Kwanini aliyekuwa Mkuu wa mkoa wa Tabora, Aggrey Mwanri hashutumiwi?

jkipaji

JF-Expert Member
Sep 22, 2019
1,648
2,000
'Kibaka akivamia hapa anapigwa hicho kichwa hadi kinalia kama ngoma ya daku'
Mwandri inaonekana kaishi sana na watu wa Pwani! Ana Kiswahili Cha kipwanipwani! Eti kichwa kitalia Kama ngoma ya Daku!! Mwandri kweli alikua kiboko yao, yaani alikua na fujo zisizoumiza anakupa haki yako unayo staili na wala hulalamiki, maana unaona kabisa hajakuonea!!
 

wa stendi

JF-Expert Member
Jul 7, 2016
20,041
2,000
naomba kujua siri ya huyu mtu aliyekuwa mkuu wa Mkoa Tabora
mbona alikuwa tishio sana kutisha wananchi na kuongea hovyo lakini hashutumiwi kwa lolote??
huyu ni mtu wa aina gani?
Mjeshi mstaafu hivyo zile ni kauli za kiuongozi kulingana na unaowaongoza kama hajampiga mtu stiki kama yule wa kwenu na hajawa na kashfaa ya rushwa hiyo haina shida
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom