Dkt. Tulia tafadhali usitulie na barua ya CHADEMA. Toa kauli tumsome Rais kupitia wewe

Sexless

JF-Expert Member
Mar 11, 2017
21,563
50,407
Uamuzi wa Dr. Tulia kuhusu covid-19 baada ya barua ya pili kufikishwa ofisini kwake itatoa taswira kamili ya mama SSH kuhusu demokrasia.

Mama kupitia kinywa chake amejipambanua kuwa ni mpenda haki , maridhiano na amani. Sasa uamuzi wa spika utaithibitishia dunia kama anayaishi maneno yake ama ni giliba za kisiasa tu.

Dr. Tulia, tulia lkn usitulie na barua toka chadema.
 
Chadema itamdhalilisha kila wakala wa Shetani bila kujali cheo chake
 
Tulia anasubiria kesi ifunguliwe mahakamani.ili aseme haiingilii muamala mwingine wa sirikali.tunarudi kule kule nssr mageuzi vs Mrema na cuf lipumba(ccm)vs cuf wananchi.
 
Najua alishajifunza kitu kwani alishuhudia mtu akitoka mbio na kuwacha kiti sitarakiii arudie kosa kwani itakuwa kosa🏃
 
Uamuzi wa Dr. Tulia kuhusu covid-19 baada ya barua ya pili kufikishwa ofisini kwake itatoa taswira kamili ya mama SSH kuhusu demokrasia.

Mama kupitia kinywa chake amejipambanua kuwa ni mpenda haki , maridhiano na amani. Sasa uamuzi wa spika utaithibitishia dunia kama anayaishi maneno yake ama ni giliba za kisiasa tu.

Dr. Tulia, tulia lkn usitulie na barua toka chadema.
Ile barua Chadema walitakiwa wamuandikie mwenyekiti wao kumjulisha uamuzi, wao walikosea kumpelekea spika ingekuwa vizuri wangefanya kama Ndugai alivyofanya kwani huo ndio utaratibu wetu.
 
Maamuzi ya Spika yakiwa yanachelewa haiwezekani wabunge wachache wakiongizwa na Kunambi kupeleka hoja ya dharula bungeni kuhoji kwanini maamuzi ya Taasisi ya Chadema yamekuwa yakidharauliwa huku Bunge ndio watunga sheria?
Bunge liazimie ili kurudisha heshima yakujidemkia.
 
Ile barua Chadema walitakiwa wamuandikie mwenyekiti wao kumjulisha uamuzi, wao walikosea kumpelekea spika ingekuwa vizuri wangefanya kama Ndugai alivyofanya kwani huo ndio utaratibu wetu.
Mmh! Wamjulishe mwenyekiti wa ccm??
 
Uamuzi wa Dr. Tulia kuhusu covid-19 baada ya barua ya pili kufikishwa ofisini kwake itatoa taswira kamili ya mama SSH kuhusu demokrasia.

Mama kupitia kinywa chake amejipambanua kuwa ni mpenda haki , maridhiano na amani. Sasa uamuzi wa spika utaithibitishia dunia kama anayaishi maneno yake ama ni giliba za kisiasa tu.

Dr. Tulia, tulia lkn usitulie na barua toka chadema.
Hii ni mihimii miwili tofauti,acha kumuhusisha rais na bunge,
Haki za hao wabunge hatima yao ya mwisho ni mahakama sio hiyo kangaroo koti
 
Back
Top Bottom