tabora

  1. Inside10

    JamiiForums Tanzania Umoja Wa Makanisa Ya Kipentekoste(CPCT) Tabora Yakana Tuhuma "Mapenzi Ya Jinsia Moja"

    Baraza la Umoja wa Makanisa ya Kipentekoste (CPCT) Mkoa wa Tabora limeiomba Serikali kuruhusu kuendelea kwa mkutano wa injili unaotarajiwa kufanyika kuanzia Machi 19 hadi 22, 2026 ukiongozwa na Mchungaji Dkt. Dana Morey kutoka Marekani. Ombi hilo limekuja baada ya Serikali ya mkoa kusitisha...
  2. Mkulima na Mfugaji

    JamiiForums Tanzania RC Chacha asitisha mkutano wa injili wenye viashiria vya mapenzi ya jinsia moja Tabora

    Mkuu wa Mkoa wa Tabora Paul Chacha amesitisha mkutano wa injili uliotarajiwa kuanza Machi 19 hadi Machi 22 mwaka huu na Mchungaji Dana Morey kutoka nchini Marekani, baada ya kubaini kuwepo kwa viashiria vinavyodaiwa kuhusishwa na mapenzi ya jinsia moja. Akizungumza na waandishi wa habari...
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amzawadia Gari Mama Kanumba

    Katika kilele cha Siku ya Wanawake Duniani, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amemzawadia mama mzazi wa marehemu Steven Kanumba gari jipya aina ya Harrier New Model. Hatua hii imekuja kama ishara ya kuthamini mchango mkubwa wa marehemu Kanumba katika kukuza...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Changamoto ya Malipo ya Posho za "HONORARIUM" TPSC Tabora

    Mimi kama mtumishi wa umma katika Chuo cha Utumishi wa Umma Tabora, nalazimika kuripoti kero inayotusumbua baadhi ya walimu tulioshiriki zoezi la usajili wa wanafunzi mwezi Novemba 2025. Baada ya usajili, tulianza kufundisha kwa wiki kadhaa, tukibeba jukumu la kuhakikisha wanafunzi wapya...
  5. jashmoe32

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Mabasi ya Mbeya to Tabora

    Habarini, Je Kuna mtu ana ufahamu wa mabasi ya kutoka Mbeya kwenda Tabora? Je ni safari ya muda gani kama tukianza asubuhi?Barabara ni Rafiki au? Ahsante
  6. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Tabora kuna raia wa nchi jirani wanauzia watu Makaa ya mawe feki

    Huku Tabora kuna watu wanajitambulisha kuwa ni Warwanda na wanapaspoti za Rwanda wanauza hayo madongo kwenye picha wakidanganya watu kuwa ni makaa ya mawe. Wanauza hayo madongo Matano kwa Tsh 5,000, mamlaka ziwafuatilie kwa haraka.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Hivi yule mkuu wa wilaya Tabora aliyepewa ukuu wa wilaya na Magufuli kisha akatumbuliwa awamu ya sita alirudi kazini?

    Alipewa kwa sababu baba yake alinya kazi na Magu pale Nyanza. Awamu ya sita ikamtumbua sijui kwa sababu gani. Akamburuta Rais Samia na serikali yake mahakamani. Alikuwa rapa wa CCM! Yupo wapi? Mbona kimya? Alishinda kesi?
  8. figganigga

    JamiiForums Tanzania Nassor Hamdan Seif, Mmiliki wa Mabasi ya NBS Tabora, amefariki Dunia

    Mfanyabiashara Nassor Hamdan Seif, Maarufu kama Mzee NBS, Mmiliki wa Mabasi ya NBS Tabora, amefariki leo katika Hospitali ya Taifa Muhimbili Jijini Dar es Salaam Mwili wa Marehemu Mzee NBS utasafirishwa kuelekea Tabora kwa Mazishi yake. Apumzike kwa Amani
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Prof. Riziki Shemdoe: Sh Milioni 675 kuboresha huduma za tiba Tabora Manispaa

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu -TAMISEMI, Prof. Riziki Shemdoe amesema Serikali imetoa Shilingi Milioni 675 kutekeleza mradi wa ujenzi na upanuzi wa Kituo cha Afya Mailimoja cha Manispaa ya Tabora, ili kuboresha huduma za utoaji tiba kwa wananchi zaidi 45,107 wa kata ya Ipuli katika...
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi Kitete Hospital(TABORA) bado hatujalipwa stahiki zetu

    Kwa muda sasa hatupatiwi call allowance,, Extra duty allowance hali inayopelekea kukosa morali ya kazi. Mara ya mwisho kulipwa ilikuwa mwezi wa 10/2025 nayo hayo malipo yalikuwa ya extra duty na call allowance za mwezi wa 03/2025. Hivyo hadi sasa tunadai extra na call allowance za miezi...
  11. Bawabu wa pili

    JamiiForums Tanzania Tabora: Bodaboda yagonga Treni, Mwanafunzi afariki dunia

    Binti aliyejulikana kwa jina la Tatu Mgeta (23), mwanafunzi wa Chuo cha Tabora Polytechnic College, amefariki dunia huku dereva wa bodaboda akijeruhiwa kufuatia ajali iliyotokea wakati walipokuwa wamepakizana kuelekea chuoni,kugongana na treni ya abiria iliyokuwa ikitokea mkoani Tabora kuelekea...
  12. Tanzania Railways Corp

