Salam.
Kwa uzoefu nilioupitia baada ya kuzurura Nyanda za juu kusini, Kaskazini, Dar, Zanzibar na sasa nipo Kanda ya ziwa basi Nina haya ya kusema .
Hii Kanda Malaya wapo wengi mno na madanguro yapo Hadi vijijin.
Mikoa ya Mwanza na Geita umalaya NI biashara ambayo ni Kama imerasimishwq...
KANISA la Tanzania Assemblies of God (TAG) Jerusalem Temple, Soko Matola jijini Mbeya, limekemea ndoa za jinsia moja ambazo zimeanza kushamiri nchini.
Kutokana na hali hiyo, kanisa hilo limeiomba serikali kutokukubali misaada inayotolewa kwa sharti la kuruhusu ndoa za aina hiyo ili kuendana na...
Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Dk Verdiana Tilumanywa amesema pamoja na umuhimu wa misaada, si jambo la kufurahia kuipokea, kwani aghalabu mtoaji hutarajia mrejesho chanya.
“Anayekusaidia mara nyingi anatarajia kuzalisha kikubwa zaidi ya alichokupa, hatupaswi kufurahia...
Ki kawaida Hali za hewa Zina athari na kuwaumiza baadhi ya binadam.
Siku hizi chache hakujatulia kabisa. Leo jua kama limeshuka inch kadhaa.
Ni vema wataalam wa weather wakasema jambo kama kuchukua tahadhari, kutotembea juani nk kuliko kukaa kimya
Chuchu bandia zimekuwa zinatumika sana katika kurahisisha uleaji wa watoto, hasa wale wakorofi.
Huwasaidia wazazi kupata uhuru kidogo wa kufanya kazi zingine kama kupika, usafi wa nyumba au hata kukamilisha biashara na kazi zao zingine.
Faida
Chuchu bandia huwa na faida nyingi. Miongoni mwa...
Yamebakia kama masaa 24 kabla ya mtanange muhimu kwa Yanga na Al Hilal hapo kesho.
Niwatahadharishe kitu kuwa, kesho inaweza ikatokea bahati mbaya Yanga wakafungwa goli la mapema sana. Sasa niwaambie ndugu zangu hawa kuwa, hawatakiwi kukata tamaa mpira ni dakika 90.
Goli la mapema linaweza...
Haushauriwi kujifungia chumbani ukiwa unalala au wakati wa kupika chakula wakati unatumia jiko la mkaa.
Aina hii ya jiko huzalisha gesi yenye sumu inayoitwa Carbon monoxide (CO) ambayo huufanya mwili usipate kiasi cha kutosha cha hewa safi ya Oxygen inayohitajika kwenye upumuaji.
Ikiwa...
Idadi hiyo imetajwa katika Idara ya Huduma za Nje ambapo kati yao, Wagonjwa 30 hadi 70 hupewa Matibabu na kuondoka huku Wagonjwa 9 hadi 15 wakilazwa.
Daktari wa Vyanzo vya Akili, Veronica Lyimo amesema tatizo hilo linazidi kukua nchini na asilimia kubwa ya Wagonjwa hukutwa na sababu za...
Katika barua ya wazi kwa viongozi wanaokutana katika Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Jijini NewYork, Mashirika 238 kutoka Nchi 75, yakiwemo #Oxfam, #SaveTheChildren na #PlanInternational yameelezea hali ya wasiwasi ongezeko la viwango vya njaa
Barua hiyo imebainisha kuwa Mtu mmoja...
"Niwahakikishie wananchi sasa ulinzi upo wa kutosha na doria zipo, kama zilikuwa nne sasa hivi ziko 12 kwahiyo waweke ulinzi wa kutosha kwenye nyumba zao, hiki kilichojitokeza kimetuamsha," - Raia Nassor, Mwenyekiti wa Mtaa wa Mzimuni Kawe.
Chanzo: EastAfricaTv
Kwa Viongozi Majuha kama hawa na...
Nikiwa kama askari niliye mstari wa mbele kwenye sekta ya afya, nasikitika kusema UKIMWI siyo tishio tena kama ilivyokuwa zamani, bali magonjwa yasiyoambukiza ndiyo tishio kwa sasa. Jamii inabidi iamke kutoka usingizini maana ubaya wa haya magonjwa ni kwamba hayana dalili za mapema kama ilivyo...
Captain wa Tanzania Prisons, Afande Benjamin Asukile ameweka wazi wao kama Prison hawana uoga wowote dhidi ya Simba katika mchezo utakaopigwa leo saa 10:00 katika dimba la Sokoine jijini Mbeya.
"Simba ni timu nzuri, wametoka kushinda juzi huko Malawi, ila wajue kuwa ile ni ligi ya mabingwa na...
Wananchi walioko Crimea wameagizwa wachukue tahadhari ya mabomu, maana vita vitahamia huko muda usio mrefu na kutakua na umwagikaji wa damu balaa kwenye jitihada za kumfukuzia adui Urusi aliyeingilia nchi ya watu, wanajeshi wa Ukraine wanajitoa mhanga, wanauawa kishujaa kwa ajili ya vizazi vyao...
Wakati Mahakama Kuu ikisubiriwa kutoa uamuzi wa kuidhinisha au kubatilisha Pingamizi la Matokeo ya Urais Jumatatu Septemba 5, 2022, Ubalozi Marekani umeweka vizuizi vya watu kusafiri kwenye mji wa Kisumu, eneo analotokea Raila Odinga
Taarifa ya Ubalozi imenukuliwa ikisema mara kwa mara Kenya...
Vinywaji kama Soda vipewe kibandiko cha tahadhari kwa afya (Unywaji wa Soda ni hatari kwa Afya) kama ilivyo kwa sigara!
Si rahisi kuamini kwa kuwa ni kinywaji kilichozoeleka karibu kila dunia nzima na anayekikosoa anatakiwa awe na rundo la hoja kushawishi watumiaji kudhibiti unywaji.
Lakini...
Kwa watumiaji wa barabara ya Kilosa - Dumila ni muhimu kuwa makini hasa wakati wa usiku maeneo ya KITETE, maana kuna magari yanayobeba miwa yanapaki barabarani bila Alama zenye kuakisi.
Kinga ni bora kuliko tiba
Habari gani ndugu zangu wanajamvi la Habari Mchanganyiko.
Habari zetu zinaanzia huko carlfonia, Marekani ambako mgonjwa wa HIV ambaye ametumia dawa za kufubaza makali ya virusi vya UKIMWI, almaarufu kama ARV, kwa muda mrefu takribani miaka 30 sasa amekutwa hana Virusi hivyo.
Hiyo imetokea...
Umoja wa Mataifa umesema jana kasi ya kupunguka kwa AIDS imepunguka.
KUNDI LA MSINGI LILILOATHIRIWA
Nchini Marekani, mashoga wa kiume wamejumuisha zaidi ya robo tatu ya visa vyote vya UKIMWI. Asilimia ya mashoga kati ya jumla ya wagonjwa wote wa UKIMWI imebakia kluwa vile vile. Ulaya, mashoga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.