Tatizo la engine ya gari kuchemsha. Tafadhali pitia uzi huu, unaweza kupata chochote

JituMirabaMinne

JF-Expert Member
May 4, 2020
3,327
9,328
Uzi huu ni mrefu. Tafadhali soma wote. Huenda kuna kitu utajifunza.

Risk Disclaimer⚠️⚠️⚠️⚠️

Usifungue mfuniko wa rejeta engine ikiwa imepata moto. Unless kama umeamua kujifanyia plastic surgery ya sura yako wewe mwenyewe. Tafadhali zingatia hili.

Kwanza kabisa naomba niweke sababu za gari kuchemsha katika makundi manne. Kama kuna kundi nimeliacha watu wataongezea.

1. Maji hayazunguki.

2. Maji yanazunguka lakini hayapoozwi.

3. Maji yanavuja.

4. Moshi hautoki kwenye engine kwa wakati.

Tungalie moja baada ya nyingine.

1. Maji haya hayazunguki.

Matatizo mengi ya kuchemsha huwa yaanaanzia hapa. Lakini kuna njia rahisi sana ya kufahamu kama gari yako maji yanazunguka au hayazunguki. Tumia njia hii 👇🏾

Kama engine yako maji hayazunguki, Huwa kunakuwa na utofauti mkubwa sana wa joto kati ya Hose mbili za maji zinazoingia kwenye rejeta. Moja huwa ya moto sana kana kwamba huwezi shika kwa mkono[Hose ya juu]. Wakati hose ya pili huwa ya baridi au kuwa na joto la kawaida, na unaweza kuishika kwa mkono hata kwa sekunde nyingi tu[Hose ya chini].

Tafsiri rahisi maji kutozunguka ni kwamba kuna kitu kimeblock njia ya maji au water pump haifanyi kazi.

Kwa maana hiyo sababu za maji kutozunguka huwa ni hizi mara nyingi. 👇🏾

a. Thermostat imeblock hivyo haifunguki tena kurugusu maji.

b. Uchafu kwenye rejeta kwa sababu ya njia zake ndogo.

c. Water pump haifanyi kazi.

2. Maji yanazunguka lakini hayapoozwi.

Muda mwingine maji yanaweza yakawa yanazunguka vizuri kabisa lakini hayapoozwi. Na hakuna Block yoyote mahali.

Hapa huwa kunakuwa na sababu mbili tu.

a. Radiator fan na mfumo wake wa umeme kiujumla. Hivyo kupelekea feni isifanye kazi kwa ufanisi wake.

b. Mfuniko wa rejeta. Mfuniko wa rejeta unatakiwa kufungua njia ya maji pressure ikiwa kubwa kwenye njia ya maji. Ukishindwa kufanya hivyo gari itachemsha tu.

3. Maji kuvuja.

Maji yanaweza kuvujia ndani ya engine au nje ya engine. Kama yatavuja nje ya engine, hakikisha umetafuta panapovuja na umepapata.

Kama yatavujia ndani ya engine yanaweza kuvujia sehemu mbili.

a. Kupitia Cylinder head gasket. Hii ikichoka inaweza kupelekea maji kuingia kwenye chumba ambacho mchanganyiko wa mafuta na hewa huungua.

Ni rahisi sana kulijua hili, kwa sababu gari inaweza kutoa moshi mweupe hata kama ni mchana na engine imepata moto. Pia ukifungua mfuniko wa rejeta na ukawasha gari utaona air bubbles kama vile maji yanachemka jikoni.

Hizo Air bubbles zinaescape kutoka ndani ya engine na ndio maana gari ikiharibu cylinder head gasket huwa inakosa nguvu sometimes.

b. Tatizo kwenye Oil cooler. Maji yanaweza kuvujia kwenye Oil cooler. Hapa tegemea kuyakuta maji kwenye sump au kuikuta oil kwenye rejeta na reserve tank yake.

4. Moshi hautolewi kwenye engine kwa wakati.

Omba sana Mungu usikutane na hii kitu maana hakuna rangi utaacha kuona. Na unaweza kulichukia gari lako.

Sometimes masega yakiziba yanaweza kupelekea moshi kujikusanya na hivyo kupelekea engine kuchemsha.

Unaweza kuangalia back pressure kule unakotokea moshi.

Engine za Cast Iron vs Aluminium Alloy.

Miaka ya nyuma [2000 kurudi nyuma] engine walikuwa wanatengeneza na Cast Iron lakini waliachana na hiyo kitu na kuhamia kwenye Aluminium alloy.

Ukiacha suala la cast iron kuwa stronger, engine kuzalisha power kubwa sababu ya kuwithstand internal pressure pamoja na gharama ndogo ya cast Iron. Cast Iron ni nzito lakini pia kutu.

Aluminium ni nyepesi lakini pia inarahisisha joto kutoka kwenye engine[heat dispation]. Changamoto ya Aluminium alloy engine ni bei kuwa, haiko rigid kama cast iron hivyo inakuwa affected na stress na Haiwezi kuzalisha power kubwa kama cast iron.

Kama gari gari yako ina Aluminium alloy engine[Na ndio gari zilizojaa barabarani] na imeshachemsha mara kadhaa, ukiacha ishu ya cylinder head kubend, hakikisha block halijaharibiwa.

Block za Aluminium alloy zina tabia moja. Gari ikishachemsha matundu kadhaa ya bolt zinazopita kwenye cylinder head kwenda kwenye block huwa yanatanuka.

Na hutojua unless hizo bolt zimefungwa juu ya cylinder head. Ukitoa cylinder head ukafunga bolt zenyewe zinakaza vizuri. Ila kitendo kuweka cylinder head. Bolt hazikazi.

Na asije akakudanganya mtu kwamba matundu ya block yametanuka eti mkachonge matundu mengine. Utatumia gharama kubwa. Bora ukatafute block jingine maana mwisho wa siku utajiona bora ungenunua half engine au mswaki kabisa.

Kuunganisha feni direct.

Kama kawaida tunaendelea kushauri kwamba usiunganishe feni direct.

Kuna matatizo ya kuchemsha huwa yanaanza taratibu, hivyo feni ikiwa automatic inaweza kukusaidia ukajua kama kuna tatizo kwenye mfumo wa upoozaji au lah.

Ukiona feni inazunguka muda wote hujawasha AC au feni ikizima inakaa kidogo sana halafu inawaka tena, jua kwamba kuchemsha kunakuita. Hiyo ni wake up call. Lishike hili.

I hope kuna vitu vya muhimu umevipata.

Kama unahitaji Diagnosis ya Gari lako.

Engine ni Tsh. 30,000/=

Fully systems Tsh. 50,000/=

Nipo Dar, Magomeni, Mwembechai.

0621 221 606 simu/whatsapp.
 
Risk Disclaimer

Matatizo mengi ya kuchemsha huwa yaanaanzia hapa. Lakini kuna njia rahisi sana ya kufahamu kama gari yako maji yanazunguka au hayazunguki. Tumia njia hii

Kama engine yako maji hayazunguki, Huwa kunakuwa na utofauti mkubwa sana wa joto kati ya Hose mbili za maji zinazoingia kwenye rejeta. Moja huwa ya moto sana kana kwamba huwezi shika kwa mkono[Hose ya juu]. Wakati hose ya pili huwa ya baridi au kuwa na joto la kawaida, na unaweza kuishika kwa mkono hata kwa sekunde nyingi tu[Hose ya chini].

Tafsiri rahisi maji kutozunguka ni kwamba kuna kitu kimeblock njia ya maji au water pump haifanyi kazi.

Kwa maana hiyo sababu za maji kutozunguka huwa ni hizi mara nyingi.

Asante mkuu nakufuatilia sana ntakutafuta kesho au ijumaa unifanyie kazi
 
Mkuu naomba kuuliza, hivi mfuniko wa rejeta kazi yake nini hasa? Je nikusaidia maji yasimwagike na kuongeza joto, pia kulant na maji si yanafanya kazi moja sasa Kuna umuhimu gani kutumia kulant na maji?
 
Coolant ina additives zinazosaidia maji yasigande lakini pia kumaintain temperature vizuri. Maji ya kawaida yana hasara nyingine ya kusababisha kutu na uchafu mithili ya tope kwenye radiator, hasa yakikaa muda mrefu
 
Mkuu naomba kuuliza, hivi mfuniko wa rejeta kazi yake nini hasa? Je nikusaidia maji yasimwagike na kuongeza joto, pia kulant na maji si yanafanya kazi moja sasa Kuna umuhimu gani kutumia kulant na maji?
Kazi ya mfuniko wa rejeta huwa ni moja tu mkuu.

Kuregulate presha ya juu ya coolant ili ikizidi isije ikaharibu rejeta au hoses zake.

Wakati engine ikiwa ya moto, Pressure ikizidi huwa inaipush sehemu ya chini ya mfuniko isogee juu ili maji yapungue yaende kwenye reserve tank. Na maji yakishatoka ile sehemu iliyoenda juu inarudishwa na spring iliyopo kwenye mfuniko.

Ukiona mfuniko wako wa rejeta ukiipush ile sehemu ya katikati haisogei tupa huo mfuniko.

Kwa upande wa coolant na maji. Ukiacha ishu ya maji kuharibu engine kwa sababu ya kutu, maji huchemka haraka tena katika joto dogo ukilinganisha na coolant.

Coolant ina heat capacity kubwa hivyo utahitaji nishati kubwa zaidi ya joto ili iweze kufikia joto sawa na ambalo maji yanachemka.

Performance ya maji baada ya kuchemka siyo nzuri ndio maana haishauriwi kutumia maji.

Sababu zipo nyingi mkuu.
 
Uzi huu ni mrefu. Tafadhali soma wote. Huenda kuna kitu utajifunza.

Risk Disclaimer⚠️⚠️⚠️⚠️

Usifungue mfuniko wa rejeta engine ikiwa imepata moto. Unless kama umeamua kujifanyia plastic surgery ya sura yako wewe mwenyewe. Tafadhali zingatia hili.

Kwanza kabisa naomba niweke sababu za gari kuchemsha katika makundi manne. Kama kuna kundi nimeliacha watu wataongezea.

1. Maji hayazunguki.

2. Maji yanazunguka lakini hayapoozwi.

3. Maji yanavuja.

4. Moshi hautoki kwenye engine kwa wakati.

Tungalie moja baada ya nyingine.

1. Maji haya hayazunguki.

Matatizo mengi ya kuchemsha huwa yaanaanzia hapa. Lakini kuna njia rahisi sana ya kufahamu kama gari yako maji yanazunguka au hayazunguki. Tumia njia hii 👇🏾

Kama engine yako maji hayazunguki, Huwa kunakuwa na utofauti mkubwa sana wa joto kati ya Hose mbili za maji zinazoingia kwenye rejeta. Moja huwa ya moto sana kana kwamba huwezi shika kwa mkono[Hose ya juu]. Wakati hose ya pili huwa ya baridi au kuwa na joto la kawaida, na unaweza kuishika kwa mkono hata kwa sekunde nyingi tu[Hose ya chini].

Tafsiri rahisi maji kutozunguka ni kwamba kuna kitu kimeblock njia ya maji au water pump haifanyi kazi.

Kwa maana hiyo sababu za maji kutozunguka huwa ni hizi mara nyingi. 👇🏾

a. Thermostat imeblock hivyo haifunguki tena kurugusu maji.

b. Uchafu kwenye rejeta kwa sababu ya njia zake ndogo.

c. Water pump haifanyi kazi.

2. Maji yanazunguka lakini hayapoozwi.

Muda mwingine maji yanaweza yakawa yanazunguka vizuri kabisa lakini hayapoozwi. Na hakuna Block yoyote mahali.

Hapa huwa kunakuwa na sababu mbili tu.

a. Radiator fan na mfumo wake wa umeme kiujumla. Hivyo kupelekea feni isifanye kazi kwa ufanisi wake.

b. Mfuniko wa rejeta. Mfuniko wa rejeta unatakiwa kufungua njia ya maji pressure ikiwa kubwa kwenye njia ya maji. Ukishindwa kufanya hivyo gari itachemsha tu.

3. Maji kuvuja.

Maji yanaweza kuvujia ndani ya engine au nje ya engine. Kama yatavuja nje ya engine, hakikisha umetafuta panapovuja na umepapata.

Kama yatavujia ndani ya engine yanaweza kuvujia sehemu mbili.

a. Kupitia Cylinder head gasket. Hii ikichoka inaweza kupelekea maji kuingia kwenye chumba ambacho mchanganyiko wa mafuta na hewa huungua.

Ni rahisi sana kulijua hili, kwa sababu gari inaweza kutoa moshi mweupe hata kama ni mchana na engine imepata moto. Pia ukifungua mfuniko wa rejeta na ukawasha gari utaona air bubbles kama vile maji yanachemka jikoni.

Hizo Air bubbles zinaescape kutoka ndani ya engine na ndio maana gari ikiharibu cylinder head gasket huwa inakosa nguvu sometimes.

b. Tatizo kwenye Oil cooler. Maji yanaweza kuvujia kwenye Oil cooler. Hapa tegemea kuyakuta maji kwenye sump au kuikuta oil kwenye rejeta na reserve tank yake.

4. Moshi hautolewi kwenye engine kwa wakati.

Omba sana Mungu usikutane na hii kitu maana hakuna rangi utaacha kuona. Na unaweza kulichukia gari lako.

Sometimes masega yakiziba yanaweza kupelekea moshi kujikusanya na hivyo kupelekea engine kuchemsha.

Unaweza kuangalia back pressure kule unakotokea moshi.

Engine za Cast Iron vs Aluminium Alloy.

Miaka ya nyuma [2000 kurudi nyuma] engine walikuwa wanatengeneza na Cast Iron lakini waliachana na hiyo kitu na kuhamia kwenye Aluminium alloy.

Ukiacha suala la cast iron kuwa stronger, engine kuzalisha power kubwa sababu ya kuwithstand internal pressure pamoja na gharama ndogo ya cast Iron. Cast Iron ni nzito lakini pia kutu.

Aluminium ni nyepesi lakini pia inarahisisha joto kutoka kwenye engine[heat dispation]. Changamoto ya Aluminium alloy engine ni bei kuwa, haiko rigid kama cast iron hivyo inakuwa affected na stress na Haiwezi kuzalisha power kubwa kama cast iron.

Kama gari gari yako ina Aluminium alloy engine[Na ndio gari zilizojaa barabarani] na imeshachemsha mara kadhaa, ukiacha ishu ya cylinder head kubend, hakikisha block halijaharibiwa.

Block za Aluminium alloy zina tabia moja. Gari ikishachemsha matundu kadhaa ya bolt zinazopita kwenye cylinder head kwenda kwenye block huwa yanatanuka.

Na hutojua unless hizo bolt zimefungwa juu ya cylinder head. Ukitoa cylinder head ukafunga bolt zenyewe zinakaza vizuri. Ila kitendo kuweka cylinder head. Bolt hazikazi.

Na asije akakudanganya mtu kwamba matundu ya block yametanuka eti mkachonge matundu mengine. Utatumia gharama kubwa. Bora ukatafute block jingine maana mwisho wa siku utajiona bora ungenunua half engine au mswaki kabisa.

Kuunganisha feni direct.

Kama kawaida tunaendelea kushauri kwamba usiunganishe feni direct.

Kuna matatizo ya kuchemsha huwa yanaanza taratibu, hivyo feni ikiwa automatic inaweza kukusaidia ukajua kama kuna tatizo kwenye mfumo wa upoozaji au lah.

Ukiona feni inazunguka muda wote hujawasha AC au feni ikizima inakaa kidogo sana halafu inawaka tena, jua kwamba kuchemsha kunakuita. Hiyo ni wake up call. Lishike hili.

I hope kuna vitu vya muhimu umevipata.

Kama unahitaji Diagnosis ya Gari lako.

Engine ni Tsh. 30,000/=

Fully systems Tsh. 50,000/=

Nipo Dar, Magomeni, Mwembechai.

0621 221 606 simu/whatsapp.
Mkuu habari,
Una uelewa wowote kuhusu BMW X1? Na kama unao, ushauri wako kuihusu ni upi?
Na between BMW X1 vs Audi 2005 ushauri wako kwenye selection ukizingatia hzo choices mbili na given Audi ni 2005-07? Shukran
 
Kama ungekuwa unachukua BMW X1 na Audi A4 za mwaka mmoja ningeshauri uingie kwenye Audi 4.

Hapo kila moja ina mazuri yake na majanga yake inategemea tu na version uliyochagua.

Tukianza kwa BMW X1 hizi zimeanzia mwaka 2010, Ikitoka na matoleo ya engine kama N20, N46, N52, N55 na N47 kwa upande wa diesel.

Achana kabisa na toleo lenye engine za N20 au N47 kwa gharama yoyote, Both zina majanga ya kukata timing chain, kifuatacho hapo ni kununua msururu wa vitu.

N46 na N52 zimetumika kwenye matoleo kama E90 na E83 ziko poa tu na ukiikuta kwenye X1 utapata mtoleo ya mbeleni ambayo ni mazuri zaidi kuliko yale ya ya mwanzo.

N55 ni engine mpya lakini bahati nzuri haikuja na majanga majanga.

Kwa upande wa Audi A4 kwa miaka hiyo utaangukia kwenye matoleo ya mwisho ya B6 au B7,

Avoid engine yoyote ambayo ni FSI/TSI au TFSI kwa miaka hiyo maana ilikuwa ni tech mpya na ilisumbua sana.

Unaweza kudaka hata Audi A4 B6 au B7 yenye ALT engine, iko poa na haina majanga majanga.

Kila la heri
 
Nashukuru sana sana mkuu.
 
Back
Top Bottom