tahadhari

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Uingereza, Marekani zatoa tahadhari mpya ya usalama kuhusu Uganda

    Ubalozi wa Uingereza umetoa angalizo la kiusalama kuwa kuna uwezekano wa kutokea kwa shambulio la ugaidi Nchini Uganda, huku raia wa kigeni wakiwa walengwa, ikiwa ni Saa chache baada ya Ubalozi wa Marekani nao kutoa angalizo linalofanana na hilo. Balozi hizo pia zimewapa angalizo raia wake...
  2. Drax001

    JamiiForums Tanzania Tahadhari dhidi ya utapeli mpya mjini

    Kumetokea Watu wanajifanya wanakopesha simu za Mkopo hapa Facebook na kukutaka uwatumie pesa kidogo ili wakutumie bidhaa yako huko mikoani ndugu yangu utapigwa vibaya. Nasema hivyo kutokana na Mimi yamenikuta nimelizwa elfu 50 alafu ni mdada akijifanya katokea Zanzibar kumbe ni matapeli
  3. thegreat1510

    JamiiForums Tanzania Mliokuwepo miaka ya 70s mtuambie el nino ilianzaje, tuchukue tahadhari

    Wakuu, wazee, hivi hata El nino ya 70s nayo ilikuwa inanyesha kidogo kidogo kwa mda mrefu kama hii ya dar? Tusimulieni kidogo jinsi mlivyoiona huku mkiifananisha na hii tuchukue tahadhari.
  4. P

    JamiiForums Tanzania Picha: Tupatie update ya eneo lako husika- El nino 2023/2024

    Wakuu, tujuzane huko ulipo hali ikoje kwa picha na video, na kama kuna sehemu ina changamoto toa taarifa haraka kwa mamlaka husika kuepusha athari kubwa. Bila kusahau, tuchukue tahadhari kipindi hiki chote cha mvua. Mzazi, kama mtoto wako anasoma mbali na miundombinu ni mibovu ni bora...
  5. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Tahadhari TMA: Dar, Pwani, Tanga, Unguja, Pemba na Mafia kukumbwa na Mvua Kubwa leo

    Kama mujibu wa taarifa hiyo ya Mamlaka ya Hali ya Hewa, wakazi wa maeneo tajwa wachukue tahadhari kwasababu Mvua hizo zinatarajiwa kunyesha kwa siku 3 kuanzia leo Oktoba 29, 2023. TMA imeonya kuwa Mvua zinaweza kusababisha Mafuriko pamoja na kuharibu shughuli za Kiuchumi hivyo Wananchi waepuke...
  6. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Serikali chukueni hatua kuepusha vifo. Baada ya kuruhusu safari za usiku nimegundua yafuatayo

    Hivi karibuni serikali imefanya uamuzi bora kabisa wa kuruhusu magari ya abiria ( mabasi) kutoa huduma masaa 24. Hili ni jambo bora na la kupongezwa kwani linachochea ukuaji wa uchumi kwa watoa huduma kuweza kutoa huduma kuweza kuongeza muda wa kazi. Pamoja na uamuzi mzuri kuna kasoro kadha wa...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Tahadhari ya Tsunami kwa mikoa ya Pwani ni ubabaishaji mtupu

    Mamlaka kutoa taarifa za kutisha na kudai kuna uhakika wa kutokea kwa maafa, hivyo kuwataka wananchi kuondoka kwenye makazi yao ni jambo serious sana na halipaswi kutolewa pasipo kujiridhisha. Ofisi ya waziri mkuu imetoa tahadhari kwa wakazi wa mikoa yote ya pembezoni mwa bahari ya Hindi...
  8. V

    JamiiForums Tanzania Wanaoishi karibu na bahari kuchukua tahadhari kutokana na uwezekano wa kutokea Tsunami katika Bahari ya Hindi leo jioni

    Habari zenu ndugu zangu tunaomba tuchukue tahadhari ikiwa habari hii ni ya kweli, kwani Tsunami maafa yake ni makubwa.
  9. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Unachukua tahadhari gani za kiusalama unapotumia Taksi Mtandao (Uber, Bolt n.k)?

    Tukio la kusikitisha la kifo cha Catherine Serou, mwanamke Mamrekani, linatufundisha umuhimu wa kuchukua tahadhari zinapohusiana na usalama wako unapotumia huduma hizi. Kifo cha Catherine Serou kilitokea baada ya kupanda gari la mtu asiyejulikana, akiwa na imani kuwa ni dereva wa Uber. Usalama...
  10. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Khamis Hamza akumbusha Wananchi kuchukua Tahadhari juu ya Maambukizi Mapya ya VVU na Ukimwi

    Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais anayeshughulikia masuala ya Muungano na Mazingira Mhe. Khamis Hamza ameiasa jamii kuendelea kuchukua tahadhari dhidi ya maambukizi mapya ya Virusi vya UKIMWI nchini kwa kuendelea kuzingatia elimu inayotolewa na Tume ya Kudhibiti UKIMWI nchini ili kuunga mkono...
  11. Influenza

    JamiiForums Tanzania Tahadhari: Utumiaji wa ‘BCC’ katika kutuma barua pepe yaweza kuwa sababu ya uvujaji mkubwa wa Taarifa Binafsi

    Ofisi ya Kamishna wa Taarifa huko Uingereza ametahadharisha kuwa Matumizi mabaya ya ‘BCC - Blind Carbon Copy’ katika utumaji wa barua pepe ni miongoni mwa sababu kubwa za Uvujaji wa Taarifa katika Sekta mbalimbali BCC - Blind Carbon Copy (Nakala ya Kaboni isiyoonekana) ni kitufe...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Imefichuliwa: CBC Inawataka Waandishi wa Habari Kutowaita (Terrorist)magaidi wa Hamas, Tahadhari dhidi ya Kusema 2005 Iliondoka ukanda wa Gaza

    Imefichuliwa: CBC Inawataka Waandishi wa Habari Kutowaita (Terrorist)magaidi wa Hamas, Tahadhari dhidi ya Kusema 2005 Iliondoka ukanda wa Gaza nada. Imefichuliwa: CBC Inawataka Waandishi wa Habari Kutowaita (Terrorist)magaidi wa Hamas, Tahadhari dhidi ya Kusema 2005 Iliondoka ukanda wa Gaza...
  13. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Hizi mada za mahusiano mitandaoni tuwe na Tahadhari nazo

    Unakuta humu Jamiiforums anakuja mtu na mada yake ya Mbususu, ngono, alimla Demu gani, na mambo kama hayo ya ufusika. Halafu watu wanakuja na kuanza kusapoti huo ufusika... Sasa mimi najiuliza, Je kama huyo mwanamke au Demu anayezungumziwa humo ni Dada yako, mtoto wako wa kike, ndugu yako wa...
  14. Mukulu wa Bakulu

    JamiiForums Tanzania Tahadhari kwa wapenda beach plot.

    Kwa wale tunaopenda kujenga pembezoni mwa ufukwe wa ziwa ama bahari tuchukue tahadhali. Jana habari fukwe za Afrika kusini zilivamiwa na mavimbi makubwa sana ya maji na kuharibu mali kwa kiwango kisichoelezeka. Tukumbuke pia mwaka 2020 mvua ilinyesha ikavunja rekodi ya kiwango cha juu sana cha...
  15. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Tahadhari: Makosa ya kiuandishi ya Gazeti la Daily News siku ya Leo ni Unabii kwetu sisi wana Jamiiforums. Chukua tahadhari nimeoteshwa

    Ndugu wana jukwaa, Rejea mistake: No one is above law. Si muda mrefu jukwaa linaenda kuvamiwa na mawindo ya wawindaji wa kutumika. Mnisamehe sana si nguvu zangu wala uwezo wangu, Bali ni malaika niliopewa ndio wamenituma niseme haya. Narudia tena ndugu wasomaji hata mkiona ni ujinga...
  16. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Tahadhari: Wanaume walioa wanawake micharuko wote wameishia kufa maskini wa kutupwa

    Hello, Nichukue fursa hii kuwaasa waluojipumbaza kwa kushabikia kuoa na ndoa, kama mnapenda sana kuoa basi chunga sana wanaume wanaoingia mkenge Kwa kuoa wanawake micharuko wengi wameishia kufa maskini wa kutupwa. Epuka kuisha kama ngedere na ukazeeka na kufa maskini kataaa uzombi wekeza...
  17. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Tahadhari: Sarafu ya pesa ya nchi yoyote inapatikana kwa kubadilishana na bidhaa tujikite kuzalisha bidhaa na kuuza nje

    Ndugu na marafiki, habari za Jumamosi ya leo, Tarehe 02/09/2023. Ndugu zangu, leo napenda kutoa elimu moja juu ya sarafu za mataifa mengine, bila kusahau sarafu yetu ya shilling. Zipo sarafu nyingi hapa duniani, kama vile Yuan ya China, Yen ya Japan, ruble ya Urusi, dola ya Marekani, euro...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Maridhiano njia panda: Mbowe na Lissu wampa tahadhari Rais Samia

    *Wadai kuna 'njama za kuchelewesha Katiba Mpya' MAZUNGUMZO baina ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Chama cha Mapinduzi (CCM) na Serikali yake, yaliyochukua takribani mwaka mmoja, yakijaribu kutafuta muafaka wa kitaifa hususan kwenye suala la katiba mpya, sasa yanaelekea kuwa...
  19. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania TMA yasema mvua juu ya wastani zinatarajiwa kunyesha. Mvua za Vuli kuanza Oktoba

    Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesema mvua za Juu ya Wastani hadi Wastani zinatarajiwa katika maeneo mengi ya mikoa ya Kagera, Geita, Mwanza, Shinyanga, kusini mwa Mkoa wa Simiyu, kaskazini mwa mkoa wa Kigoma, Dar es Salaam, Tanga, Pwani (ikiwemo visiwa vya Mafia), kaskazini mwa mkoa wa...
  20. Nominee

    JamiiForums Tanzania Sakata la Bandari linaenda kuongeza mpasuko wa kidini. Tukosoe kwa tahadhari

    Ni haki na wajibu wa kila Mtanzania kuhakikisha rasilimali za nchi yake hazichezewi hovyo.Nawapongeza nyote munaotoa maoni yenu ya kuukosoa huu mkataba ila chonde chonde, tujitahidi kuongeza umakini tunapokosoa. Kikawaida,imani ina nguvu sana kwenye suala la ushawishi. Unaweza kushangaa mtu...
Back
Top Bottom