tafadhali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. David Mgeni

    JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza tafadhali

    Wakuu kwema samahani naomba kuuliza kuna vifaa vya michezo huwa vinakanywaga miguuni unavicontrol kwa miguu miwili vina matairi mawili ni kama skate board lakini vinatofautiana kwa anaevijua naomba jina lake rasmi la kiingereza na picha pia
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Tafadhali naomba kujua ni Maombi gani hapa Mwenyezi Mungu anayependa na Kuyabariki upesi?

    Je, 1. Yule anayesali kwa muda mfupi tu lakini akimaanisha huku akifupisha ( summarize ) matakwa yake kwa Mungu? 2. Yule anayesali Siku nzima na kwa Makelele mengi na akirudia rudia matakwa yake kwa Mungu? 3. Yule anayesali pale akijisikia tu ila Matendo yake kwa Wanadamu ni mema siku zote.
  3. N

    JamiiForums Tanzania Ni ipi kozi nzuri kati ya hizi?

    Kwa wataalamu wa IT Na ICT, na masoko jinsi yalivyo. Course ipi ni nzuri? 1 . Web designing 2. Vfx and animation 3. Software and programming languages 4. Tally 5. Cyber security 6. Computer hardware and maintainance 7. Computer hardware anda networking 8. 9. 10. Ongeza chaguo jingine ikibidi...
  4. Litro

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu huu ujenzi

    Wakuu nawasalimu kwa jina la Jamuhuri. Nna kaunjezi kapo kwenye level ya kupaua sasa pesa ya mbao ipo mfuko wa shati ila ya bati itapatikana baada ya kama mwezi na nusu. Mimi nilitaka kuweka hii pesa mpaka ninunue bati ambazo nitaomba ushauri muda ukifika. Ila kwa sasa naomba ushauri maana...
  5. Mtumaini Mungu

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wako tafadhali ili nipate matibabu

    Naliinua na kulitukuza jina lako We Bwana, Baba Muumba wa vyote vyenye uhai na visivyo hai. Habari zangu ndugu zangu, imekuwa karibu miezi miwili nikiwa kimya hapa jukwaani, sababu hasa za ukimya wangu ni maradhi yanayonisumbua na kunitesa kiasi kupelekea kutomudu majukumu yangu ipasavyo. Mwezi...
  6. issac77

    JamiiForums Tanzania Wajuvi wa cryptocurrency msaada wenu tafadhali

    Mfano nimedepost usd 50 kwenye crypto wallet nikanunua ethereum coins za thaman hiyo nikazi-hold,.. baadae ethereum coin zikashuka sana thaman sokoni zile usd 50 zikapukutika. Je, wallet yangu itasoma negative (- 50) ili soko ilikipanda zipande tena ama wallet itasoma zero kabisa yani hamna...
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi tafadhali msituchoshe katika hili na huu 'Unafiki' wenu

    Jeshi la Polisi Nchini limewataka wananchi waliotoa taarifa za kuibiwa simu na kutozwa fedha ili watafutiwe simu zao waende kwa Makamanda wa Polisi Mikoa (RPCs), Wakuu wa Upelelezi (RCOs) au wakuu wa upelelezi Wilaya (OC-CIDs) kwa ajili ya kuchukuwa hatua ili askari hao waliofanya utovu wa...
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nikiwa kama Rais wa Mashabiki 'lia lia' wa Bendi ya Wenge BCBG yake JB Mpiana hapa JamiiForums naomba kuwajua Wenzangu tafadhali

    Tafadhali naomba ukiwa kama mwana Wenge BCBG yake JB Mpiana uniambie ni kwanini Nyimbo hizi Nne zifuatazo haziishi Utamu na wala hazichuji miaka nenda rudi? 1. Champion Kapangala ( Sebene ) 2. Omba ( Rhumba ) 3. Wallah Danico ( Sebene ) 4. Sans te Toucher ( Rhumba ) Kama una 'updates' zozote...
  9. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Nehemia Mchechu na Lawrence Mafuru warejea ulingoni, January Makamba awateua Wajumbe wa Bodi ya TANESCO

    Taarifa kamili hii hapa
  10. Unique Flower

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni vizuri kufanya mapenzi kabla ya ndoa au baada kipi ni kipi? Ushauri tafadhali

    Wajumbe hawajamuacha mtu salama kauli hii ni enzi hizo. Wadau tuchambueni maada hii kwanu nipo njia mbaya sijui chakufanya. Before or after ndio poa.
  11. kavulata

    JamiiForums Tanzania Vyama vya Upinzani tusaidieni Watanzania kujibu maswali haya tafadhali

