tafsiri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. F

    JamiiForums Tanzania Maendeleo Makubwa ya CHATO na tafsiri ya Makongoro Nyerere na Madaraka Nyerere kupata kura 5 na 2 respectively za maoni CCM 2020!

    Watanzania wenzangu heri ya Mwaka Mpya 2021. Nimewiwa kutoa mawazo yangu kufuatia kelele nyingi za " kijinga" zinazopigwa kuhusu maendeleo makubwa na ya haraka zinazopigwa Wilayani CHATO katika kipindi hiki cha Serikali ya Awamu ya Tano. Fact kubwa ambayo hatuwezi kuipinga ni kuwa Wilaya hiyo...
  2. E

    JamiiForums Tanzania Nini sababu ya jicho la kushoto kucheza?

    Leo siku 26 mboni ya juu ya jicho la mkono wa kushoto linacheza cheza sana. Naomba tafsiri kwa wajuvi wa mambo haya. Enzi na enzi.
  3. Millionaire Mindset

    JamiiForums Tanzania Tafsiri mpya ya kufeli(kushindwa)

    Hivi unajiskiaje unapoambiwa umefeli au umeshindwa? Au pale unapopata habari kwamba mtoto wako, ‘jembe lako unalolitegemea’ amefeli yaani amezungusha “O”?. Ninaanza kuhisi jinsi mapigo yako ya moyo yanavyoanza kwenda mbio bila sababu, bila kusahau kijasho chembamba kilichoanza kuchungulia...
  4. Replica

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai asema Tume ya Taifa ya Uchaguzi na Mahakama pekee wanaweza kumuambia kuwaondoa Bungeni Wabunge 19 wa Viti Maalum CHADEMA

    Leo jijini Dodoma wameapishwa wabunge wapya wawili walioteuliwa na Rais Magufuli kwenye nafasi zake za wabunge walioteuliwa na Rais, miongoni mwa waliohutubu kwenye hadhara hiyo ni naibu spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano, Dkt. Tulia Ackson ambaye ameelezea umuhimu wa Bunge kuwa karibu na...
  5. Replica

    JamiiForums Tanzania Rais Mwinyi amuapisha Maalim Seif kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar. Maalim Seif asema haukuwa uamuzi rahisi

    Kutoka Zanzibar, maandalizi yameshakamilika kwa ajili ya kumuapisha Makamu wa kwanza wa Rais, Maalim Seif Shariff Hamad kutoka chama cha ACT-Wazalendo. Kuwa nami kukujuza yatakayojiri kutoka visiwa hivi vya karafuu punde kutoka sasa. PIA, SOMA=> Rais Dkt. Mwinyi amteua Maalim Seif kuwa Makamu...
  6. Matope

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa lugha tunaomba tafsiri ya neno PISI

    Wakuu samahani naomba kujua tafsiri ya neno PISI linatumiwa sana Mawingu studio na Millard kwa walimbwende wa Mashindano ya Taifa! Na kama haijakaa sawa kutumiwa kwa walimbwende hawa inakuwaje baraza la sanaa wamekaa kimya? Kama Taifa ndio tumefikia kutumia maneno ya mtaani kwenye mambo ya...
  7. waco1920

    JamiiForums Tanzania Je, tafsiri nyingine ya sheria inayoongoza Bunge letu, ni ipi nje ya hii iliyotumika kumuadhibu Sophia Simba?

    JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Tume ya Taifa ya Uchaguzi inapenda kuutarifu Umma kuwa; kwa mujibu wa Kifungu cha 37 (3) cha Sheria ya Taifa ya Uchaguzi, Sura ya 343, Mhe. Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amemjulisha...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Kenyatta: Maana na tafsiri yake

    By Bright, Political Analyst Rais Kenyatta alipokuwa anahotubia Bunge alizungumza maneno mengi ila kwa sasa nitafanya uchambuzi kwenye maneno machache tu aliyo yatamka kuhusiana na kile kinachoendelea nchi jirani na Kenya. 1. Rais Kenyatta hajamtaja mtu na haja point specifically nchi husika...
  9. A

    JamiiForums Tanzania Tafsiri sahihi ya ubeberu

    Wanajamvi, Kumekuwa na Upotoshaji mkubwa Kuhusu ubeberu na mabeberu wenyewe. Hili huenda linafanywa makusudi au kwa kutokujua. Nilipokuwa shule ya msingi nilifundishwa kuwa ubeberu (imperialism) ni ubepari uliokomaa na kuvuka mipaka. Watu waliosoma kipindi changu wanakumbuka hili. Tafsiri hii...
  10. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Nini tafsiri ya Megawatts 2,115 za umeme wa bwawa la Mwalimu Nyerere (Stiegler's Gorge)?

    NINI TAFSIRI YA MEGAWATTS 2,115 ZA UMEME WA BWAWA LA MWALIMU NYERERE (Stiglers Gorge)? Wengi tunaona na kusikia kuhusu habari ya utekelezaji wa mradi mkubwa wa uzalishaji umeme wa maji wa Megawatts 2115 kutoka kwenye Mto Rufiji, mradi uliobuniwa na Mwalimu Nyerere toka mwaka 1975 na sasa...
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwa 'Tafsiri' tu ya haraka haraka 'umegundua' nini kati ya haya 'Matukio' makubwa Mawili dhidi ya hawa Wasanii?

    Msanii Nandi alipopanda Jukwaani wala Mheshimiwa Rais 'hakushoboka' nae mpaka pale Nandi Yeye kama Yeye alipoamua 'Kujipeleka' Kwake ili avalishwe 'Kofia'. Lakini kwa Msanii Zuchu Yeye alipopanda tu Jukwaani Mheshimiwa Rais hakusubiri hata muda uchelewe ambapo aliamka na Kuelekea alipokuwa Zuchu...
  12. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Nini maana ya "Kuishi Vizuri na Watu"? Je, ni sahihi kuenenda ndivyo sivyo ili kujijengea taswira njema katika jamii?

    S.hikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums. Ndugu zangu watanzania eti; Nini maana ya "Kuishi Vizuri na Watu"? Je, ni sahihi kuenenda ndivyo sivyo ili ujijengee taswira njema katika jamii? Kuna siku moja mwezi wa August mwaka huu wa 2020 nikiwa nimemaliza mizunguko yangu huko Kariakoo...
  13. Hussein Massanza

    JamiiForums Tanzania Ndoto tunazoota na tafsiri zake

    Umofia kwenu wakuu, Wapo watu ambao wanapenda kujua maana au tafsiri za ndoto kwa kuwa nyingi huwa zinakuja kwa mtindo wa mafumbo. Wapo wanaoamini kuwa ndoto zina taarifa zenye miongozo au kutoa tahadhari kwenye mwenendo wa maisha yao ya kila siku. Hivyo kuzielewa kuna maana kubwa sana kwao...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Hii ndiyo tafsiri ya Rais Magufuri ya "Maendeleo hayana vyama"

    Tumuombee maana maendeleo hayana vyama. Miradi ya maendeleo inachangiwa na watanzania wote kwa kulipa kodi bila kujali vyama vyao
  15. Mpinzire

    JamiiForums Tanzania Ijue vyema tafsiri ya Megawati 2115 za umeme

    Kama kuna jambo ambalo Rais John Magufuli atakumbukwa sana na vizazi vya sasa na vijavyo ni kuamua kuendelea na ujenzi wa mradi wa kuzalisha umeme wa maji katika Mto Rufiji, mradi ambao ulipingwa sana na mabeberu. Hata hivyo, baadhi ya Watanzania wanasikia kuhusu habari ya utekelezaji wa mradi...
  16. Titicomb

    JamiiForums Tanzania GE2020 Serikali Amkeni: Taarifa lukuki za kutekwa wagombea wa chama kimoja tu cha siasa zisizo na uthibitisho ni hatari kwa usalama wa taifa

    Kuna taarifa mpya ya kutekwa mgombea wa CHADEMA kwa ngazi ya UDIWANI na UBUNGE kila baada ya dakika chache ndani ya siku 5 za mwisho kuelekea siku ya leo tarehe 25/08/2020 ya kupitishwa majina ya wagombea na NEC. Nyingi ya hizi taarifa hazina uthibitisho kiasi kwamba zinaleta hofu kuna watu...
  17. Matope

    JamiiForums Tanzania Tafsiri ya Viapo vya Utii na Maadili mtumishi akitoa siri za Umma nini kitamtokea?

    Wakuu habari, Nimetafakari leo viapo vya utii na maadili kwa mfano ikatokea ukatoa siri za kambi nini kinatokea? Kwa mfano Bwana Paul Makonda akaamua kutumegea nini kipo huko akatoa siri za mabaya yote ya ofisi ya mkoa na aliyoamrishwa kufanya inakuwaje? Kuna Sheria inayombana au kumfunga kabisa?
  18. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu: Hakuna tafsiri yoyote ya kisheria nchini inayosema kuna kitu kinaitwa kampeni kabla ya wakati

    Watu wanasema nafanya kampeni mapema. Hakuna tafsiri yoyote ya kisheria nchini, inayosema kuna kitu kinaitwa kampeni kabla ya wakati. Na kama wakisema hii ni kampeni kabla ya wakati, basi wasisahau kuwa Rais Magufuli amekuwa anafanya kampeni kwa miaka mi5 sasa.
  19. N

    JamiiForums Tanzania Wadau, vazi la dera linafaa kwa mpenzi/mke wa mtu?

    Mtu wangu anapenda sana vazi la dera; akitoka ni dera tu na mara chache ni sketi au gauni.....anasema kanga au kitenge haviwezi kuvaa kwa maana hajavizoea na huwa vinampa shida sana anapovaa safarini ikiwemo kutomshika vizuri hali inayopelekea kutaka kumvuka hivyo kumkosesha utulivu. Katika...
  20. Tajiri Tanzanite

    JamiiForums Tanzania Watalaam wa kiroho naomba tafsiri ya jambo hili

    Hapo vipi Kuna kitu cha ajabu huwa kinanitokea kwa muda mrefu sasa, nikawa nachukulia kama jambo la kawaida ila sasa naona..sio jambo la kawaida kabisa. Iko hivi kipindi nasoma kuanzia secondary mpaka university, nikichua daftari au paper kusoma mara mara japo sio kila siku inajitokeza kitu...
Back
Top Bottom