tafadhali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. TRA tafadhali angakieni upya huu utaratibu wa kitambulisho cha machinga

    Mimi ni mjasiliamali mdogo mdogo,nayajua maumivu tunayo yapitia sisi wajasilia mali wadogo.Natambua uwepo wa wafanya biashara weye mitaji mikubwa ambao wamejigeuza kuwa machinga kwa lengo la kukwepa ulipaji kodi. Hata hivyo wapo wengi ambo ni machinga halisi,pia wapo pia ambao hapo awali...
  2. Mke ni mama wa watoto wako, tafadhali wachagulie kilicho bora

    Ndugu zangu! Hii ni zawadi kubwa na ya kwanza unayoweza kuwapatia wanao kabla hata hawajazaliwa. Wapende na uwaheshimishe wanao, wachagulie mama bora chini ya jua. Hata kwa mujibu wa mandiko matakatifu, Jehova alifanya vivyo hivyo. Na hata Yesu alipoandaliwa mwana-punda, ni yule asiyepandwa...
  3. Kwa wanaosema biashara ya duka haina faida, soma hapa tafadhali

    Kumekuwa na malumbano kuwa biashara ya duka hasa rejareja haina faida. Leo nitaleta baadhi ya bidhaa tu kupinga malumbano hayo (maana ndo ishu nnayoifanya) Just kabla sijaanza, ukitaka kuona mafanikio ya hii biashara wewe muuzaji uwe mtaji wa kwanza. Kichwa chako kiwe mtaji dukani pia mazoea...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…