    Kwa heshima na taadhima mimi binafsi naheshimu mawazo mbadala ya kuliendea jambo kulitatua ili kuliondosha, kuliboresha au kupata ahueni. Tangu wimbi la demokrasia ya vyama vingi litue Afrika ikiwemo Tanzania tumeshuhudia uanzishwaji wa vyama vingi ambavyo vinasema kuwa kuna njia rahisi sana ya...
  12. Camilo Cienfuegos

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Kassim Majaliwa: Wawekezaji njooni tuna umeme wa kutosha

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, ameendelea kutoa wito kwa wawekezaji kuja kuwekeza nchini kwa sababu Tanzania ina ardhi, barabara na umeme wa kutosha. Aidha, Waziri Majaliwa pia ameiagiza Wizara ya Viwanda na Biashara kuendelea na utaratibu wa kukutana na wizara au taasisi za serikali na binafsi...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Wana Simba SC wenzangu tafadhali tumkope Akili Beki Dickson Job na tumpe Mshambuliaji wetu John Boko ili zimsaidie Kiufanisi Uwanjani

    Kama leo ningepewa Furushi la Fimbo za Mianzi au Mipera na kuambiwa nimchague mchezaji wa Taifa Stars aliyenikera ilipocheza na Madagascar na nimchape nazo nina uhakika Mshambuliaji wangu wa Simba SC angezikoga kama siyo Kuzichezea sana. Haiwezekani Beki wa Yanga SC ninayemuhusudu (...
  14. Liwagu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimrudishie hela yake au nikaushe tu?

    Jana nilikuwa na PC yangu mapambano apa Board Room, tukapiga bia tam kadhaa nikaona simuelewi elewi nikamwambia oya, sina mipango leo ningekufyatua chap chap. Akasema ulijuajee, hatamimi nilikuwa nashindwa tu kusema. Nikamwambia ndio ivyo sina kitu akasema atazamini pambano ila leo lazima...
  15. Mngurimi

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Naomba mwenye ujuzi wa mashine za kubeti anisaidie tafadhali

    Ndugu, habari za wakati huu. Bila kupoteza muda ningependa kuomba msaada kwa yeyote mwenye uelewa juu ya zile mashine ambazo zinatumiwa kwa ajili ya kubeti mfano, premier bet, pm bet n.k Naomba kujua cost ya kuwa wakala au kununua. Pia naomba kujua commission yake kwa mwezi, namna ya...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Mchambuzi Privaldinho wa Clouds FM tafadhali acha Kutuzidishia Machungu na Kutupandisha Hasira Watanzania wapenda Soka

    'Sasa ni Saa 12 na tupo hapa Uwanja wa Ndege JNIA tukijiandaa Kuruka kwenda nchini Madagascar. Tunawaombeni Watanzania wote mtuombee tufike Salama, tucheze na tushinde Mechi na twende QATAR Mwakani,' Privaldinho Chanzo: Clouds FM Sports Extra leo. Kwahiyo tuwaombee muende mkafungwe tena au...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Watanzania tusiopenda Unafiki na Ng'ombe Kunenepeshwa Siku ya Mnada na kutaka Congo DR na Madagascar watufunge tujuane tafadhali

    Wala nisiwafiche baada ya kuona Watu wa Yanga SC ( tena kutokea GSM ) ambao KEROZENE siwapendi na nawachukia ndiyo wamepewa Kipaumbele kwa Maandalizi ya Taifa Stars nimeuza Siri zote za Kambi ya Taifa Stars na Alhamisi Tanzania ikishinda ni Sare ila Kufungwa ni kama Israeli na Roho ya Binadamu...
  18. LEO_TENA

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Soma mkasa unitesao akili yangu

    Habari wana JamiiForums! Poleni na hongereni kwa utafutaji wenu, Mungu abariki kazi za mikono yenu. Kama kichwa kinavyojieleza pale juu, naomba usome uzi wangu, na mwisho unaweza nishauri. kupitia huu uzi nawe utapata funzo piaa. NAANZA; Kipindi cha miezi miwili iliyopita nilipata nafasi ya...
  19. pombe kali

    JamiiForums Tanzania Nimeibiwa gari na majambazi nyumbani, msaada tafadhali

    Ni gari aina ya pajero io nyeupe T893 DWT maeneo ya bahari beach wameiba vitu vingi atakayeona msaada tafadhali gari haina mafuta ya kutosha kwa hiyo itakuwa imezima njiani popote
  20. C

    JamiiForums Tanzania Simba tafadhali msimchukue yule kocha wa Mamelodi, please mtajuta sana

    Litakuwa kosa kubwa la karne narudia tena kosa kubwa mnoooo Mookoena huyo wa south africa au kocha yoyote msouth affrica hafai kabisa nasikia Pitso Mosimane kampigia pande hapo, do not hire him. Wa south africa haswa weusi wanatudharau sana , hata mitandaoni ukiona jinsi wanavyokandia leagues...
Back
Top Bottom