tafadhali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Lyetu

    JamiiForums Tanzania Kama umewahi kutumia simu aina ya LG Velvet 5G G900UM maoni yako yanahitajika tafadhali

    Habari za mchana wapendwa katika bwana. Kwakuwa hii ni sehemu ambayo inatukutanisha watu wenye uzoefu wa vitu na mambo mbali mbali, basi namimi nakuja kwenu leo kuomba maoni kuhusu hii simu LG Velvet 5G G900UM. Kama umewahi kuitumia vipi kuhusu ubora wake haswa Speed, Kutunza Charge kwenye...
  2. Babumawe

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kupata connection za ajira na machimbo mengine

    Hivi sasa kutafuta ajira Tanzania ni kazi ngumu sana. Ukweli ni kwamba kuna watu wengi zaidi wanatafuta ajira lakini wanakosa connection ya watu either hafahamiki na watu wenye potential au hata baadhi ya machimbo ya kwenda kujishikiza hayajui. Unakuta mtu kamaliza chuo hana hata pa kuanzia au...
  3. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Askofu Cheyo zama za kujikomba zimeshapita, tafadhali punguzeni sifa nje ya uhalisia

    "Tangu uingie madarakani, tumeshuhudia serikali yako ikichukua hatua dhidi ya viongozi mbalimbali wenye tuhuma za matumizi mabaya ya madaraka." Askofu Alinikisye Cheyo. My Take: Ukiondoa Kakoko na Sabaya who is the other? Kasome ripoti ya CAG halafu mngemuuliza mama vipi kuhusu kina...
  4. King Loto

    JamiiForums Tanzania Kwa Kijana yeyote mwenye uhitaji wa kazi hii tafadhali nicheki

    Okay Kwema Wakuu Mi ninacho amini hali zetu haziko sawa katika haya maisha na wapo tuliotoka familia duni au tunaishi kwa rafiki au hata ndugu kwa masimango na manyanyaso makubwa. Mbali zaidi wapo wanaotakwa Kingono ili wapewe kazi kwa hawa kina dada zetu na kina kaka siku hizi japo kwa uchache...
  5. King David133

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada kwenye ajira portal

    Nimejaribu kujisajili kwenye ajira portal. Kuna kipengele kimeniletea shida nimeshidwa kuelewa nifanye vipi. Kipengele cha academic qualifications. Msaada wenu tafadhali🙌🙏🏻
  6. A

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali, mabaka meusi usoni niyaondoaje?

    Kwa asili mimi ni mweupe lakini kuna hali ya weusi kwenye paji la uso hali inayofanya kuwa na rangi mbili. Kwa mtaalamu mwenye uzoefu na hii hali maana JF ina watanashati wengi tuelimishane ni sabuni au mafuta gani yataondoa hii hali ya mabaka, nimejaribu apricot scub sioni matokeo. Nawasilisha.
  7. mpndz

    JamiiForums Tanzania Mgonjwa wangu anapata maumivu ya bega kwa miezi 3

    Habar wana jf na wataalam wa afya kwa ujumla. Nina mgonjwa kwa miezi 3 amekuwa akigugumia maumivu bega la upande wa kulia. Naomba ushauri wenu please kwani nimejaribu sana kumpa mazoezi ya kawaida na massage lakin juhudi hazijazaa matunda
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Watanzania tuamueni lililosahihi hapa tafadhali

    Je, tung'ang'anie Katiba Mpya huku Uchumi wetu Ukidorora au tuimarishe na tukuze Kwanza Uchumi wetu na Katiba Mpya tuwaachie Vizazi vijavyo? Leo nitakuwa ninasoma tu Maoni yenu.
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Rais Samia siyo kila Kitu cha Hayati Rais Dkt. Magufuli ni cha Kuigaiga tu, tulia nawe tengeneza 'Leadership Style' yako tafadhali

    Yaani Mtangulizi wako Hayati Rais Dkt. Magufuli alianzisha tabia ya Kuvizia Wasanii wenye Majina makubwa nchini wakiwa 'on the Stage' wakitumbuiza na Kuwapigia Simu Kuwapongeza nawe Jana umeamua upite mule mule kwa Kumpigia Msanii wa Kike Nandy akiwa anatumbuiza Mkoani Dodoma na Kumpongeza pia...
  10. Relief Mirzska

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, tafadhali usianzishe mchakato wa Katiba mpya mpaka ujiridhishe usimamizi wa mchakato huu

    Wakuu, Mwanzo kabisa napenda ku-declear interest kwamba mimi natamani nchi yangu Tanzania ipate katiba mpya. Mjadala wa katiba mpya ni mjadala mrefu sana unaohitaji umakini, utashi na ujuzi juu ya mambo yahusuyo sheria na uendeshwaji wa nchi. Katiba ni mjumuisho wa taratibu, sera, sheria na...
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tafadhali 'mliooa' jitahidini kuwaridhisha wake zenu kwani Mabachela waandamizi tumechoka wuwasaidieni kazi Maghettoni mwetu

    Haiwezekani kati ya Wake za Watu Kumi ( 10 ) unaowabandua (unaolala) nao Tisa ( 9 ) ukiwa nao Vitandani wanalalamika kuwa Waume zao wamekuwa 'Goigoi' kama Wachezaji wa Klabu ya Yanga SC na kwamba hawawafurahishi wala kuwaridhisha tena kama walivyokuwa Wachumba wakiwa wanabaiolojiana. Mabachela...
  12. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Naombeni machimbo ya kuku wa kienyeji tafadhali

