tafadhali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Tafadhali Viongozi wa sasa kama Mmemchoka na Kumkinai Hayati Mwalimu Nyerere tuambieni tu na siyo kuanza Kumdharau kiasi hiki

    Leo ni Kumbukumbu ya Kufa ( Kututoka ) Kwake cha Kushangaza badala ya Mtu kwenda kumuweka Shada Kaburini Kwake anawekewa Shada Mtu mwingine tena aliyekufa mwaka huu. Naona taratibu sasa mnataka 'Kuififisha' hii Siku yake Muhimu kwa kufanya 'Mautumbo' yenu nje kabisa ya Mukhtaza wa Kumbukumbu ya...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Kwa wajuzi wa Metamask wallet tafadhali

    Habari Wakuu, Huu uzi nilitaka niupost kule kwenye jukwaa la teknolojia lakini post nyingi ninazopost kule response inakuwa ndogo. Nadhani hapa ndio kuna audience kubwa. Natumia digital wallet ya Metamask lakini Nina token ambayo inaonyesha value ya approximately $12 lakini kwenye etherscan...
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, tafadhali usiogope kuliamua hili, litakufanya ukumbukwe na vizazi na Pepo utaiona haraka

    Rais sema tu kuwa kuanzia sasa hakuna Wanafunzi wa Vyuo Vikuu kukopeshwa Pesa na kwamba kuanzia sasa Wanafunzi wote wenye Sifa za kwenda Chuo Kikuu Serikali itawasomesha bure na kuwapa 100% ya Mahitaji yao. GENTAMYCINE nimekuomba hili nikijua kuwa liko ndani ya Uwezo wako, Uchumi unaruhusu na...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Nasikilizia tafadhali usinisumbue

  5. M

    JamiiForums Tanzania Tuliochoshwa na Taifa Stars pamoja na Usimba na Uyanga huku tukiiombea Kesho ifungwe Benin tafadhali tujitokeze tujuane

    Kesho navalia kabisa na Jezi yangu ya Benin hivyo mliopo katika Kibanda Umiza Tegeta Nyuki ole wenu Kesho mniguse mtanitambua. Na nimetoka kupata Mkanda wangu Mweusi wa Karate pale kwa Warusi Sea View Upanga na kwa Mwezi sasa Kocha wake Twaha Kiduku alikuwa akinifundisha Kupiga Ngumi za...
  6. mnoel

    JamiiForums Tanzania msaada tafadhali naomba yeyote mwenye autocard app na cracks zake, im really in need

    Msaada tafadhali; yeyote anayeweza kunisaidia app ya Autocard, na cracks zake, the current one.
  7. mnoel

    JamiiForums Tanzania msaada tafadhali naomba yeyote mwenye autocard app na cracks zake, im really in need

    Msaada tafadhali; yeyote anayeweza kunisaidia app ya Autocard, na cracks zake, the current one.
  8. teac kapex

    JamiiForums Tanzania Msaada wako tafadhali kuhusu Modem k3772-z

    Kama kichwa cha habari kinavyosema naomba msaada wa..... hebu ngoja nitoe kwanza maelezo ili mjue nahitaji nini. Hapo mwanzo nilikuwa naitumia modem tajwa hapo juu lkn sijui nilikosea wapi ile setup ikaondoka nasasa hivi haipo mwanzoni nilikuwa nikichomeka modem kwa mara ya kwanza inajiinstall...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Simba SC japo mnaniumiza Moyo kwa Matokeo yenu, ila kwa Kuwapenda Kwangu tafadhali uzingatieni huu Ushauri wangu mambo yatakaa sawa sasa

    1. Timu ipelekwe upesi kwa Mtaalam wetu ama Yule wa Zanzibar au wa Morogoro na achaneni na hawa wa Mikoa mengine kwa Wanatumika vibaya na Maadui zetu. 2. Utaalam wa Kutumia Makafara ( hasa ya Damu ) tuachane nayo na sasa turudi katika ule Utamaduni wetu ambao Marehemu akina Mzee Bamchawi na...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kama Kocha wa Simba SC Didier Gomez Da Rosa ameanza Kuugua Uwendawazimu tafadhali akimbizwe upesi Mirembe au Lutindi kwa Matibabu ya haraka

    Hivi inakuingia Akilini kweli unamuacha Beki halisi namba Tatu Bench Mohammed Hussein Tshabalala na unamuanzisha Mtu mwenye uwezo wa Kucheza Beki namba Mbili Israel Patrick Mwenda? Hivi inakuingia Akilini kweli ndani ya Mechi Tatu unaona kabisa Kiwango cha Beki Shomary Kapombe kinashuka halafu...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mightier nikiwa nasema kuwa Yanga SC Kumeshavurugika, kuna Fukuto na Uadui wa chini chini kwa Watendaji muwe mnanielewa tafadhali

    Baada ya Msemaji wa Yanga SC Hassan Bumbuli kuonyesha Chuki zake alizokuwa amezihifadhi dhidi ya aliyekuwa Mtendaji Mwenzake Afisa Uhamasishaji Antonio Nugaz kuna yaliyojiri huko. Najua Watu wengi mnashangaa na Kujiuliza ni Kwanini Msemaji wa GSM Yanga SC Haji Manara kuelekea Mechi ya Watani wa...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Tukiwa tunasema Kanisa Katoliki ndiyo Alama rasmi ya Ukristo Tanzania na Duniani muwe mnatuelewa tafadhali

    Kanisa Katoliki ndilo kanisa halisi linaloonesha ukristo wa kwelikweli. Nimejifunza nidhamu ya hali ya juu ya mababa askofu, nidhamu ya hali ya juu kwa waumini dhidi ya viongozi wao- Alhad Mussa Salum, Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam. Chanzo: bavicha.tz Ukiona mpaka Muislamu anasifia Jambo...
  13. M

    JamiiForums Tanzania mwenye majibu tafadhali leo si ndio 21/09/2021

  14. K

    JamiiForums Tanzania Tafadhali: Mwenye habari kamili kuhusu kuuawa kwa mwalimu huko Kinyerezi Dsm, mtaa wa Kifuru- Msitu wa Nyuki.

    Ni story ya kusikitisha. Ugomvi wa kiwanja. Nimeiona hiyo nyumba inayotakiwa kubomolewakijuujuu tu. Tafadhali mwenye picha kamili
  15. M

    JamiiForums Tanzania Tafadhali tusaidiane kupima Akili za hawa Watanzania Wawili ili tujue nani ni Mwerevu sana na nani ni Kilaza mno

    Mtanzania wa Kwanza kaamua Kuitangaza Tanzania katika Shati lake Kubwa, zuri na lililobuniwa vyema kwa Kuandika Maandishi makubwa ya VISIT TANZANIA. Mtanzania wa Pili kwa Akili zake anazozijua Yeye kaamua Kumuiga wa Kwanza kwa Kuandika mkononi mwa Shati lake Baya na Bovu ( tena kwa Maandishi...
  16. Kibosho1

    JamiiForums Tanzania Anaejua kiwanda cha kununua pembe za ng'ombe kiko wapi msaada tafadhali

    Nauliza hivi malighafi zitokanazo na mazao ya ng'ombe zinauzwa wapi? Na ni kiwanda gani kinanunua kama pembe,meno,ngozi na uume? Vitu hivyo huko China ni dili sana je kwa Tanzania soko liko wapi?
  17. M

    JamiiForums Tanzania Tukisema Akili Duni huwa zinapatikana Jangwani tu pekee muwe mnatuelewa tafadhali

    Katika hali ya Kushangaza na iliyojaa Upuuzi kama si Uduni wa Akili Klabu ya Yanga imepanga kwenda nchini Nigeria na Msafara wa zaidi ya Watu 50 wenye Wachezaji, Waganga wa Kienyeji, Wapishi, Walinzi wa Chooni na Makomandoo. Inadaiwa kuwa hao wengine ni Makomandoo wao ili wasifanyiwe Fujo kama...
  18. JituMirabaMinne

    JamiiForums Tanzania Mnaopakia watoto seat za mbele za gari, tafadhali airbag zinaua

    Watu wengi wanaendesha gari za kijapani. Hivyo hiyo sticker huwa inakuwa na maandishi ya kijapani. Lakini kwa gari za wazungu, hiyo sticker inakuwa kwa kiingereza. Umewekewa tahadhari kwamba kifo au majeraha makubwa yanaweza kutokea. 1. Watoto wa miaka 12 au chini ya hapo wanaweza kuuawa na...
  19. Chendembe

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri tafadhali

    Salaaam. Nimekuwa na changamoto katika maisha yangu na familia yangu. 1. Nilikuwa nimeowa mke wa kwanza 1996 na kubahati kuishi kwa miaka 9 ivi na kupata watoto 3. Lakini, ikaja changamoto mke akawa ananishutumu kuwa nawatuma watu wamzalilishe, akawa anakosa amani aliamini kuwa nawatuma watu...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Mtume Mwamposa, tafadhali fuata Ushauri uliopewa na Madaktari huku Kupenda Kwako Sadaka kunaweza Kukulaza mazima

    Tokea Jumatano ya Wiki iliyopita kulianza Kuenea Taarifa Kanisani Kwako kuwa hali yako ya Kiafya si nzuri. Kama kawaida yangu Mightier nikaona ngoja Kwanza niendelee Kuniridhisha na hizi Taarifa. Siku ya Jumamosi nilibahatika kumpata Mmoja wa Kondoo wako tena ni Mhudumu nikamtega na akafunguka...
Back
Top Bottom