Habari wanaJF
1.Huacha Mapambo, au vitu vilivyotumiaka katika sherehe iliyokuwa miezi kadhaa iliyopita kama sikukuu ya kuzaliwa, mti wa chrismass mapambo ya ukutani ya mwaka mpya nk.
2. Kutumia Miguu kwenye shughuli zinazotakiuwa utumie mikono kama kubonyeza swichi, kusogeza vitu, kufunga...