tahadhari

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Yoda

    JamiiForums Tanzania WHO yatoa tahadhari ya hatari kubwa ya magonjwa ya mlipuko kutoka Sudan

    Shirika la Afya duniani linasema kuna hatari kubwa ya magonjwa ya mlipuko kutoka Sudan na kusambaa kwingine. Wanamgambo wa RSF wametwaa maabara ya kitaifa yenye sample mbalimbali za magonjwa hatari ya mlipuko yanayojumuisha Polio, Tetekuwanga, Kipindupindu na mengineyo zilizokuwa zimehifadhiwa...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Ugumu wa Maisha ni hatari kwa usalama wa Taifa, serikali ichukue tahadhari

    Ni ukweli mchungu kwamba mtaani hali ni ngumu sana kuanzia upatikanaji wa pesa mpaka bei za bidhaa. Binafsi, mbali na kwamba ni muajiriwa, lakini pia najishughulisha na biashara zinazogusa moja kwa moja wananchi, kwa hiyo ninachoandika nina kifahamu vizuri. Kwa hali ilivyo sasa, anaweza tokea...
  3. MTAZAMO

    JamiiForums Tanzania Kuelekea derby ya Kariakoo, Tahadhari muhimu kwa Simba!

    Wakuu, Kipute cha Kariakoo deby kimekaribia, mimi kama shabiki wa Lunyasi nina maoni yafuatayo kuelekea siku hiyo. 1) Ubora wa Yanga ni Nabi, Nabi amefanikiwa kusumbua makocha wengi kimbinu sababu akili zao huzama kwenye wachezaji hatari kama Mayele kuliko akili ya Nabi. Kwa muda mrefu Nabi...
  4. The Mafia

    JamiiForums Tanzania Tahadhari: Kuna wizi mpya umeingia Dar es Salaam, Vituo vya Daladala tuwe makini

    Habari, Kuna Wizi Mpya Upo Stendi Za Daladala, hasa asubuhi muda ambao usafiri unasumbua, anatokea jamaa karibu yako nae anajifanya kulalamikia ugumu wa usafiri, na wewe unachukulia ni abiria mwenzio mnaweza kuzoeana kwa muda mkiongelea adha za usafiri, baada ya muda linatokea gari private...
  5. Nyuki Mdogo

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu ambao Hatujafunga mfungo wa Ramadhan/Kwaresma tunapaswa kuishi kwa Tahadhari kubwa sana

    Nimesikitishwa sana na kitendo cha kijana Hassan kumchoma kisu mwenzake kisa kamuomba maji ya Kunywa. Ndugu zetu mlioko katika mifungo, mbona mna makasiriko sana kipindi hiki cha mwezi wa toba? Nashangaa sana kuona mtu akasirika kisa mwenzie anakula.. mnahukumu vipi wakati nyie si Waumbaji...
  6. MIXOLOGIST

    JamiiForums Tanzania Yesu wa Kenya anaenda kusulubishwa, manabii na mitume wa mchongo wakae kwa tahadhari

    Amani iwe nanyi, Kazi ya Mungu siku zote ina upinzani mkali. Tumeona Yesu OG, mitume na manabii walivyo uwawa, teswa na kudhihakiwa. Soma maandiko kwa urahisi wa rejea. Huko jirani, wadau wanataka kumjambisha yule yesu wa mchongo, wanataka kumsulubisha kwa kadiri ya maandiko wakitarajia...
  7. benzemah

    JamiiForums Tanzania NIDA yakanusha kutangaza nafasi za ajira, tuepuke matapeli

    Kufuatia uwepo wa taarifa za baadhi ya wananchi hususani kutoka Zanzibar kupigiwa simu na watu wasiowajua wakiwafahamisha kuwa wanatafutwa na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) ili waajiriwe na kuwataka wananchi wanaowapigia simu wawatumie tarifa zao na pesa ili kuwasaidia kupata ajira...
  8. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Nitoe tahadhari kwa mnaotaka kununua simu za Sony Xperia Z1, Ni bei rahisi kamera kali ila utajuta kwenye Network.

    Ni kwa toleo lile lilioandika nyuma Docomo kutoka Japan - SO-O1K. niliwahi kununua simu hii yani kamera ni kali, ram si 4gb, battery inachaji fasta na inakaa, simu ngumu, n.k ila kwenye network sasa!! ukiwa mjini centre utaiona simu iko poa kabisa inashika 4g+ ni ngumu kujua kuna tatizo...
  9. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Tahadhari ya Marburg: Wasafiri kupimwa joto Kagera, watakaobainika kuzuiwa safari

    Siku mbili baada ya kutangazwa kuibuka kwa ugonjwa wa Marburg nchini, Serikali imetoa mwongozo wa wasafiri kote nchini kwa kuzingatia kanuni za kimataifa, huku ikiagiza utekelezaji wake uanze mara moja. Machi 21 Serikali kupitia Wizara ya Afya ilithibitisha uwepo wa ugonjwa Marburg katika...
  10. Robot la Matope

    JamiiForums Tanzania Kagera kuna hali ya hatari, kumezuka ugonjwa wa kutokwa damu puani na mdomoni. Watu 5 wafariki dunia 2 wako hospitali. Serikali ichukue hatua haraka

    Taarifa haijawa rasmi lakini hali iko hivi, huko katika Kata ya Kanyangereko, Wilayani Bukoba Vijijini, kwa marehemu Benjamini. Wiki 2 zilizopita kijana alifariki, kwa kushikwa na homa kali na kutokwa damu mdomoni na puani, baadae mama mzazi akaumwa ugonjwa huo amefariki jana mchana. Kijana wa...
  11. benzemah

    JamiiForums Tanzania Vifo vya wachezaji Tanzania, mamlaka zinachukua tahadhari zozote?

