tabora

  1. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Tabora: Wakamatwa wakiwa na Magamba 172 na kucha 16 za Kakakuona

    Kamanda wa Polisi Mkoa, Richard Abwao amesema watuhumiwa wawili walikutwa na Nyara hizo ikiwemo Ulimi na Maini ya mnyama huyo pamoja na Magamba ya Kiboko. Pia, watu 38 wamekamatwa kwa kujihusisha na matukio ya wizi wa Pikipiki 10, uvunjaji na wizi wa Mifugo ambapo Ng’ombe 24 walioibwa maeneo...
  2. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Tabora: Diwani na mkewe wafariki kwa ajali

    Diwani wa Kata ya Kalola Wilayani Uyui (Tabora ), Sauji Daud na mkewe, Magdalena Richard wamefariki dunia katika ajali ya gari usiku wa kuamkia leo Jumanne Oktoba 25, 2022. Akizungumza na Mwananchi leo, Mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya hiyo, Said Ntahondi amesema, diwani huyo na mkewe...
  3. A HUMBLE LEADER

    JamiiForums Tanzania NECTA, kwanini msitumie teknolojia ya malipo kwa wasimamizi wa mitihani ili kuepusha malalamiko kama mkoani Tabora?

    MKOANI TABORA Wasimamizi wa mitihani ya NECTA ya Darasa la nne,kidato cha pili na cha nne walioitwa kwenye semina maalumu pale AMUCTA tarehe 15 na pale Themi Hill tarehe 17 wamelalamika kutolipwa posho za semina na nauli kwa kisingizio eti muongozo wa malipo haujatoka kutokea NECTA...
  4. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Ukoo wa Kivuruga wapewa barabara Tabora

    UKOO WA KIVURUGA UMEPEWA BARABARA TABORA Katika moja ya koo maarufu Tabora ni ukoo wa Kivuruga. Ndugu wawili Maulidi na Abdallah Kivuruga ni watu waliokuwa mashuhuri Tabora mjini katika siasa na harakati za kupeleka mbele Uislam. Wananchi wa Tabora katika mradi wa Anuani na Makazi wametumia...
  5. W

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri wa Madini Dkt. Steven Kiruswa amwagiza Afisa Madini Mkoa wa Tabora kuanzisha Kituo cha Ununuzi wa Madini

    Katika Wilaya ya Igunga ili kurahisisha biashara ya Madini katika Wilaya hiyo inayoongoza kwa uzalishaji wa madini mkoani Tabora. Kwa mujibu wa taarifa ya Afisa Madini Mkazi Mkoa wa Tabora inabainisha kuwa, Wilaya ya Igunga ndiyo inayoongoza katika uzalishaji wa dhahabu mkoani humo ikifuatiwa...
  6. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Asafiri Tabora Hadi Mbeya kunywa maji kikombe kimoja na kurudi Tabora kesho yake

    BASI LEO NIWA FURAHISHE WAKAGUZI WA FACEBOOK MAANA NIMECHOKA NA TABIA YAO YA KUNYAMAZISHA POST ZANGU😀😀. Mimi na mpenzi wangu tulikuwa tuna wasiliana kwa video call kwenye whatsapp jana aliniambia kuwa ana hamu ya kuniona ana kwa ana Kwamba ananihitaji sana niwepo kando yake. “nili muliza vipi...
  7. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Tabora: Walioua Polisi wahukumiwa kunyongwa

    Mahakama Kuu Kanda ya Tabora imewahukumu washtakiwa wanne kunyongwa hadi kufa baada ya kukutwa na hatia ya kuua askari wawili wa Jeshi la Polisi Kituo cha Usoke, wilayani Urambo mkoani Tabora. Hukumu hiyo imetolewa leo Ijumaa Septemba 16, 2022 na Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Mkoa wa Tabora...
  8. Kariobangi

    JamiiForums Tanzania Hiki ni nini TRA mkoa wa Tabora?

    Ukipita pale jengo la ofisi za TRA mkoa wa Tabora,lililokuwa jengo la zamani la iliyokuwa benki ya Nyumba,THB utakutana na uzio wa mabati kuzunguka jengo kiashiria Cha ukarabati, kwa miaka zaidi ya kumi sasa. Je, wahusika ndio kusema ukarabati haujahisha kwa muda wote huo kuondoa uzio wa...
  9. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa, pokea makadirio yangu kibanda cha VETA Tabora

    Kwa kawaida nakerwa sana viongzi kuongelea mambo ya kitaalam bila kutafuta ushauri. Hivi karibuni Mh. Waziri Mkuu alishangazwa kibanda cha Mlinzi katika mradi wa VETA huko Tabora kugharimu Ths 11 million. Mimi sikushangzwa na gharama lakini nilishangazwa na kauli ya Waziri Mkuu Majaliwa kusema...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Kassim Majaliwa karibu mkoani Tabora

    Karibu mkoani Tabora Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa. Tarehe 08 Septembà, 2022
  11. Curtis De Mi Amor