    Naomba kufahamishwa wapi/mkoa upi nitapata kuku wa kienyeji kwa jumla na kwa bei nzuri? Pamoja na aina ya usafiri toka huko masokoni /minadani kuleta mjini. Asanteni
  13. Mtu Asiyejulikana

    JamiiForums Tanzania Mh. Rais umekuja umetuona sisi vijana na tumepata nafasi ya kukusikia. Likumbuke hili jambo Ukiwa mezani pako Tafadhali

    Sisi vijana kwa kweli tumefurahi sana. Sana safari hii tumepata Rais Jembe hasa. Yaani ameshaonana na makundi yote ndani ya muda mchache sana. Ashaonana na wazee (na tunashukuru mzee wetu mwinyi ulimpa zawadi ya gari) ukaonana na wanawake, umeonana na vijana nadhani bado kuonana na wanaume...
  14. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Serikali (Waziri Bashungwa) tafadhali toeni tamko lenu la kimamlaka kuhusu ''Uhuni'' unaendelea kufanywa na klabu ya Yanga

    Sasa ni Mwezi unakatika kila ukiamka tu ni lazima ukumbane na Makundi mbalimbali ndani ya Klabu ya Yanga wakisema kuwa hawatocheza Mechi yao na Simba SC iliyopangwa Kufanyika tarehe 3 July, 2021. Kila hawa Wapuuzi na Wahuni (Yanga SC) kupitia Makundi yao Kuanzia Msemaji wao Mshamba ( Mbwiga )...
  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kama ni kweli Simba SC inamsajili Edward Manyama, Mwenzake Mohammed Hussein aonywe 'asimroge' tafadhali

    Nimezipokea hizi 'Tetesi' kwa Furaha kubwa mno na kama itakuwa ni kweli kwani Edward Charles Manyama ni Beki Bora wa Pembeni anayecheza 'Kisasa' zaidi tena kuliko aliyeko Mohammed Hussein Tshabalala. Uzuri wake Edward Charles Manyama ni kwamba haishii tu kukupa Faida ya Kukaba vyema bali pia...
  16. EMMANUEL JASIRI

    JamiiForums Tanzania Raisi samia Suluhu Hassan tumwache aifanye kazi yake kwa amani, vinginevyo tutajikwamisha kwa namna hii

    Sasa hivi katika mitandao ya kijamii Kuna kundi ambalo linaweka mijadala mingi ya kumlinganisha Raisi huyu utendaji wa Marehemu Magufuli Hili kundi linaongozwa na Veronica France Ni kama kundi hili lipo kinyume,halijaridhika kuona Samia Suluhu akiwa raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
  17. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Familia za VIP's Tanzania tafadhali muwe mnawahi ' Kukanusha ' taarifa za Kuzushiwa 'Vifo' Ndugu zenu kuliko Kuzinyamazia tu

    Kuendelea tu Kunyamaza Kwenu kama sehemu ya ( za ) Familia ni kutoa mwanya kwa Wazushi na Wambea ' Kutudanganya ' Watanzania na kuanza kuishi kwa Taharuki ( Wasiwasi ) kitu ambacho nakiona kama vile hakina Ustawi Kwetu. Ila GENTAMYCINE huwa nikisia Taarifa za chini chini ( za Uzushi ) kuwa...
  18. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kamarada Amos Makalla tafadhali Wewe ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam na wala si Mkuu wa Mkoa wa CCM Dar es Salaam

    Katika Mtu ambaye GENTAMYCINE nimepanga nisiwe namsema ( namsiliba ) hapa JamiiForums kutokana na kuwa ni Mdau wangu mkubwa wa Miziki ya Congo DR ( Misebene ), Mwana Simba SC Mwenzangu na Mtoto wa Mjin vile vile ni Wewe Amos Makalla ( Mkuu wa Mkoa mpya wa Dar es Salaam ) Pacha ( Mdau ) Amos...
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wakati wana Yanga wakiwacheka wana Simba kwa Kutokufuzu, Mchanganuo huu Muhimu wa Alama unawahusu na wauelewe vyema pia

    Ufuatao ni Mchanganuo wa Alama wa kwanini Msimu ujao katika Michuano ya Kimataifa Tanzania inaingiza takribani Timu Nne. Simba SC imechangia Alama (Points) 24 kutokana na Kushiriki Kwake na Kufanya vyema kwa Kujitahidi Kufika hadi Robo Fainali kwa miaka Miwili. Namungo FC imechangia Alama...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Tafadhali hizi Kanzu Nyeupe nyingi Mitaani leo zifanye hata Roho zetu ziwe Nyeupe kwa Mungu hadi Funga ijayo 2022

    Ni matumaini yangu makubwa Krav Maga hivi ninavyopishana na Kanzu nyingi nyeupe Mitaani leo basi hata Wahusika nae kwa Miezi 11 ijayo nao Roho zao zitakuwa Nyeupe hivyo hivyo. Ushauri wa bure wengine ambao huwa hampendi Kuvaa Kanzu au hamjazoea Kuzivaa basi muanze Kuchukua Mazoezi taratibu ya...
Back
Top Bottom