Nimeota napambana na paka mwitu Jeusi la kutisha kwa kupigana nalo kwa muda mrefu. Naomba tafsiri ya hii Ndoto

elyamuia

Senior Member
Aug 21, 2020
113
225
Ndugu habarini,

Nina matumaini kuwa wazima,Naombeni mnisaidie kunipa maana ya ndoto Nimeiota jana Usiku.

Ipo hivi,niliota napambana na paka mwitu Jeusi la kutisha kwa kupigana nalo kwa muda mrefu baada ya muda yule paka akapotea.

Ndoto nyingine pia niliota kwenye tupo kwenye gari aina ya costa nipo mimi Pamoja na wanafunzi niliomaliza nao miaka hiyo na Abiria wengine Gari ilikuwa inakimbia sana mimi na mwenzangu mmoja tukaruka kupitia dirishan baada ya muda mfupi gari ikapasuka taili na kupata ajali na kudumbikia mtoni. Baada ya Hapo NdotO ikaisha

Hizi zinamaanisha nin? Naomba mnisaidie
 
fazili

JF-Expert Member
Jun 10, 2011
8,669
2,000

Umekuwa ukiwindwa kwenye ulimwengu wa roho na unaelekea umenusurika katika jaribio la kukupiga katika roho. Lakini hii haimaanishi kuwa upo salama, umekoswakoswa tu na usipojipanga vizuri unaweza ukapatikana wakati ujao. Unapaswa kujiweka vizuri na Mungu, ushirikina utakufanya ushambuliwe na waovu kirahisi, achana na ushirikina na mtafute Mungu wa Kweli na nguvu zake utakuwa salama.
 
TODAYS

JF-Expert Member
Apr 30, 2014
8,532
2,000
Bwana mdogo elyamuia huu ushauri hapa chini nahisi unaweza kuwa moja ya ushauri mzuri sana wakati unasubiri kutoka kwa wengine.
Umekuwa ukiwindwa kwenye ulimwengu wa roho na unaelekea umenusurika katika jaribio la kukupiga katika roho. Lakini hii haimaanishi kuwa upo salama, umekoswakoswa tu na usipojipanga vizuri unaweza ukapatikana wakati ujao. Unapaswa kujiweka vizuri na Mungu, ushirikina utakufanya ushambuliwe na waovu kirahisi, achana na ushirikina na mtafute Mungu wa Kweli na nguvu zake utakuwa salama.
 
elyamuia

Senior Member
Aug 21, 2020
113
225
Umekuwa ukiwindwa kwenye ulimwengu wa roho na unaelekea umenusurika katika jaribio la kukupiga katika roho. Lakini hii haimaanishi kuwa upo salama, umekoswakoswa tu na usipojipanga vizuri unaweza ukapatikana wakati ujao. Unapaswa kujiweka vizuri na Mungu, ushirikina utakufanya ushambuliwe na waovu kirahisi, achana na ushirikina na mtafute Mungu wa Kweli na nguvu zake utakuwa salama.
asante ndugu,ila sijihusishi kabisa na Mambo ya Hiza au kishirikina.Huwa Nakua Mtu wa Maombi SaNa labda ndio inapelekea kuwindwa na hawa Watu Waovu.asante kwa majibu
 
My Sons Legacy

JF-Expert Member
Feb 4, 2019
3,108
2,000
Naomba na Mimi nipewe tafsiri ya hii ndoto

Nimeota Watu wanazika kaburini na siwajui hata. Na hio Siku sikuwa nimetaka kulala ila nikapitiwa tuu na usingizi nadhani ilikua like 15min nikashtuka toka usingizini na baada ya hapo majira ya saa 11 kasoro alfajiri nikiwa macho. Kuna kitu kikubwa(Approx 3-4 kg of weight ) kimeanguk juu ya bati hap napolala. Kutoka nje sioni kitu.

Baada ya hapo Siku kadhaambele Nilinusurika sana sana kusombwa na boda boda. It was so close wajameni
 
elyamuia

Senior Member
Aug 21, 2020
113
225
samahani pia NduGu kwani endapo ingetokea NimePigwa kupitia Ulimwengu Huo wa Roho nini kitatokea.?
 
elyamuia

Senior Member
Aug 21, 2020
113
225
Umekuwa ukiwindwa kwenye ulimwengu wa roho na unaelekea umenusurika katika jaribio la kukupiga katika roho. Lakini hii haimaanishi kuwa upo salama, umekoswakoswa tu na usipojipanga vizuri unaweza ukapatikana wakati ujao. Unapaswa kujiweka vizuri na Mungu, ushirikina utakufanya ushambuliwe na waovu kirahisi, achana na ushirikina na mtafute Mungu wa Kweli na nguvu zake utakuwa salama.
samahani pia NduGu kwani endapo ingetokea NimePigwa kupitia Ulimwengu Huo wa Roho nini kitatokea.?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom