Msaada tafadhali juu ya hints za kujisomea sana na kwa muda mrefu

Jun 7, 2020
40
10
Habari za wakati huu ndugu zangu,naombeni hints za mbinu za kuweza kwanza kupata hamu ya kujisomea,pia kujisomea sana na kwa muda mrefu mno, natamani nisome hata 24hrs/7 ila tatizo kubwa ni usingizi na najikuta nakosa kabisa hamu ya kujisomea baada ya kutoka vipindi.

Mimi ni mwanafunzi wa diploma in tropical animal health and productions mwaka wa kwanza,semester iliyopita nilikuwa na GPA ya 4.1 nina mpango wa kufanya vizuri zaidi semester hii ila najikuta napoteza kabisa studying appetite ukicompare na ilivyokuwa semester ya kwanza.

NB;sababu ya kutokusoma sana semester hii kusihusishwe na matokeo ya semester iliyopita,kiukweli sijaridhika kabisa maana nishafeli sana level zilizopita kwa hiyo nataka nifanye vema sana level hii ya diploma.

Msaada tafadhali🙏
 
images (8).jpeg
 
Simu iache bwenini. Halafu wewe nenda library. Hata binti mwenye msambwanda mkubwa kiasi gani akipita, usikate shingo kumwangalia.

Masaa manne ya total concentration yanakutosha....
 
Usipendelee sana usomaji kwa kutumia soft copy.
Hard copy ndiyo itakufanya uweze ku maintain concentration kwenye kitu unachokisoma
 
Back
Top Bottom