tafsiri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tajiri Tanzanite

    JamiiForums Tanzania Naombe tafsiri ya hiyo ndoto. nitafanyaje?

    Hapo vip!! Kama kawaida binadamu huota ndoto mbali mbali lakini hii imetisha kidogo.. Leo nimeota nimesimama nje ya biashara yangu karibia na mlangoni..mara nikamuona nyoka anaingia ndani ya biashara yangu...kiukweli baadaya kushtuka usingizini nimekosa amani sana... Nina imani humu...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Mbunge analipwa mshahara wa 3.8M kwa mwezi, anapata posho 8M kila mwezi, jumla 11.8M. Akiwa kwenye kikao analipwa posho ya kikao 240K

    Mbunge analipwa mshahara wa 3.8M kwa mwezi, anapata posho 8M kila mwezi, jumla 11.8M. Akiwa kwenye kikao analipwa posho ya kikao 240K kwa siku na posho ya kujikimu 120K, jumla 360K. Bunge la bajeti litakaa kwa miezi mitatu, akihudhuria vikao vyote atapata 32M, wastani wa 10M kwa mwezi. Kwahiyo...
  3. baiser

    JamiiForums Tanzania Ndoto hii ina maana gani? Je, ni walking dead?

    Ndugu wana JF, mwezi wa.12 /2020 nilifiwa na mamangu mzazi. Leo saa Tisa na dakika kumi usiku (12/5/2021) nimeota ndoto niko na mdogo wangu nashusha mteremko kwa miguu nikitokea mjini Iringa kuja Ipogolo maeneo ya kitanzini tumekutana na mama akiwa kabeba kikapu chake anapandisha mjini yaani...
  4. careenjibebe

    JamiiForums Tanzania Naomba tafsiri ya ndoto hii

  5. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Mke au mume wako anapojenga kwa siri bila wewe kujua tafsiri yake ni kwamba anajiandaa kuishi bila wewe

    Habari wanandoa na wanauchumba. Hivi unajua kuwa mwenzi wako anapoamua kujenga nyumba au kufanya jambo la kimaendeleo bila wewe kujua hapo anajiandaa kuishi bila wewe? Hii dunia ina mambo sana. Unaweza kuona watu wakiishi pamoja wakicheka pamoja na kula pamoja ila mmoja au wote wakaingiwa na...
  6. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Darsa la Sheikh Abdallah Iddi Chaurembo miaka ya 1970

    DARSA LA TAFSIR YA QUR'AN LA SHEIKH ABDALLAH IDDI CHAREMBO MWEZI WA RAMADHANI MSIKITI WA MTORO MIAKA YA 1970 Hukaa nikaangalia nyuma na ''nostalgia'' yaani simanzi. Naangalia ujana wangu ulivyoondoka kama moshi na nawakumbuka masheikh wetu waliotangulia mbele ya haki. Nawaona kama jana vile...
  7. Ikaria

    JamiiForums Tanzania Nini tafsiri ya 'socialite' kwa kiswahili?

    Masada JF. Hivi, socialite anaitwaje kwa KISWAHILI fasaha. Kuna tovuti moja ya Kenya imetohoa - mwanasosholati !
  8. idawa

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu: Kusanyeni kodi kwa kutumia akili, sio nguvu

    Mheshimiwa Rais Mama Samia amemuonya Waziri wa wizara ya Fedha kuacha kutumia nguvu kwenye kukusanya kodi badala yake watumie akili. Mama Samia ameonya tabia ya Watendaji wa Serikali kutumia nguvu kukusanya kodi, kufungia biashara zao, kunyang'anya fedha kwenye akaunti kisa Sheria inawaruhusu...
  9. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania Ijue tafsiri ya neno mnyonge

    Mnyonge / mɲɔngɛ / nomino Wanyonge (plural) Ngeli za nomino: a-, wa- MAANA YA NENO: 1. mtu dhaifu; mtu asiyekuwa na nguvu Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni (ms) Synonyms: mnyela...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai atatizwa na tafsiri ya Katiba, aamua kumruhusu Dkt. Mpango kuwaaga wabunge wenzake kabla ya kuthibitishwa na Bunge

