Kimuonekano kuwa wanafaa kwa Kazi yenu hiyo Kubwa na Nyeti lakini achaneni na Mtindo Siri wa sasa wa Kuajiri Watu wenu ( wa Idara ) kutoka UVCCM au kwa Vimemo vya Watawala Wastaafu, Watoto wao wenye Ushawishi, Wakuu ( Wakurugenzi wenu ), Wakuu wa Taasisi zingine za Kimedani, Mawaziri, Wabunge, Wakuu wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya na Mahawara.

Japo mna Mapungufu yenu kadhaa ya Kiutendaji ila bado GENTAMYCINE nina Imani Kubwa nanyi na natambua pia Uwajibikaji wenu Uliotukuka katika Usalama wa Taifa letu hili zuri la Tanzania.
Hawahusiki kabisa, na ukumbuke wao ni washauri tu na kama ilivyo desturi, ukiletewa ushauri kuna kukubali au kukataa.
 
Kwani wakati maufisadi makubwa kama vile EPA, Kagoda, TanGold, Meremeta, Rada ya mzee wa Vijisenti, IPPTL na hata Richmond nani alikuwa DGIS kama sio huyo unayemsifia?
 
Tatizo is tiss Lipo kwenye katiba WAO kazi yao ni kutoa taarifa tu ila hawana wajibu wa kukamata/kudhibiti Mpaka wapewe ruhusa na mwanasiasa(Rais na genge lake)

Marehemu Cornel Apson Mwang'onda alionekana imara sababu alikuwa anauwezo kwa ku-programe tukio jinsi anavyotaka iwe na alikuwa anauwezo wa kujenga hoja
Kubwa zaidi alikuwa anajiamini (wengi wao hasa top officer wa sasa hawajiamini)
Points..
 
Back
Top Bottom