Mwenye kufahamu ugonjwa huu tafadhali

Bahati furaha

JF-Expert Member
Jul 11, 2012
3,030
1,384
Mwenye kufahamu tiba ya hii kitu asaidie wadau.

Huu ni ugonjwa ambao husumbua sana kwenye migomba na baadhi ya miti.

Tafwa.jpg
 
Nadhani huu ndio uke ugonjwa nilisikia serikali inatembez bakuli Ili kufanya research. Kuwa mpole mtaambiwa ni ugonjwa gani watemveza bakuli watakapo pata mshiko
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom