tabia

Tabia is a small town and rural commune in Taroudannt Province of the Souss-Massa-Drâa region of Morocco. At the time of the 2004 census, the commune had a total population of 2329 people living in 487 households.

View More On Wikipedia.org
  1. Fbn

    JamiiForums Tanzania Walishatugundua tuna tabia ya kusahau na kunyamaza ndio maana ukiona unatishwa wanakuleza neno watasahau.

    Ni kwamba mfumo wa serikali ya CCM ulishajua kuwa hawa hata tukiwafanyia lolote baya wana wasahau tu na kunyamaza. Ndio maana leo wanafanya lolote watakalo wanajua kesho mtawafanya lolote sababu mtasahau.
  2. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Kujichua ni kawaida na afya. Watu wengi huendelea nayo hadi utu uzima ila pale inapokuwa uraibu hadi kususia sex na majukumu basi shida unakuta ni hii

    Sio kwamba eti ni punyeto ndio imefanya umeaanza kuona hakuna utamu katika sex , no , ni afya ya akili ndio director wa hii movie, unakuta mtu anachakata mikono kila muda kwa kutumia energy zake zote na akifanya hivi akili yake hutulia tuli kuliko kama angepata jagina. Usicheze na kitu kinaitwa...
  3. Red black

    JamiiForums Tanzania Pata pesa tujue tabia yako

    hii statement ina ukweli ndani yake mtu akipata pesa kunatabia ambazo zilikuwa zimejificha ataanza kuzionyesha waziwazi kuna tabia zako huzijui ngoja upate pesa zitajionyesha dhahiri,,
  4. Fbn

    JamiiForums Tanzania Hii tabia ya kukamata mtu na kumpeleka mahakamani alafu unasema upelelezi ujakamilika tatizo ni nini

    Hapa Tanzania naona kila idara zimeoza na zinajiendesha kwa uwezo wa CCM wanavyotaka. Mtu unakamatwa na hapo polisi hawana upelelezi walio nao,ukipelekwa mahakamani na bado upelelezi ujakamilika.
  5. Fbn

    JamiiForums Tanzania Tabia za kuunganisha kesi na mkakosa kesi kwa mnaokamata bila ushaidi mwisho wa siku mnabaki kama hamkumbuki.

    Waziri mkuu alidai kuna watanzania waliokamatwa na USD milioni 1 ila hii taarifa kama na yeye kaunganisha ili mradi kuleta porojo zake za maisha ya CCM. Wale waliokamatwa kweli ni watanzania ila wamekamatwa nchi nyengine na wala sio kwa porojo ambazo hii tabia imekuwa ikitumika polisi. Watu...
  6. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kukukemea tabia zako zinazokufanya uendelee kuwa fukara

    Hizi ni tabia zinakufanya uendelee kuwa fukara. Mtajazia nilizosahau. 1. Kutojiambia ukweli kuhusu makosa yako na kuchukua hatua badala yake unatafuta visingizio na kujifariji kipuuzi. 2. Kuwa na matumizi makubwa kuliko kipato chako. Acha tamaa. Kama uwezo wako ni dagaa kwa sasa usilazimishe...
  7. Ertugrul Bey

    JamiiForums Tanzania Tuanze tabia ya kusave kipato chetu hata kwa kiasi kidogo tu,kumbuka ndondondo si chururu

    Tabia yoyote hapa duniani hutengenezwa au watu hujifunza na mwisho wa siku ndio inakuwa sehemu ya maisha yao ya kila siku. Leo ningependa kuzungumzia kuhusiana na kujenga tabia ya kuweka akiba hata kwa kiasi kidogo sana cha buku mbili tu kwa mwezi ( 2,000/=) Tukiwa na tabia ya kuweka akiba...
  8. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kuna baadhi ya Lecturers katika Chuo cha UCC wanataka rushwa kuwapa wanafunzi madaraja mazuri

    Kuna tabia ya baadhi ya Lecturers wengine hapa chuoni UCC UDSM, tena ni kikundi cha Lecturers inavyoonekana ni wanajuana wanachokifanya, kuanzia kwa Principal Mr. Aron na Mr. Kabigi sana sana. Yaani unakuta ukifeli wanakuambia uwalipe kuanzia laki kwa somo ili wakusafishie na wakuwekee grade...
  9. Dr Arshavin

    JamiiForums Tanzania Muangalie Anayekushinda: Jifunze Tabia Zake

    MUANGALIE MTU ANAYEKUSHINDA... KISHA UJITAZAME WEWE Nataka ufanye kitu kimoja leo. Muangalie mtu ambaye ni bora kuliko wewe hapo kazini. Muangalie mwanafunzi ambaye kila mara anapata matokeo makubwa kuliko wewe darasani. Muangalie mfanyabiashara ambaye biashara yake inakua kwa kasi kuliko...
  10. Dr Arshavin

