Club ya Tabora united Imeuzwa rasmi Na sasa itamilikiwa na Mamlaka ya Mapato Nchini TRA makao makuu Dar es Salaam
Uongozi wa TRA umewapa muda wa miezi mitatu waliokuwa Viongozi wa Tabora united kuhakikisha wanatafuta kazi sehemu nyingine kabla ya kukabidhi Rasmi nyaraka za Club kwa mmiliki...
Jana azam media wametangaza stori kuhusu ubovu wa taa za kuongozea magari za isevya Tabora.Zimeharibika toka mwezi wa pili mwaka huu.Hii ni aibu,waziri anayehusika hebu nenda mwenyewe ukamuondoe yule meneja wa tanroads maanaajibu aliyotoa ni uzembe
Moto umezuka na kuteketeza nyumba yenye vyumba tisa ambayo anaishi mmoja kati ya wachungaji wa iliyotokea usiku wa jana Jumatano, Agosti 20, 2025, hakuna mtu aliyepoteza maisha lakini mali mbalimbali zilizokuwamo zimeteketea.
Mchungaji Amosi Chidemi ambaye alikuwa anaishi katika nyumba hiyo...
==Ndugu Wananchi, katika kipindi cha miaka mitano, sekta ya usafiri wa anga na reli katika Mkoa wa Katavi imeimarika ambapo Mkoa ulipokea Shilingi 1,444,617,687.63 (Bilioni 1.444) kwa ajili ya ujenzi wa jengo la utawala na abiria la kipekee ambalo tayari limekamilika na linatumika, huku huduma...
Huko Tabora, mkuu wa mkoa acharuka kuwatishia wananchi kuhama kwenye mkoa huo kisa kukataa mwenge ulio na picha ya Rais
Hii inaleta maana gani kwa Wananchi kuanza kukataa jambo la kitaifa, sababu tu linafungamanishwa na siasa za ccm?
Ni kwamba, Rais hakubaliki sasa...! Ama wanataka kuona...
Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM, Mussa Mwakitinya (MNEC) amewasihi viongozi wana CCM mkoa wa Tabora, kuendelea kuwa wamoja na kuzuia mipasuko inayoweza kukipata Chama wakati mgumu wa kuitafuta Dola
Mwakitinya ameyasema hayo mara baada ya kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM cha Mkoa wa...
Kuanzia jana jioni nilianza kuona maruweruwe (halucinations) na muda mwingine nasikia watu wanatembea nikiwa nimekaa, ila nikigeuka siwaoni. Nikachukulia poa. Usiku nimekunywa maji ya moto yenye tangawizi ili walau nipate usingizi, ila na penyewe ikawa holaa. Kuna nyakati nasikia mtu anavuta...
Wanachama wa Chama cha Mapinduzi mkoa wa Tabora wamejitokeza kushiriki zoezi la kujaza fomu ya kumdhamini mgombea mteule wa nafasi ya Urais kupitia Chama hicho Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread...
Katika ripoti yake kwa waandishi wa habari Mkuu wa Mkoa wa Tabora amesema yafuatayo namnukuu Katika kipindi cha 2021|25 Serikali ya Rais Samia imetumia TZS225.993bn kwa mchanganuo ufuatao TANROADS TZS124.277bilioni, TARURA TZS101.716bilioni kuimarisha mtandao wa barabara wa kilometa 10,592...
Chini ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan utoaji wa huduma za elimu mkoani Tabora umeimarika kwa kiasi kikubwa kupitia ujenzi na ukarabati wa miundombinu pamoja na ongezeko la walimu.
Serikali imetoa jumla ya TZS 146.69 bilioni kuanzia mwaka 2021 hadi mwaka 2025 kwa sekta ya elimu...
Mkuu wa Mkoa wa Tabora Mhe Paul Matiko Chacha anasema Chini ya Rais Samia sekta ya Mifugo Mkoa wa Tabora imeimarika kupitia ujenzi wa majosho 16 mapya na kufikisha jumla ya 95 yenye uwezo wa kuhudumia ng’ombe 889,183.
Ananendelea kwa kusema Serikali pia imetoa pikipiki 44 kwa maafisa mifugo...
Kutokuwa na lami kwa barabara ya Tabora, Sikonge, RUNGWA, Chunya mpaka Mbeya kunapunguza kasi ya maendelo kwa kiwango kikubwa sana katika haya maeneo
Hata uwekezaji katika hayo maeneo unakua ni mgumu sana kwa sababu ya ubovu wa barabara
Mfano kipindi cha mvua hii barabara ni changamoto...
Naona sasa kama watanzania wameanza kutazama wapi wanatoka na wapi wanaelekea.
Sijawahi kusikia ni wapi watumishi wa serikali wamegoma kushiriki mbio za mwenge.
Je huu tunaweza kusema ndiyo mwanzo wa ukombozi wa fikra kwa watumishi wa umma?
=================
Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Paul...
Akisoma Majina hayo Agosti 1, 2025 ofisini kwake Katibu wa Siasa na uenezi Ccm mkoa wa Tabora Ndugu Idd Moshi Mambo ameeleza kuwa haya ndio majina ambayo yamepitishwa na Chama cha mapinduzi Ccm kwa ajili ya Wajumbe wa Chama cha mapinduzi ngazi ya kata kuwapigia kura na kumchagua mmoja kuwa...
Katibu wa Siasa na uenezi Ccm mkoa wa Tabora Iddi Moshi Mambo ametaja orodha ya majina ya watia nia wa udiwani wilaya ya Tabora mjini.
Mambo, ameeleza kuwa majina hayo yamepitishwa na Chama cha mapinduzi CCM kwa ajili ya Wajumbe wa Chama hicho ngazi ya kata kuwapigia kura na kumchagua mmoja...
Katibu wa Siasa na uenezi Ccm mkoa wa Tabora Iddi Moshi Mambo ametaja orodha ya majina ya watia nia wa udiwani wilaya ya Urambo mkoani Tabora.
Mambo, ameeleza kuwa majina hayo yamepitishwa na Chama cha mapinduzi CCM kwa ajili ya Wajumbe wa Chama hicho ngazi ya kata kuwapigia kura na kumchagua...
Watoto watano wamepoteza maisha kwa tukio la moto lililotokea katika kituo cha kulelea watoto yatima cha Igambilo, kilichopo Kata ya Misha, Manispaa ya Tabora, usiku wa kuamkia siku ya Jumanne.
Watoto hao walikuwa ndani ya bweni lao la kulala wakati moto ulipozuka na kuliteketeza kabisa, huku...
https://youtu.be/CR33rwJsPKg?si=q0zQsyQ7wFv3SY8h
Mnafahamu, Rais Samia anajenga mradi wa SGR kutoka Tabora hadi Kigoma kilometa 506 kwa TZS5.1Trilioni sawa na $2.2bn
Mtaku,buka mradi wa reli ya kisasa (SGR) kutoka Tabora hadi Kigoma ni sehemu ya awamu ya sita ya ujenzi wa reli ya Standard Gauge...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.