Shikamoo 'Fundi' Khalid Aucho na tafadhali endelea hivyo hivyo tu kuwaweka Yanga SC wote Kiganjani na Kuwafanya vile utakavyo

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,554
108,897
Yanga SC: Tafadhali rudi utusaidie huko Mapinduzi Cup Zanzibar.

Khalid Aucho: Hamna Akili pitieni upya Mkataba wangu nanyi.

Yanga SC: Hivi ni kwanini Unatusumbua hivi?

Khalid Aucho: Wakati mnanishobokea na Kunihitaji kwa Udi na Uvumba Wachezaji wasio Wasumbufu duniani hamkuwaona?

Yanga SC: Kwanini unapenda Kukaa katika Nyumba ya peke yako tu pale katika Apartments za Palm Village Mikocheni wakati Wachezaji Wenzako wote wa Kigeni wanakaa katika Nyumba Moja tu kule Mbezi Beach?

Khalid Aucho: Kwakuwa Mimi nina Akili halafu najitambua kuliko Wao walivyo Mazuzu na Kazi yao ni Kujiremba na Kujipodoa tu.

Yanga SC: Tumetolewa jana Nusu Fainali Mapinduzi Cup na Azam FC kwakuwa Wewe Mchezaji wetu Tegemeo hukuwepo.

Khalid Aucho: Pumbavu zenu hivi siyo nyie mlioniruhusu Wenyewe nije Mapumzikoni Nyumbani Kampala Uganda na mkasema kuwa hata kwa Kikosi kilichobakia mtatetea Kombe?

Yanga SC: Basi tusamehe Kaka tumekosa....!!

Khalid Aucho: au nihamie Simba SC dirisha hili dogo ili mkome?

Yanga SC: Unadhani ni nini Kimepungua na Kimeongezeka Yanga SC?

Khalid Aucho: Akili zimepungua sana na Upumbavu umeongezeka mno.

Yanga SC: Tunaanza Mazoezi Jumatano kujiandaa na Mchezo wetu muhimu dhidi ya Coastal Union FC ya Tanga.

Khalid Aucho: Naingia Dar es Salaam leo Jumanne Mchana kama nilivyowaahidi ila nataka Mshahara wangu wa sasa uwe Tsh Milioni 30 vinginevyo namfuata Pape Ousmane Sakho kule Simba SC.

Yanga SC: Kwa sasa kutokana na Ukata Yanga SC kiukweli Mshahara huo hatutoweza kwani Magodoro ya GSM hayajauzika kwa Wingi, Klabu ina Madeni na tumetumia Kizembe mno Pesa nyingi Kuihujumu Simba SC katika Ligi Kuu ya NBC ila tunasikitika tulidhani itafungwa na ndiyo Kwanza inashinda na Kutupumulia tu kwa nyuma.

Khalid Aucho: Hivi kwa Akili zenu kabisa mnadhani Yanga SC yetu hii itakuwa Bingwa mbele ya Simba SC ambayo naipenda na ndiyo Klabu yangu ya Rohoni?

Khalid Aucho anawanyoosha Yanga SC.
 
Aliyekuambia jamaa hana kazi ni nani?
Nilitegemea kwakuwa ameshajua Mimi ni 'Jobless' basi badala ya Kunidhihaki ndiyo angekuwa Msaada Kwangu kwa kunipa Ajira ama katika Kampuni yake au huko Ofisini Kwake.

Mimi ni Rais wa Jobless Wote Tanzania.

Cc: dem boy, NAWATAFUNA etc.
 
Yanga SC: Tafadhali rudi utusaidie huko Mapinduzi Cup Zanzibar.

Khalid Aucho: Hamna Akili pitieni upya Mkataba wangu nanyi.

Yanga SC: Hivi ni kwanini Unatusumbua hivi?

Khalid Aucho: Wakati mnanishobokea na Kunihitaji kwa Udi na Uvumba Wachezaji wasio Wasumbufu duniani hamkuwaona?

