Nini ipi tafsiri ya maneno "Hadidu za Rejea"?

KMMS

JF-Expert Member
Jan 24, 2017
304
583
Salaaam, salaam!

Wakuu ni imani yangu kuwa nyote mu-wazima, shughuli za utafutaji wa mkate wa kila siku zinaendelea, wale wenye changamoto mbalimbali poleni na mungu awafanyie wepesi.

Nije kwenye lengo la uzi huu, wakuu naomba mnisaidie maana ya maneno haya "hadidu za rejea" maneno haya nimekua nikiyasoma sehemu mbalimbali ila maana yake imekua ikinichenga. Tafadhali nifungueni katika hili.

Newmonia inaua, tuchukue tahadhari.
 
Terms of reference (TOR) define the purpose and structures of a project, committee, meeting, negotiation, or any similar collection of people who have agreed to work together to accomplish a shared goal. Terms of reference show how the object in question will be defined, developed, and verified.
 
Shukrani Mkuu, ila hiki Kimombo Bwana 😁
 
Salaaam, salaam!

Wakuu ni imani yangu kuwa nyote mu-wazima, shughuli za utafutaji wa mkate wa kila siku zinaendelea, wale wenye changamoto mbalimbali poleni na mungu awafanyie wepesi.

Nije kwenye lengo la uzi huu, wakuu naomba mnisaidie maana ya maneno haya "hadidu za rejea" maneno haya nimekua nikiyasoma sehemu mbalimbali ila maana yake imekua ikinichenga. Tafadhali nifungueni katika hili.

Newmonia inaua, tuchukue tahadhari.
Dondoo
 
Hadidu za rejea kwa kiingereza terms of reference mara nyingi huwekwa kwa mkutano (meetings), Miradi (projects) au hata huduma za ushauri (consultancy), humaanisha dondoo a makubaliano au yale maeneo mnayotakiwa kuzingatia kama muongozo iwe kwenye mkutano , mradi au huduma za ushauri...na hii haifanani na "agenda"...
 
Back
Top Bottom