Wakazi wa Dar: Tahadhari, epuka njia hii usiku huu

Anonymous

Senior Member
Feb 3, 2006
125
319
Njia ya Mwenge hadi Lugalo kama unaelekea Tanki Bovu kuna wanajeshi wenye silaha wanasimamisha magari usiku huu na kuhoji watu wametoka wapi, wanaenda wapi.

Wakikuona umekunywa pombe wanakuzingua! Yaani kuna road blocks kabisa.

Ukiweza, pita barabara nyingine mbadala kuepuka usumbufu.
 
Wana usalama wapo kwa ajili yetu, wanalinda amani raia na mali zao, hivyo haina haja ya kupost mambo ya kutishana labda uwe ni muhalifu

Nimepita maeneo hayo, nilipowaona tumesalimiana na nimefarijika kuona amani imetamalaki.

Tupunguze kiwango cha ujinga ktk akili zetu.
 
Rudi nyumbani mapema fanya mambo mengine,at least mtakua na akili kidogo tu.

Kaa bar huko uvunjwe vigoko usiku huu urudi kwako kilema sayansi

Then huwezi kuhudumia famili wala wazazi,kuna haja ya kuwa shabiki wa wanasiasa?
wanawaacha hao baada ya tar 28.
 
Wana usalama wapo kwa ajili yetu, wanalinda amani raia na mali zao, hivyo haina haja ya kupost mambo ya kutishana labda uwe ni muhalifu

Nimepita maeneo hayo, nilipowaona tumesalimiana na nimefarijika kuona amani imetamalaki.

Tupunguze kiwango cha ujinga ktk akili zetu.
Kuna watu wana akili za hovyo,yana mtu anadiliki kusema kuwa wakikukuta umekunywa pombe wanakuzingua wakati anajua fika kunywa pombe na kuendesha chombo cha moto ni kinyume cha sheria za barabarani.
Nahisi hakuna wakati tumezalisha vijana wajinga kama nyakati hizi,Mungu tu atusaidie.
 
Njia ya Mwenge hadi Lugalo kama unaelekea Tanki Bovu kuna wanajeshi wenye silaha wanasimamisha magari usiku huu na kuhoji watu wametoka wapi, wanaenda wapi.

Wakikuona umekunywa pombe wanakuzingua! Yaani kuna road blocks kabisa.

Ukiweza, pita barabara nyingine mbadala kuepuka usumbufu.
Hujui kunywa pombe na kuendesha chombo cha moto ni kinyume cha sheria za barabarani?Nonsense😎
 
Wana usalama wapo kwa ajili yetu, wanalinda amani raia na mali zao, hivyo haina haja ya kupost mambo ya kutishana labda uwe ni muhalifu

Nimepita maeneo hayo, nilipowaona tumesalimiana na nimefarijika kuona amani imetamalaki.

Tupunguze kiwango cha ujinga ktk akili zetu.
Wanasimamisha watu wa Nini,si waende mtwara mpakani na msumbiji,waache kazi za polisi na mgambo
 
Tumekuwa Rwanda sasa.
Uchaguzi gani uliona wanajeshi wanakaa barrier pale lugalo?
Wana usalama wapo kwa ajili yetu, wanalinda amani raia na mali zao, hivyo haina haja ya kupost mambo ya kutishana labda uwe ni muhalifu

Nimepita maeneo hayo, nilipowaona tumesalimiana na nimefarijika kuona amani imetamalaki.

Tupunguze kiwango cha ujinga ktk akili zetu.
 
28 Reactions
Reply
Back
Top Bottom