    Spika Ndugai amekiri kupata wakati mgumu kwenye kuitafsiri Katiba iwapo Dkt. Mpango awaage wabunge wenzake kabla ya matokeo ya kura kutangazwa na kumthibitisha au baada yake. Amesema iwapo atamtangaza Dkt. Mpango amepitishwa kuwa Makamu wa Rais basi haitawezekana tena mteule huyo kupewa fursa...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Naomba kujulishwa tafsiri ya "Deni la Taifa ni Himilivu"

    Mungu ni mwema wakati wote. Kwa wale wale wabobezi wa masuala ya uchumi na fedha naomba kujua tafsiri sahihi ya deni la taifa kuwa "Himilivu" Kila zama na kitabu chake!
  12. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mkalimani Wa Tanzania Ajaribu Kudanya Umati Na Tafsiri Mbovu

    Yaani kuna ujinga na UJINGA.
  13. K

    JamiiForums Tanzania Waliozuia Biashara kariakoo ni chombo si wahuni, alichofanya RC nimaelekezo toka juu

    Ni vigumu wahuni wakaingia kariakoo nakufunga biashara za watu, waliofanya Yale Ni vyombo n walikuwa na maelekezo yakufanya hivyo. Kama ni wahuni Basi kamanda wa polisi ilala na hata kanda maalumu anafaa kutumbuliwa kwa kushindwa kusimamia ulinzi na kwa kutodhibiti uhalifu hata baada ya vyombo...
  14. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania Nini tafsiri ya kifungu hiki cha sheria kutoka kwenye National Leaders' Funeral Act

    Ningependa kuomba ufafanuzi kidogo nipate kuelewa hapa maana naamini humu kuna wanasheria wazuri Je hiki kifungu kinamaanisha nini? Section 26(a) (b)?
  15. M

    JamiiForums Tanzania Mama Janeth Magufuli awasili Dodoma akiwa amevaa Barakoa...

    Kwa mara ya Kwanza kabisa baada tu ya Kutua Mkoani Dodoma ( Makao Makuu ya Nchi ) ameonekana akiwa amevalia Barakoa na pia akiwa hataki kabisa Kupeana ( Kushirikiana ) Mikono na Watu. Maswali yangu ni kama yafuatayo.. 1. Kwanini Mumewe ( Hayati Rais Dkt. Magufuli ) alipokuwa Hai alikuwa...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Ugumu wa kutabiri anayefaa kuwa Makamu wa Rais ni tafsiri ya wanasiasa wa Tz kutegemea dola kujijenga?

    Majina yanayotajwa kupewa nafasi ya Makamu wa Rais na Waziri Mkuu ni majina yasiyo na chembe ya uhalali wa kushika nafasi hii. Si kwamba Taifa halina watu wenye uwezo la, watu wenye uwezo wapo wengi lakini hakuna aliyejengwa kusimama bila kusimamishwa na dola. Uimara wa kiongozi utokana na...
  17. WA MAMNDENII

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada Tafsiri sahihi ya maana ya neno lililoandikwa before 40 kwenye picha ambatishwa

  18. isajorsergio

    JamiiForums Tanzania Tafsiri ya zawadi ya nazi "Coconut"

    Habari, 👋🏽 Naomba kufahamu tafsiri ya zawadi inayohusu nazi (Coconut). Mtu akikupatia zawadi ya nazi inatafsiri nini katika maono au mitizamo tofauti?
  19. KMMS

    JamiiForums Tanzania Nini ipi tafsiri ya maneno "Hadidu za Rejea"?

    Salaaam, salaam! Wakuu ni imani yangu kuwa nyote mu-wazima, shughuli za utafutaji wa mkate wa kila siku zinaendelea, wale wenye changamoto mbalimbali poleni na mungu awafanyie wepesi. Nije kwenye lengo la uzi huu, wakuu naomba mnisaidie maana ya maneno haya "hadidu za rejea" maneno haya...
Back
Top Bottom