    JamiiForums Tanzania Responded Serikali yaanza kulipa Tsh. 3.66 Bilioni kwa wananchi 2,471 wa mikoa ya Simiyu, Mwanza, Shinyanga na Tabora wanaopisha SGR

    Serikali kupitia Shirika la Reli Tanzania (TRC) imeanza zoezi la kulipa fidia ya Shilingi bn 3.66 kwa wananchi 2,471 wa Mikoa ya Simiyu ,Mwanza, Shinyanga na Tabora, ambao maeneo yao yametwaliwa kupisha Umeme wa msongo mkubwa utakaotumika katika mradi wa SGR kipande cha 5 (Isaka-Mwanza)...
  13. Bawabu wa pili

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi Tabora lawahakikishia ulinzi na usalama kuelekea sikukuu za mwisho wa mwaka

    Jeshi la polisi mkoani Tabora limewahakikishia wananchi ulinzi na usalama katika sherehe za Krisimasi na Mwakampya.. Akizungumza na Waandishi wa habari leo Disemba 24, 2025 Kamanda wa polisi mkoa wa Tabora,Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa polisi, Richard Abwao amesema jeshi la polisi litaendesha...
  14. W

    JamiiForums Tanzania TMA: Kuanzia Desemba 11 mvua zitaanza kurejea Tabora

    Mamlaka ya hali ya hewa kanda ya Magharibi- Tabora imesema hali ya ukavu iliyojitokeza kwa wiki mbili katika mkoa wa Tabora ni mabadiliko ya kawaida ya hali ya hewa ambayo hutokea katikati ya msimu wa masika. Akizungumza na CG FM Menena wa mamlaka ya hali ya hewa kanda ya Magharibi Tabora...
  15. Pakome

    JamiiForums Tanzania Kandarasi wa Mkoa wa Tabora aliyefanya ubadhilifu wa zaidi ya 100ml afumaniwa na Mkuu wa Mkoa Mh Paulo Chacha

    Kandarasi wa Mkoa wa Tabora aliyefanya ubadhilifu wa zaidi ya 100ml akumbwa na kadhia kubwa ya aibu na adhabu kali baada ya kushtukizwa na mamlaka za ukaguzi wa miradi nakupelekea kupewa adhabu kali na Mkuu wa Mkoa wa Tabora Mh Paulo Chacha kwa makosa ya ubadhilifu wa fedha za mradi wa soko...
  16. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Kituo kipya cha abiria katika Uwanja wa Ndege wa Tabora kimekamilika kwa asilimia 98

    Kituo kipya cha abiria katika Uwanja wa Ndege wa Tabora kimekamilika kwa asilimia 98 na kimekusudiwa kuanza kufanya kazi, ikiwa ni maendeleo muhimu katika miundombinu ya usafirishaji wa mkoa. Waziri wa Usafirishaji Prof. Makame Mbarawa alikagua na kutembelea kituo hicho, akionyesha kuridhishwa...
  17. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Watano watiwa mbaroni Tabora kwa njama za kuleta vurugu Oktoba 29

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Tabora limewakamata na kuwashikilia watu watano kwa tuhuma za kupanga njama za kuleta vurugu ikiwemo kuchoma moto vituo vya mafuta, vituo vya mabasi, ofisi za CCM na nyumba za watumishi wa serikali mkoani humo siku ya uchaguzi uliofanyika Oktoba 29, 2025. Taarifa hiyo...
  18. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polisi wanaendelea na vitisho kwa raia, huko tabora wamefanya mazoezi wakidai kuimarisha usalama kwenye uchaguzi

    Maafisa wa Jeshi la Polisi mkoa wa Tabora wakiongozwa na SACP Richard Abwao, Kamanda wa Polisi mkoani humo wamefanya mazoezi ya kawaida ya mwendo wa pole na haraka katika viunga vya Manispaa ya Tabora yakilenga kujiweka tayari kulinda amani na usalama kwa wananchi hususani kuelekea uchaguzi mkuu...
  19. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kuna huyu Kitumbo amewaahidi wananchi wa Cheyo Tabora kutatua changamoto za barabara

    Mgombea Udiwani kata ya Cheyo Manispaa ya Tabora Yusuph Kitumbo amewaahidi Wananchi wa kata hiyo kutatua kero ya Barabara mara baada ya kuachaguliwa kuwa Diwani wa kata hiyo. Kitumbo ameyasema hayo leo October 4,2025 wakati wa uzinduzi wa Kampeni katika kata hiyo uliofanyika Katika viwanja vya...
  20. upupu255

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea ubunge jimbo la Tabora mjini aahidi kukomesha tatizo la Mafuriko kata ya Mwinyi

    Mgombea Ubunge Jimbo la Tabora mjini kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Hawa Mwaifunga leo Septemba 25,2025 ameendelea na mikutano ya Kampeni kuomba ridhaa ya Wananchi wa Jimbo la Tabora mjini kumchagua. Akiwa katika kata ya Mwinyi Mgombea Ubunge huyo amewaahidi wananchi wa kata hiyo kutatua...
Back
Top Bottom