tafsiri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    JamiiForums Tanzania Leo ni kilele cha wiki ya tafsiri

    Tujue kwanza tafsiri ni nini? Tafsiri ni uhawilishaji wa maudhui kutoka lugha moja kwenda nyingine. Tafsiri inakupa maana iliyolengwa katika lugha ya kwanza kwenda lugha lengwa. Kuanzia tarehe 24 septemba ni wiki ya tafsiri ambayo kilele chake ni 30. Kwa nini tarehe 30? Ni kwa sababu ilikuwa...
  2. Mystery

    JamiiForums Tanzania Ni upotoshwaji kuita kuwa Demokrasia si sawa na kinywaji cha "coca-cola" bali demokrasia ina tafsiri moja tu Dunia nzima

    Kumekuwa na upotoshwaji mkubwa kutoka kwa wale wanazoziendesha nchi zao kiimla na kujitetea kuwa demokrasia siyo sawa sawa na kinywaji cha coca-cola ambapo radha yake itakuwa moja Dunia nzima. Tafsiri sahihi ni kuwa demokrasia ni moja Dunia nzima na ni serikali ya wananchi, iliyochaguliwa na...
  3. Kibosho1

    JamiiForums Tanzania Hii hapa Tafsiri ya "Manka" kichagga na tabia zao

    Leo tujionee hili jina maarufu sana kwa watoto wa kike wa kichaga. Manka ni jina la asili la kichaga analomiliki mtoto wa pili wa kike kuzaliwa. Hata kama hatolitumia lakini huwa linajulikana tu baada ya kuzaliwa wa pili kwa watoto wa kike. Jina Manka uchagani(kote kwanzia Rombo hadi...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Je, kuna maono au tafsiri gani juu ya jambo hili?

    Natumai mnaendelea vyema na majukumu yenu. Leo ni mara yapili naona paka wakifanya mapenzi. Nilikuwa room mapema leo nikasikia kelele za paka kwa nje, kucheck kupitia window naona paka wakifanya yao juu ya ukuta wangu. Baada ya kumaliza paka jike akajilamba mwili mzima then akaondoka. Mara ya...
  5. Von Bismarck

    JamiiForums Tanzania Ni ipi tafsiri ya maneno O-rejeshi na aina za kauli mbalimbali katika lugha ya kiingereza

    Kama kichwa kinavyo jieleza, ningependa kujifahamu jinsi maneno haya yanavyo tumika katika lugha ya kiingereza Katika kiswahili matumizi ya O-rejeshi (o,ye,lo,po,ko,mo,zo n.k) kama ataka-ye- kuja Ana-cho-pata Wali-o-fika Zili-zo-mo Swali, Je? O-rejeshi katika lugha ya kiingereza...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mbunge Jerry Silaa kuingia na Sanduku la Vitabu kwenye Kamati ya Maadili inaleta tafsiri gani?

    Tumeshuhuduia jinsi Mbunge wa Ukonga Jerry Silaa alivyoingia na sanduku lililosheheni vitabu na nyaraka mbalimbali, pale alipoitwa na kamati ya maadili kwa ajili ya mahojiano. Najaribu kutafakari kwamba kitendo kinaleta tafsiri gani, lakini nakosa majibu, mwenye majibu tafadhali atuwekee hapa...
  7. jMali

    JamiiForums Tanzania Utambulisho wa "Wakili Msomi" kwa Mawakili au wanaSheria

    "Wakili msomi" ina maana gani? Je kuna wakili "asiye msomi"? inamaanisha nini? Msaada tafadhali.
  8. L

    JamiiForums Tanzania Tafsiri ya ugaidi duniani haipaswi kutolewa na nchi za magharibi tu

    Tarehe 21 Agosti ya kila mwaka ni siku ya kimataifa ya kukumbuka wahanga wa ugaidi. Umoja wa Mataifa uliichagua siku hii kwa makusudi, kutokana na changamoto ya ugaidi kuwa kubwa na kuathiri watu wengi duniani. Mwezi Aprili mwaka huu katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Bw. Antonio Gutiérrez...
  9. Mtafiti77

    JamiiForums Tanzania Ninaomba tafsiri rasmi ya Communication skills

    Wanajopo habari ya Jumapili, Wale mnaokumbuka kozi/somo tajwa hapo juu, yani, COMMUNICATION SKILLS, ninawaomba Kiswahili chake rasmi. Shukrani
  10. B

    JamiiForums Tanzania Vazi lenye nasaba na dini kuvaliwa na Askari kanzu katika Ukamataji linatupa tafsiri mbaya kimataifa kama nchi

    Moja ya Askari aliyeshiriki Ukamataji Kisutu amefunga kitambaa ambacho uvaliwa na waumini wa dini flani hasa kipindi Cha mfungo na sikukuu kuashiria vazi lenye star na linaloitambulisha dini hiyo kwa watu wengine. Inapotokea Askari akavaa vazi Hilo na kufanya Ukamataji Tena unaodhaniwa kwenda...
  11. fundi bishoo

    JamiiForums Tanzania Kuna app ambayo naweza kuweka makala ya Kiingereza initafsirie?

    Habari wakuu kwema? Nataka nijue kama kuna app ambayo naweza nkapaste stori au makala fulani ya Kiingereza halafu initafsrie nataka nitafute ujuzi tofaut tofauti tatzo lugha nayo inakua ngumu naomben msaada kwa anaeijua hyo app #yesbishoohaswaaaa
  12. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Tanzania Msaada wa tafsiri ya ndoto hii

    Habari wakuu, Kabla sijalala nilimuomba MUNGU anifunulie jambo fulani kupitia ndoto, sasa nilipolala nimeota Niko na kaka yangu namsindikiza safari akanipa dumu/galoni limejaa divai/whine nikawa nakunywa kwa kulimiminia mdomoni huku tukiendelea kupiga story. Itakuwa na maana gani?
  13. Kiranja Mkuu

    JamiiForums Tanzania Naomba tafsiri ndoto hii: Niko juu ya mbuyu na wachawi. Je, Kissendi anataka niwe mchawi?

    Historia yangu kwa ufupi Mimi ni mzaliwa wa pili tena ni mzaliwa wa Kwanza. Mama yangu ana watoto watatu na Mimi ndiye mzaliwa wake wa pili kati ya watoto watatu. Kwa baba tuko wanaume wanne na wa kike wawili ila Mimi ndiye mkubwa kabisa. Baba yetu alishatangulia mbele za haki miaka ya...
  14. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Utajuaje kama Watu fulani wanaandamana, Tafsiri hasa ya neno Maandamano ni ipi?

    Kwa Mjini kama Dar es Salaam na kwingineko si jambo la ajabu kukuta makundi ya watu mabarabarani wakitembea kuelekea huku na kule , wengine masokoni , wengine kwenye viwanja vya soka , wengine wakitafuta Bar nzuri za kunywea pombe zao baada ya uchovu wa hapa na pale , wako pia wengjne...
  15. Mzalendo_Mwandamizi

    JamiiForums Tanzania Ombi la kuwachangia Lissu na Lema: Lengo zuri linaloweza kujenga tafsiri hasi

    Nimeona twiti ya Mheshimiwa Lema akihamasisha Watanzania wamchangie yeye na Lissu ili wamudu gharama za kuzunguka kila kona ya dunia kueleza kuhusu yanayojiri Tanzania re: Mheshimiwa Mbowe. Naelewa kuwa "gharama za kuzunguka dunia" ni kubwa, hasa kipindi hiki ambacho usafiri wa kimataifa...
  16. Narumu yetu

    JamiiForums Tanzania Siri usiyoijua kuhusu ndoto na tafsiri zake

    Kwanza nianze kwa kuelezea ndoto maana yake, Ndoto ni mkusanyiko wa matukio ambayo binadamu huyaweka kichwani kwake ambayo humjia bila zuio (involuntary) kwenye ubongo wakati akiwa amelala,matukio haya huwa hayaeleweki na saa nyingine huwa kinadharia zaidi mfano kuota unapaa wakati kiualisia...
  17. P

    JamiiForums Tanzania Nini Tafsiri ya kongamano la BAVICHA lilofanyika Dar na hili la Mwanza?

    Mwezi uliopita Bavicha waliaanda kongamano huko Dar, wakaongea hadi jasho na likapita. Je, Mwanza wangeacha jasho liwatoke silingepita kama Dar.
  18. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Katuni ya Kingo na Tafsiri rahisi ya kivuli kirefu cha madaraka ya Rais

    Hii ndo tafakari niliyoielewa toka kwa bwana Magiri. Je, ni nini unachokiona kutoka kwa mchoro huu wa Bwana Kingo?
  19. Zero Competition

    JamiiForums Tanzania Huwa unatafsiri vipi unapoitwa shem darling

    Heshima kwenu wadau MMU Kuna huu usemi ambao huwa wanapenda sana kuutumia watoto wa kike pindi unapokua shemeji yao hasa ukiwa unatoka kimahusiano na rafiki yao wa kike. Usemi huu ni wakawaida ingawa kila mmoja wetu huenda akawa anautafsiri kwa namna anavyoona inafaa, wengine husema kwamba...
  20. D

    JamiiForums Tanzania Makamanda wa Polisi kupambana na ujambazi kwa maelekezo ya wanasiasa inakupa tafsiri gani?

    Je, Polisi wanawaelimishaje Raia namna ya kutoa taarifa za kiuharifu haraka? Jukumu la kwanza kabisa la polisi ni kulinda Raia na Mali zao. Na hiki ndicho kiapo wanachopewa. Ujambazi, uporaji na ukabaji unapotukia hauhitaji kabisa kauli ya mwanasiasa yoyote ili polisi watekeleze wajibu wao...
Back
Top Bottom