    JamiiForums Tanzania Tabora special thread

    Ukiiangalia Tabora kwanzia igunga , nzega, uyui, tabora sikonge, urambo, kaliua, utagundua huu mji ni wa kipekee sana. Unaongoza kwa uzalishaji wa asali Tanzania nzima, unaongoza kwa uzalishaji wa karanga, unaongoza kwa uzalishaji wa maembe, unaongoza kwa uzalishaji wa ngozi, unaongoza kwa...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Shaka atumia Kijiwe cha Kahawa Tabora kuelezea Mwelekeo wa Rais katika Kilimo

    SHAKA ATUMIA KIJIWE CHA KAHAWA TABORA KUELEZA MWELEKEO WA RAIS KATIKA KILIMO KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa, (NEC) ya CCM, tikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka ametembelea kijiwe cha Kahawa Lumumba kilichopo Tabora Mjini na kunywa kahawa na wananchi na kutumia fursa hiyo kuelezea hatua...
  13. J

    JamiiForums Tanzania SHAKA: Atetema na Kunyunyiza Tabora wafuasi wa CHADEMA washindwa kujizuia waunga msafara

    Tabora wanafuraha sana kumuona Katibu Mwenezi ndg. Shaka Hamdu Shaka mapokezi ni Makubwa sana hata Freeman Mbowe hapokelewi kwa shangwe hivi pale Hai kwao pamoja kuwa ni mwenyekiti wa CHADEMA taifa. Kweli CCM chama kubwa mkubali hapo kaja Mwenezi tu Hali ipo hivyo. Hivi CHADEMA Mwenezi wa...
  14. A

    JamiiForums Tanzania Shaka Hamdu Shaka awasili mkoani Tabora kwa ziara ya siku tano kuimarisha uhai wa chama, kufuatilia na kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM

    Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndg Shaka Hamdu Shaka amewasili mkoani Tabora kwa ziara ya siku tano kuanzia tarehe 16-20 Agosti, 2022 yenye lengo la kuimarisha uhai wa chama, kufuatilia na kukagua utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya chama hicho ya mwaka 2020-2025 pamoja...
  15. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    JamiiForums Tanzania Afisa Elimu mkoa wa Tabora usitumie mtihani ya (dhihaki) Mock kulamba asali!

    Mkuu Pole KWA majukumu Nimepata malalamiko kutoka KWA wakuu wa shule za secondari hapo mkoani Tabora kwamba maandalizi ya mitihani ya mock kidato cha nne na cha pili hayakuridhisha! Kuna kasoro nyingi kama hizi;- 1.Mitihani ilichapiwa kule Mwanza matokeo yake ikachelewa kufika mashuleni KWA...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Mashindano ya UMITASHUMTA na UMISSETA yafunguliwa rasmi Tabora

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa jana Agosti 4,2022 amefungua mashindano ya umoja wa michezo na taaluma kwa shule za msingi (UMITASHUMTA) na Sekondari (UMISSETA) katika uwanja wa Ali Hassan Mwinyi mkoani Tabora. Source: 2eyezmedia
  17. GUSSIE

    JamiiForums Tanzania Furaha ya Albert Chalamila baada ya kuteuliwa Mkuu wa Mkoa Tabora

    Uteuzi wa Chalamila umetoa Funzo kubwa sana kwa vijana, Baada ya kutenguliwa Chalamila aliendelea kuwa na heshima ndani ya chama chetu cha CCM. Chalamila aliendelea kuheshimu mamlaka ya uteuzi na aliendelea kuishi maisha ya kawaida ya kujichanganya na watu. Vijana lazima mjifunze kuheshimu...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa Tabora wamvaa Januari Makamba tatizo la umeme

    Mbunge wa Tabora Mjini, Emmanuel Mwakasaka amesema pamoja na mambo yote yanayofanywa na Wizara ya Nishati lakini wananchi wa Tabora wanataka umeme. "tuongeee yote wanataka kuona umeme ni umeme ni umeme Naye Mbunge wa Urambo, Margareth Sitta amesema nishati ya umeme kwa wananchi ni uchumi na ni...
  19. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Tabora Hotel alipohojiwa Bilal Rehani Waikela 1969

    TABORA HOTEL MAHALI ALIPOHOJIWA SHEIKH BILAL REHANI WAIKELA BAADA YA "MGOGORO" WA EAMWS 1969 ''Kilichobakia baada ya kuvunjika kwa EAMWS ilikuwa ni kujaribu kuiweka BAKWATA katika mikoa kama jumuiya inayowakilisha Waislam wote wa Tanzania Bara. Mwaka mzima wa 1969 Adam Nasibu na kamati ya watu...
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ashuhudia utiaji saini Ujenzi wa SGR kipande cha Nne (Tabora - Isaka 165km), aeleza kutoridhishwa na utendaji wa TPA

    AMOS MAKALLA – RC DAR ES SALAAM Mh. Rais SGR itategemea sana bandari. Nikushukuru sana kwa kutoa fedha bilioni 210 za kuboresha Bandari. - Bandari zimeboreka, mizigo kibao Fedha zile ulizozitoa zimeleta manufaa makubwa. Hapa Dar es Salaam wanasema Bandari sasa ni mgodi – yaani ni mgodi kama...
Back
Top Bottom