tabia

Tabia is a small town and rural commune in Taroudannt Province of the Souss-Massa-Drâa region of Morocco. At the time of the 2004 census, the commune had a total population of 2329 people living in 487 households.

View More On Wikipedia.org
  1. Pdidy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tabia yako mbaya kwa mumeo ndio italeta mwanamke mwingine.. wanawake wa nje huondoa udhaifu wa wanawake wa ndani

    SHALOM WANA WA MUNGU ALIE HAI TABIA MBAYA KWA MUMEO NDIO INALETA MWANAMKE MWINGINE KWENYE NYUMBA YAKO MPENDWA ULIEOLEWA MUMEO AKITOKA NJE SHETANI ATAITUMIA KUPATA MWANAMKE AMBAE HANA HIO TABIA UNAYOMFANYIA MUMEO NDANI eg Mwanamke anaemtukana mumewe shetani anamfanya kumkutanisha na mwanamke...
  2. Prof Phraoh AI

    JamiiForums Tanzania Kitendo cha wewe kuiangalia electron kinaibadilisha tabia

    ‎ilikunaaminika na pia ni obvious kabisa kwamba mwanga ni wave. Einstein akasema tusahau kama mwanga ni wave na tufikirie kama ni particle. ‎electron ambayo inafahamika ni particle tukaja kuikuta ni wave pia. ‎ ‎experiment ilifanyika hivi: kuna ukuta umetobolewa matundu mawili. upande mmoja wa...
  3. Pdidy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume kama una tabia hizi usioe mpaka uwe umebadilika

    MWANAUME KAMA UNA TABIA | SIFA HIZI, TAFADHALI ACHANA NA MASUALA YA NDOA | KUOA HADI PALE UTAKAPOAMUA KUKUBALIANA NA HALI HALISI Ndoa si ya kila mtu Ndugu zangu, kama bado hujajiandaa kiakili, kimwili na kitabia. Ukijiona Bado Una hizi Tabia hapa Chini, Basi Usioe | Usivute Jiko 🚩 Una hasira...
  4. BabaMorgan

    JamiiForums Tanzania Saikolojia kwanini watu wanaondesha brand za magari yanayofanana wanakuwa na tabia zinazofanana

    Unakuta gari fulani wamiliki wake ni walevi kinoma ukienda kwenye kumbi za starehe unazikuta kibao zimepaki na wanajuana wakikutana stori zao ni bata na kufuta kisahani. Ukiwa road ukakutana na bike ya Sinoray kaa kijanja Hao ni machalii wa chuga wazee wa michezo muda wowote anakuchomekea...
  5. Pakome

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya Google imejiingiza kwenye tabia ya kulazimishia watumiaji matangazo, feature ya ku Block matangazo haifanyi kazi hatakama uta Block

    Binafsi nilikuwa mpenzi mkubwa wa bidhaa za kampuni ya Google lakini naona tumeanza kukerana kwa mfululizo wa matangazo yasiyozuilika Matangazo sio kosa kwa watumiaji lakini kosa ni kulazimisha matangazo kwa watumiaji hata kama wanakuwa wamekataa Baadhi ya watu katika community za India...
  6. Pakome

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya Google imejiingiza kwenye tabia ya kulazimishia watumiaji matangazo, feature ya ku Block matangazo haifanyi kazi hatakama uta Block

    Binafsi nilikuwa mpenzi mkubwa wa bidhaa za kampuni ya Google lakini naona tumeanza kukerana kwa mfululizo wa matangazo yasiyozuilika Matangazo sio kosa kwa watumiaji lakini kosa ni kulazimisha matangazo kwa watumiaji hata kama wanakuwa wamekataa Baadhi ya watu katika community za India...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Wabongo Jengeni Tabia Ya Kusoma Vitabu Muongeze Maarifa, Maudhui na Uwezo wa Kufikiri

    Unaweza usiamini lakini fanya utafiti wako binafsi kimya kimya utagundua kwamba Wabongo wengi, hawana maarifa ya msingi, hawana maudhui ya kutosha na hawana uwezo mkubwa wa kufikiri kwa kina hata kwenye masuala ya kawaida sana. Kunaweza kuwepo na sababu mbalimbali lakini mojawapo ni kukosa tabia...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya form 4 yanaonesha wazi mikoa ya kaskazini iko juu sana kielimu, tofauti yao hawapendi kujisifu na kujigamba kama mikoa mingine inayofuata

    Nimekutana na matokeo haya ya mikoa, ya kwanza ni kwa ufaulu wa division 1 hadi 3, ya pili ni division 1 hadi 4, Matokeo nayoamini yanaonyesha ufaulu wa uhakika ni division 1 hadi 3. 1. Division 1 hadi 3 Top 3 zote zinaenda mikoa ya kaskazini na wala hakuna kelele. 2. Division 1 hadi 4...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Katambi akemea tabia ya kila mtu kuwa Msemaji, asema hali hiyo inachangia mpasuko wa Taifa

    WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi amekemea tabia ya kila mtu kuwa msemaji nchini hali inayopelekea utolewaji wa Matamko ambayo yamekua yakihatarisha hali ya Amani hapa nchini. Ametoa kauli hiyo wakati wa Kikao na Uongozi wa Juu wa Jeshi la Polisi,Maafisa na Askari...
  10. PAYE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hakimi na Saibari wasimamishwa na CAF, Saibari atozwa Faini ya Tsh 255.5 Milioni

    Kamati ya Nidhamu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limewasimamisha wachezaji wawili wa timu ya Taifa ya Morocco, Achraf Hakimi (mechi mbili) na Ismaël Saibari (mechi tatu) baada ya kuonesha tabia isiyo ya kiungwana wakati wa fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) dhidi ya...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Haya maneno yanayosambaa kuhusu Group O+ yana ukweli au ni tabia ya mtu ?

    hawapendi mgeni akae muda mrefu hawapendi kukaa ugenini wana marafiki wachache sana au hawana hupenda kujifungia hawapendi kuona mtu anaonewa mbele yao wanaogopa sana mikopo mikubwa, hawapendi kelele za kudaiwa
  12. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Hakuna amani kwenye mauwaji na utekaji unaoendelea acheni tabia za kimalaya mnao dai nchi ina amani nawaonya

    Hakuna amani kwenye mauwaji na utekaji unaoendelea acheni tabia za kimalaya mnao dai nchi ina amani nawaonya. Aidha wauwaji na watekaji lazima wawajibishwe kwa matendo yao wameuwa watu wengi sana makusudi kisha wanatengeza vikundi vya watu wenye tabia za kimalaya kuja kutuambia nchi ina amani...
  13. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Tabia 10 Muhimu za Mafanikio ambazo utazikuta kwa kila tajiri kokote duniani

    13 jan 2026 Tabia 10 Muhimu za Mafanikio ambazo utazikuta kwa kila tajiri kokote duniani 1.Lala mapema 2.Amka mapema msimulizi 3.Soma kitabu atleast 20dk/siku 4.Fanya mazoezi kila siku 5.Tengeneza ratiba na uifate na usiivunje ratiba yako kirahisi 6.usikate tamaa 7.weka malengo na na...
  14. iamwangdamin

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Nchi na kilio cha maji

    Leo tunakumbushana jambo moja tu, hatuwezi kubadili tabia nchi bila kubadili tabia zetu. Ni jukumu letu kulinda mazingira, kutunza vyanzo vya maji, na kuheshimu ardhi inayotupa riziki. Tukifanya hivyo, tunalinda maisha yetu na vizazi vinavyokuja. Tuchukue hatua kwa umoja na hekima. Dunia ni...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Tabia ya kuigiza vitu, CCM inaenda kulipeleka Taifa shimoni

    HIi serikali ya CCM ni waigizaji wazuri sana, mfano wanajiridhisha kwa kusema maandamano ya jana hakufanyika sababu Vijana hawataki kuandamana huku walijaza Askari kila sehemu. Jibu lake watu hawakuandamana sababu Askari walijaa kila sehemu, maana yake walipata muda wa kubadilisha mawazo na...
  16. H

    JamiiForums Tanzania Tabia ya kuwafungulia watu kesi na baadae kuwaachia iwe na mipaka kwa waendesha mashitaka na mahakama

    Inakuwaje waendesha mashitaka wanaletewa kesi na polisi na kuwashitaki wananchi kwa makosa ya kusingiziwa yaliyowazi kabisa pasipo kuhoji? Inakuwaje hakimu anaona kabisa kesi iliyofunguliwa na waendesha mashitaka ni ya uongo na bado anaiedesha? Kwanini wasisimamie HAKI ili kulinda AMANI kwa...
  17. Daniel Aloyce Daniel

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natamani sana kujua tabia za wadada wa kisambaa

    Najua kuwa kabila halina mchango sana kwenye masuala ya ndoa, lakini kutokana na kuwa watanzania wengi sio watembeaji sana na wanapenda kufuata mila zao, mfano wachaga, kila mwezi wa 12 hawaachi tamaduni zao, hupenda kwenda kwao na kukutana. Natamani nione watu wanazungumziaje wadada wa...
  18. FestoKaguo

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kushinda Tabia ya Kuishia Njiani Unapoanza Kitu

    Hello habari njema kwa wana JF wote na leo hii naandika hii thread nikiwa kama mmojawapo wa wahanga ambao nishawahi pitia hiki kitu unakuta kuna wakati mtu anakuwa na shauku kubwa ya kuanza jambo jipya au kufanya kitu kipya kama kusoma kozi, kufungua biashara ndogo, au hata kufanya mazoezi...
  19. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Wanawake hizi tabia mkiwa na ujauzito ni za kweli au ni madharau? wife anasema harufu yangu ina mkera!!

    Mimi wife kila akiwa mimba haishiwi vituko asee nimewahi agizwa embe bichi usiku wa maneno Mungu saidia nilipata kaembe kachanga na kadogo japo ilikuwa kwa binde sana. Uzi huu hapa...
  20. FK21

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mnaowapondea Wapare, mbona huyu wangu hana hizo tabia?

    Ile trend ya wapare wachoyo +wachawi mbona uyu MARIAM wangu Hana hayo anapenda tu makande Mzuri mcha Mungu muelewa au bado navutiwa timing?
Back
Top Bottom