Yanga SC: Kwanini unapenda Kukaa katika Nyumba ya peke yako tu pale katika Apartments za Palm Village Mikocheni wakati Wachezaji Wenzako wote wa Kigeni wanakaa katika Nyumba Moja tu kule Mbezi Beach?

Khalid Aucho: Kwakuwa Mimi nina Akili halafu najitambua kuliko Wao walivyo Mazuzu na Kazi yao ni Kujiremba na Kujipodoa tu.

Yanga SC: Tumetolewa jana Nusu Fainali Mapinduzi Cup na Azam FC kwakuwa Wewe Mchezaji wetu Tegemeo hukuwepo.

Khalid Aucho: Pumbavu zenu hivi siyo nyie mlioniruhusu Wenyewe nije Mapumzikoni Nyumbani Kampala Uganda na mkasema kuwa hata kwa Kikosi kilichobakia mtatetea Kombe?

Yanga SC: Basi tusamehe Kaka tumekosa....!!

Khalid Aucho: au nihamie Simba SC dirisha hili dogo ili mkome?

Yanga SC: Unadhani ni nini Kimepungua na Kimeongezeka Yanga SC?

Khalid Aucho: Akili zimepungua sana na Upumbavu umeongezeka mno.

Yanga SC: Tunaanza Mazoezi Jumatano kujiandaa na Mchezo wetu muhimu dhidi ya Coastal Union FC ya Tanga.

Khalid Aucho: Naingia Dar es Salaam leo Jumanne Mchana kama nilivyowaahidi ila nataka Mshahara wangu wa sasa uwe Tsh Milioni 30 vinginevyo namfuata Pape Ousmane Sakho kule Simba SC.

Yanga SC: Kwa sasa kutokana na Ukata Yanga SC kiukweli Mshahara huo hatutoweza kwani Magodoro ya GSM hayajauzika kwa Wingi, Klabu ina Madeni na tumetumia Kizembe mno Pesa nyingi Kuihujumu Simba SC katika Ligi Kuu ya NBC ila tunasikitika tulidhani itafungwa na ndiyo Kwanza inashinda na Kutupumulia tu kwa nyuma.

Khalid Aucho: Hivi kwa Akili zenu kabisa mnadhani Yanga SC yetu hii itakuwa Bingwa mbele ya Simba SC ambayo naipenda na ndiyo Klabu yangu ya Rohoni?

Khalid Aucho anawanyoosha Yanga SC.
Choche chochea tunazidi kuuona moto ukiwaka. Utopolo taratibu inaanza kurudi katika hali yake.

Duniani kote sijawahi kuona timu inadhaminiwa kwa biashara ya magodoro.
 
Hana kazi huyo masaa24 yupo mtandaoni
Na mida yangu ya kuwepo hapa JamiiForums ni kama ifuatavyo...

Saa 1 Kamili Asubuhi hadi Saa 2 Kamili Asubuhi

Saa 4 na dakika 15 Asubuhi hadi Saa 6 Kamili Mchana

Saa 10 Kamili Jioni hadi Saa 11 Kamili Jioni

Saa 4 Kamili Usiku mpaka Saa 5 na dakika 59 Usiku.

Tafadhali nakuomba uwe nayo Ratiba yangu hii na hakikisha unawasambazia na Wapumbavu Wenzako wote wenye Chuki pamoja na Husuda nami ili muwe nayo sawa?

Na Mimi ndiyo GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE ( alias ) Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer JamiiForums nzima na mpaka duniani kote.
 
Ahaaaa
 
Unawajulia Sana mkuu. Nabaki nacheka tu
 
Unawajulia Sana mkuu. Nabaki nacheka tu
Wanajitahidi Kushindana nami ila Wananishindwa kwani kama kuna Vita ninayoiweza na Kuimudu vyema ni ya maneno ( Maandishi ) na ile ya kufanya 'Propaganda' iliyotukuka.
 
Back
Top Bottom