tafadhali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. H

    JamiiForums Tanzania Mwenye taarifa hii tafadhali atuwekee humu.: jeshi la polisi lakamata madereva 150 wa mabasi ya mikoani.

    Habari wanajamvi. WIKI HII inayoishia leo 21 May 2022 Nilikuwa nimekaa mahali usiku nikasikia kwenye radio kwa mbali ilikuwa ni taaarifa ya habari nikawa interested kuisikia lakini bahati mbaya ikawa imepita. Nimejaribu kuitafuta kwa bidii kwenye mtandao nimeikosa.Inaelekea haina intrest...
  2. Baba Rhobi

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa photoshop na digital painting msaada wenu tafadhali.

    Wakuu habari ya nyie kuna hii picha hapa nahitaji kujua namna kuedit kama hivyo, mimi naishia kuweka strokes tu, lakini sijawahi fikia hii level ya hizi cartoon, labda mnipe muongozo ni technique gani hii jina lake ili nifatilie youtube make ukitafuta kwa cartoon za kawaida haiji.
  3. Mbaga Jr

    JamiiForums Tanzania Msaada: Shule ni ya boarding ila wameandika ni college

    Inasikitisha sana wakuu
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Tulioona mapema kuwa Bernard Morrison hatufai Simba SC na aachwe, ila 'tukatukanwa' na 'kudhihakiwa' Mitandaoni tuombwe Radhi tafadhali

    Binafsi naanza kusubiri Kuombwa Radhi zenu hizo kwani nilishaona Kitambo matatizo ya huyu Mchezaji, nikapaza sana Sauti hapa Jamiiforums kuwa aachwe mara moja na nikaishia Kutukanwa na Kudhihakiwa kama kawaida ya 'Mapopoma' wengi waliojazana. Ahsante Mwenyezi Mungu kwa Maono.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Dkt. Tulia tafadhali usitulie na barua ya CHADEMA. Toa kauli tumsome Rais kupitia wewe

    Uamuzi wa Dr. Tulia kuhusu covid-19 baada ya barua ya pili kufikishwa ofisini kwake itatoa taswira kamili ya mama SSH kuhusu demokrasia. Mama kupitia kinywa chake amejipambanua kuwa ni mpenda haki , maridhiano na amani. Sasa uamuzi wa spika utaithibitishia dunia kama anayaishi maneno yake ama...
  6. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Mambo 30 usiyoyajua kuhusu utapeli wa Q-Net (Network Marketing)

    Habari wadau, niliwahi kuja na uzi hapa kuhusu D09 CLUB Miezi michache kabla haijapotelea kusikojulikana na nilishambuliwa sana na waliliwa pesa zao na bila kujua hatma yao wanarudishiwa vipi na nani. Leo naomba nije na mambo 30 usiyoyajua kuhusu Qnet. Qnet ni network marketing ambayo imevuta...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Msimamo wa Ligi tafadhali

    Mwenye kuweza kutupa msimamo wa ligi mpaka usiku huu naomba afanye hivyo. Yanga bila shaka amebakiza mechi nane kama sio saba mpaka kufikia leo huku akimzidi Simba kwa pointi kumi. Tusaidieni wenye takwimu sahihi.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Wataalam, tafadhali naomba kujuzwa jambo lifuatalo:

    Nakumbuka nilipokuwa na umri wa miaka 6 hivi, niliwahi kuugua sana sana. Baada ya muda, kuona kwangu kukawa kwa ajabu. Nilikuwa naona vitu viwiliviwili quite exactly! Kama mapacha waliozaliwa kutokana na yai lililogawanyika, kiasi kwamba mlangoni nilikuwa najigonga kwa kukosea mlango. Kila...
  9. I

    JamiiForums Tanzania Miti gani inafaa kupandwa kwenye makazi yaani nyumbani?

    Nielezee na jinsi ya kuipanda ikiwezekana tafadhali
  10. JituMirabaMinne

    JamiiForums Tanzania Tatizo la engine ya gari kuchemsha. Tafadhali pitia uzi huu, unaweza kupata chochote

    Uzi huu ni mrefu. Tafadhali soma wote. Huenda kuna kitu utajifunza. Risk Disclaimer⚠️⚠️⚠️⚠️ Usifungue mfuniko wa rejeta engine ikiwa imepata moto. Unless kama umeamua kujifanyia plastic surgery ya sura yako wewe mwenyewe. Tafadhali zingatia hili. Kwanza kabisa naomba niweke sababu za gari...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mlio na Mtazamo wangu kama huu kwa 'Kariakoo Derby' ya jana tarehe 30 April, 2022 tujuane tafadhali....

    1. Kujiona ( Kujimwambafai ) kabla ya Mchezo kuanza kwa Mshambuliaji Hatari wa Yanga SC Fiston Mayele kulichangia Kumharibu / Kumharibia Kisaikolojia kwani Kitendo kile ni kama vile kiliwapa Kengele Mabeki wa Simba SC waongeze juhudi maradufu katika Kumdhibiti hadi akashindwa Kufurukuta. 2...
  12. Faana

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mwenye Filamu ya Zawadi Iliyochezwa na TASUBA Tafadhali Naomba Kiunganishi

    Wandugu wapendwa; Naikumbuka hiyo filamu yenye mafunzo mengi na yenye kuburudisha ilichezwa mwanzoni mwa mwaka 2000, waigizaji ni wabobezi, wacheshi na wabunifu sana kutoka Chuo cha Sanaa Bagamoyo wakati huo, ilikuwa inaonyeshwa na Mlimani TV, mwenye nayo tafadhali tuburudike pamoja naomba...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kikosi cha Yanga SC yangu (yetu) Kesho nashauri kiwe hiki na Kisibadilishwe tafadhali

    FIRST ELEVEN tunayoitaka icheze Kesho 1. Msheri 2. Shomary 3. Yassin 4. Job 5. Shaibu 6. Mauya 7. Kaseke 8. Mapinduzi 9. Ushindi 10. Makambo 11. Ambundo Tafadhali sana Uongozi wa Yanga SC Sisi wana Yanga SC wenye Uchungu hapa JamiiForums wakiongozwa na Mimi MINOCYCLINE tunataka Kesho kipangwe...
  14. voicer

    JamiiForums Tanzania Royal Tour! kulikoni wagharimiaji hawatajwi hadharani? Tunaishia kuambiwa ni Watu Binafsi

    Tangu Rais Samia ameingia nchini leo asubuhi. Ametoa hotuba mara mbili kupitia TBC. Moja ni pale Kwenye hafla fupi ya mapokezi uwanjani Kilimanjaro, leo asubuhi. Na nyingine ni pale AICC kwenye uzinduzi wa Royal Tour nchini jioni hii. Mara zote Mheshimiwa Raisi amelipa kipaumbele suala la...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali juu ya hints za kujisomea sana na kwa muda mrefu

    Habari za wakati huu ndugu zangu,naombeni hints za mbinu za kuweza kwanza kupata hamu ya kujisomea,pia kujisomea sana na kwa muda mrefu mno, natamani nisome hata 24hrs/7 ila tatizo kubwa ni usingizi na najikuta nakosa kabisa hamu ya kujisomea baada ya kutoka vipindi. Mimi ni mwanafunzi wa...
  16. Faana

    JamiiForums Tanzania Morogoro: RTO Tafadhali Shughulikia Trela Lililotelekezwa Mbugani Mikumi Bila Alama Zozote za Tahadhari

    Napenda kumtaarifu RTO wa Morogoro kuwa kuna trela la semi limetelekezwa tangu Jumamosi last week mpaka jana usiku mbugani mikumi kama kilomita 15 kutoka mjini, trela hilo halina alama zozote za tahadhari, halina reflective stickers wala triangle, tumepita hapo jana majira ya saa 2 na bus nusura...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Nyote mnaosema kuwa Simba SC jana ilionewa sana na Refa ( Mwamuzi ) tafadhali nijibuni upesi haya Maswali yangu yafuatayo

    Je, 1. Refa ndiyo alikipanga Kikosi kile cha wasiwasi cha Simba SC Jana? 2. Refa ndiyo alimwambia Mshambuliaji wetu Mpuuzi Chris Mugalu acheze Faulo za Kipumbavu ambazo zilitugharimu Kiufundi hasa pale alipotolewa kwa Kadi Nyekundu? 3. Refa ndiyo alimwambia Kocha wa Simba SC Pablo Franco...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Tafadhali yule JamiiForums Member maarufu aliyesema mapema kwa Kujiamini kuwa Simba SC anatolewa leo na akatukanwa sana aombwe Radhi upesi

    ID yake nimeisahau ila nikiikumbuka nitaitaja hapa au wale wanaoijua wataitaja muda si mrefu kwani ni Maarufu mno. Nakumbuka alianza kwa kusema ( tena kwa Kujiamini kabisa ) kama ilivyo kawaida yake kuwa Yanga SC ndiyo watakuwa Mabingwa wa NBC Premier League huku akitoa sababu zake za Kiufundi...
  19. N

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali; huyu mke kila akienda kwao basi hurudi kichwa kinamuuma!

    1. Humwambii kitu na kwao, haswa bibi yake anapoumwa.....yupo tayari hata kukopa nauli akamuone 2. Kila akirudi huko kichwa kinamuuma lkn ndo anapenda kwenda hatari Kuna nini hapa?!!!! Nimeanza kupatwa na wasiwasi
  20. Michael mbano

    JamiiForums Tanzania Degree tatu huwa zinakuwaje?

    Mtu anayekuwa na digrii 3 au zaidi je anakuwanazo ktk fani tofauti? Na je ipi maana ya phd kwa kirefu? Na masters nini na ktk hao yupi yupo juu? Nasubiri
Back
Top Bottom