A
Anonymous
Guest
Wilaya ya Tabora baadhi ya shule binafsi za sekondari atujalipwa pesa zetu za usajili mtihani wa taifa NECTA kidato cha pili na nne wanafunzi tuliowasajili ni wa Taasisi ya Elimu ya Watu wazima TEWW tangu Mwezi wa tatu 2026 mpaka sasa na mamlaka ipo kimya na ingawa tumeisha wasilisha akaunti zetu malipo kwao