    JamiiForums Tanzania Tabia Zako: Ufunguo wa Mafanikio au Kushindwa

    Kitu kinachokufelisha wewe kuyafikia malengo yako na mafanikio yako ni TABIA ZAKO! The Mind Game Control Wengi wetu tunapenda kulaumu uchumi, serikali, ndugu zetu, au hata bahati mbaya pale mambo yanapoenda kombo. Lakini ukweli mchungu ambao huenda hutaki kuusikia ni huu: Wewe ni matokeo ya...
  11. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Bi. Haika Yuko sahihi. Kuna wanaume ni Gold-diggers. Tabia mojawapo ya u-gold digger ni kijana kupenda mishangazi(wanawake wakubwa kiumri)

    Hamjambo! Kwa asilimia tisini na tisa kijana mwenye future kubwa, anayejitambua, mchapakazi, anayejiamini hawezi kuwa na wazo la kutoka na mwanamke mtu mzima, lishangazi. Huwezi kuta kijana mwenye kazi ya kueleweka, mwenye biashara nzuri, akili ya kiume umkute anakimbizana na mishangazi. Ni...
  12. Moto wa volcano

    JamiiForums Tanzania Ukiangalia 'Nyash' kuliko tabia utakuja kuliona balaa lake

    Kuna ile umetoka kzn na stress mishe zimebuma halafu unarudi hm mke kanuna / kelele nyingi. Hapo ndo utajua umuhimu wa kuangalia tabia kuliko Nyash. Unakuwa na battle nyengine nyumbani
  13. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Men's talk: unaoa tabia, shape au bikira?

    Mvuto wa Muda Mfupi" dhidi ya "Uimara wa Muda Mrefu Shape hubadilika (baada ya uzazi au umri), na bikira hupotea siku ya kwanza ya ndoa. Lakini tabia—hekima, heshima, uvumilivu, na jinsi anavyoweza kuisimamia familia—ndio inayobaki. "Shape inakuvuta chumbani, lakini tabia ndio inakubakiza sebuleni
  14. SIR MGAX

    JamiiForums Tanzania Tabia 10 mbaya za watu tunaoishi peke yetu

    Habari wanaJF 1.Huacha Mapambo, au vitu vilivyotumiaka katika sherehe iliyokuwa miezi kadhaa iliyopita kama sikukuu ya kuzaliwa, mti wa chrismass mapambo ya ukutani ya mwaka mpya nk. 2. Kutumia Miguu kwenye shughuli zinazotakiuwa utumie mikono kama kubonyeza swichi, kusogeza vitu, kufunga...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Unaishije na mwenza mwenye tabia ngumu?

    Hello wakuuu Tupeane mbinu mnaishije na mwenza au mpenzi mwenye tabia ngumu ambapo unakuta io tabia inakukera au zinakukera sana na umejaribu kuongea nae mara kwa mara lakini haachi,,,na unakuta unampenda ila hiyo tabia ndo inakukwaza sana
  16. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Baada ya Kula nyama ya mbwa wakaanza Kuiga tabia za mbwa

    Weekend tarehe 23 iliyopita nilitembelea sehemu moja karibu na mji wa kupang ila ni vijiji vya nchi ya Timor-Leste nikiwa na rafiki yangu kwao palikuwa na kama kumbukizi ya mwaka mmoja wa kifo cha babu yake nikamsindikiza kuna tukio moja liliniacha na maswali mengi sana kuhusu mambo ya...
  17. OMKEIT 93

    JamiiForums Tanzania Uislamu ni Chimbuko la Tabia Njema na Matendo ya Kuigwa

    Uislamu ni dini inayomlea mwanadamu kuwa na tabia njema, huruma, uadilifu na heshima kwa watu wote. Katika mafundisho ya Kiislamu, ibada hazihusiani tu na kuswali au kufunga, bali pia zinahusisha mwenendo mwema katika maisha ya kila siku. Muhammad alisema kuwa lengo kubwa la ujumbe wake...
  18. L

    JamiiForums Tanzania CHADEMA waonywe kwa tabia ya kuwatukana na kuwadhalilisha Askari wetu katika mikutano yao ya hadhara

    Ndugu zangu watanzania, Wiki iliyopita niliumia sana kuona mkutano wa CHADEMA kule kanda ya ziwa ukigeuka jukwaa la kuwatukana, kuwadhalilisha,kuwatweza na kuwavunjia heshima askari wetu ambao kila mmoja wetu anatambua kazi kubwa wanayoifanya usiku na mchana kuwalinda watanzania na mali zao...
  19. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Come on guys! Ni 2026, acheni hizi tabia za kiduanzi

    Acha tabia ya kutembelea ndugu mara kwa mara utafikiri mechi za kila wikiendi, uchumi umebadirika, sasa hivi watu wanaenda na bajeti. Una mwaga mwaga ovyo kila kona, mwishowe ni kuongeza watoto wanaokuja kutaabika kimahitaji na saikolojia hapa duniani, masingo maza na kutopata care maalumu ya...
  20. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Hii tabia ya wenza kupost vijembe WhatsApp status mnapotofautiana sio nzuri

    Yaani mwenza anapost vitu ambavyo unaona kabisa kakulenga wewe kufuatia mkwaruzano uliojitokeza. Mimi nachukia hii tabia ambayo wanawake wanayo zaidi. Kupost status ni kuwapa faida watu wengine. Mapenzi hayahitaji third party kabisa. Kuhusisha watu wengine kupitia watsapp status ni...
Back
Top Bottom