    Jamii ya wapenda soka nchini ingali katika majonzi kufuatia kifo cha Mchezaji wa Mtibwa Sugar Iddy Mobby ambaye alifariki akiwa kwenye matibabu kwenye hospital ya Mkapa iliyopo mkoani Dodoma alipohamishiwa baada ya matibabu ya awali kwenye hospital ya kiwanda cha Mtibwa mkoani Morogoro. Kwa...
  12. chiembe

    JamiiForums Tanzania Dodoma ni eneo la bonde la ufa, ujenzi wa majengo uzingatie tahadhari za matetemeko ya ardhi

    Dodoma ni ukanda wa bonde la ufa, baada ya Dodoma kuwa makao makuu, imevutia ujenzi wa majengo marefu. Ni vyema ujenzi wa majengo uwe wa tahadhari, na uzingatie kwamba eneo hilo ni la bonde la ufa, tusijenge jengo reefu sana, ambalo likipigwa tetemeko linayumba na kubomoka. Pia soma -...
  13. Bams

    JamiiForums Tanzania Wateja wa Mabenki chukueni tahadhari kubwa, kuna wizi kwenye tozo na commission zao

    Ndugu wana-JF, kumbe tulipoambiwa kuwa eti Serikali imesikia kilio cha wananchi kuhusu tozo, na hivyo kuamua kupunguza, inaelekea ilikuwa ni hadaa kubwa. Sikuwa na kawaida ya kuomba bank statement kama hakuna sababu ya msingi. Safari hii, kuna account yangu moja iliyopo CRDB Bank ambayo huwa...
  14. adriz de mbusii

    JamiiForums Tanzania Tahadhari: Baada ya line kuzimwa leo utapeli huu utashamiri kwa kasi ya ajabu

    Moja kwa moja.. Nimeona tangazo kutoka serikali kuwa leo tarehe 13 line zote zisizo hakikiwa zinaenda kuzimwa. Kwa utafiti wangu mfupi nilioufanya unaonyesha Watanzania wengi hawana uelewa wa kutosha kuhusu zoezi ili kuanzia madhumuni yake ,jinsi ya kuhakiki nk.. UTAPELI UTAKUJA KIVIPI ? Kuna...
  15. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi latoa tahadhari kuhusu ajira za SGR

  16. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Wasanii, Chukueni Tahadhari Hii Katika Mikataba ya Matangazo

    Ni muhimu sana kwa wasanii kuhakikisha mnajidhatiti kwa kuwa na uwakilishi madhubuti wa kisheria katika usimamizi wa masuala yenu ya sanaa. Ikiwa mwaka bado ni mchanga na ikiwa tunaendelea kushiriki katika wiki ya sheria, nimelazimika kutumia kalamu na taaluma yangu kutoa rai hii kwa wasanii...
  17. D

    JamiiForums Tanzania Chukua tahadhari na utitiri wa APPS za mikopo mtandaoni

    Hivi sasa kumekuwapo na utitiri wa APPS za mikopo mitandaoni ambazo kwangu naamini ni za kitapeli na au zitaleta utapeli. Apps hizi hazina usajili Wala address ya uhakika. Wengine wanakuambia ingiza pesa ya usajili kiaasi kadhaa kwa mujibu wa kiwango unachotaka kukopa,Kisha ukisha tuma ndio...
  18. H

    JamiiForums Tanzania Kwa wale wapenda mbwa tuchukue tahadhari

    Niende moja kwa moja kwenye mada, ukiamua kufuga mbwa hasa hawa wakizungu kama Rottweiler, Pitt Bull, Mastif, Belgium Malnoir nk, tenga muda wa kuwa nao karibu. Mafunzo ni muhimu wafanye watambue kuwa wewe ndo mkuu na kiongozi. Kwanini nasema hivi kuna kipindi nileta habari ya mbwa ya mbwa...
  19. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Faida na tahadhari za mboga za spinach kwa afya

    Spinach ni mboga yenye faida nyingi kwa afya ya binadamu. Baadhi ya virutubusho vinavyopatikana kwenye mboga hii husaidia mwili kusafirisha vizuri hewa ya Oxygen, kutoa kinga dhidi ya magonjwa, kuongeza uzalishwaji wa damu pamoja na kuboresha afya ya macho, ngozi, nywele na mifupa. Pamoja na...
  20. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mvua yaua watatu Arusha, Polisi watoa Tahadhari

    Watu watatu wamefariki kwa kusombwa na maji ya mvua mkoani Arusha, kutokana na mvua zilizoanza kunyesha katika maeneo mbalimbali hapa nchini. Watu hao, wamefariki katika Wilaya za Monduli na Longido, ambapo wawili ni wanafunzi akiwemo aliyetarajiwa kujiunga na kidato cha kwanza siku chache...
Back
Top Bottom