Tabora tunataka RC Muislam sasa

Tabora tunataka RC Muislam sasa

Wana Tabora tuletewe SC Muislam safi ili kuendeleza mkoa wetu. Igembe N'sabo.

Shekhe tayari mnaye, Shekhe Mwaipopo. Mungu awajaalie mnachokihitaji. Badala ya kuomba mtu ajaye awe na maono, mnaomba awe dini fulani, hata kama atakuwa poyoyo.

Ndipo hapo dini zetu zinapotofautiana...basi wawapeni Shekhe Mwaipopo tujue moja
 
oh my God, nilijua tu hii pangua pangua inahusu islamization of tanzagiza, mwisho wa tabora city aka toronto umewadia …
 
Mkoa wenyewe umejaa wapagani huo!

Dini zipo mijini tu na kwenye visenta kama Bukene kwingineko vijijini ni vibuyu na ramli chonganishi.😀
 
Kuna uhusiano gani ya uongozi maendeleo na dini?kwani viongozi wakristo wameshindwa kuleta maendeleo? Je wapi umeona mifano kwamba viongozi wa dini yako ndo waleta maendeleo?
 
Back
Top Bottom