tabia

Tabia is a small town and rural commune in Taroudannt Province of the Souss-Massa-Drâa region of Morocco. At the time of the 2004 census, the commune had a total population of 2329 people living in 487 households.

View More On Wikipedia.org
  1. Desierto

    JamiiForums Tanzania Kuna tabia gani ulikuwa nayo ila umejikuta tu haufanyi tena

    Mm nilikuwa na uraibu wa karata na drafti ilikuwa haipiti siku sijafanya hii michezo ila kwa sasa hata nikikuta watu wanacheza sitamani tena kucheza kabisaa.
  2. Hyrax

    JamiiForums Tanzania Sipendi tabia ya Mwanamke kujifanya hajui kilimchomleta faraghani

    Kuna kiumbe Nimemlipia nauli mpaka hoteli X chumba namba Y anafika ndani unajipigisha tu stori zisizo na kichwa wala miguu nguo hataki kuvua kama vile hajui kilichomleta mi nishavua tayari yeye ananitazama tu na kujichekesha. Mwisho wa siku giza lishaingia ananiambia yuko period kuhakiki mzigo...
  3. Marco Seth

    JamiiForums Tanzania Kila mtu ana kichaa chake

    Katika saikolojia, kauli ya “kila mtu ana kichaa chake” wewe Fanya observation utaona Kila mtu ana tabia, fikra, au hisia zisizo za kawaida au tofauti na wengine, hata kama si ugonjwa wa akili. Inaweza kumaanisha pia kuwa hakuna mtu mkamilifu kiakili kila mtu ana mapambano yake ya ndani...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Arusha kumekuwa na tabia ya wauzaji wa Vitu sana sana Viatu na nguo kuwauzia wateja vitu feki

    Hii imenikuta mimi nikiwa Arusha kuuziwa Viatu feki. Niwaombe mamlaka ya Mapato Tanzania TRA mkoa wa Arusha wafanye uchunguzi kwa wauzaji wa viatu maeneo ya kariakoo ya Arusha. Wauzaji tukiwaambie watupatie risiti hawafanyi hivyo badala yake wanatuzungusha na kuwa hawatoi. Ukijaribu kufuatilia...
  5. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Nimembagaza huyu Dada anataka tena nimbanange. Watanzania tukemee tabia hiyo mbaya

    Ni ujinga umekubuhu kwa sasa.wanawake wengi wanapenda kubanangwa. Yaani mtu unataka umheshimu anakuambia au nikupe na huuu.. .unibanange ndo utaridhika. Huku akioneshea kwa nyuma. Mara ya kwanza nilidhani anani test. Mimi natosheka na kumbagaza tu mwanamke.kumbananga hapana si jambo zuri. Ila...
  6. Lucha

    JamiiForums Tanzania Tabia ya watangazaji wa Clouds Media kuwasimanga watu wanaotafuta maisha wakiwa wanaishi kwa shemeji

    Clouds Media wameharibu siku yangu mapema sana leo majira ya saa 0600Hrs nikiwa nimelala nawaza nikapige mishe wapi za kuniingizia chochote maana kwa leo nimeamka sina ramani yoyote, sasa nikiwa nasikiliza radio iliyokua imewashwa sebuleni kwa sauti ambayo kila aliechumbani anaweza kuiskia ndo...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Hii tabia ya akina mama wazee kuwa na uhusiano wa mapenzi na vijana wadogo imekithiri hadi mikoani

    Zamani nilikuwa nasikia kuwa Dar ni jambo la kawaida Lakini sasa hadi mikoa ya kanda ya ziwa ambayo ilisadikika kuwa vijana wanamaadili Kuna nini? Kwa nini wanapenda wanawake wazee?
  8. Kazanazo

    JamiiForums Tanzania Masheikh mliosoma dini na kupata nyadhifa katika jamii acheni tabia ya kuchanganya dini na uganga/uchawi

    Kuna hii tabia ambayo imeshakuwa mazoea kwa wengi wa masheikh wa kitanzania na Afrika kwa ujumla kuchanganya dini na uganga au uchawi. Utakuta mtu kasoma dini vizuri na ana elimu kubwa lakini badala ya kuitumia elimu hiyo katika kufanya mema na kuitafuta pepo ya Allah (S. W) huitumia kama...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Tabia ya CCM kutaka kuua upinza wa vyama vingi ndiyo itakuwa kifo chake

    Tuliwambia siku nyingi kuwa tabia ya CCM kutaka kuua upinzani ndiyo itakuwa chanzo cha kifo chake. Duniani mpaka mbinguni upinzani ni muhimu. Ndiyo maana hata Mungu alimuacha shetani aendelee kuwapo kama mpinzani wake. Kwa nguvu tunayoamini anayo Mungu alikuwa na uwezo wa kumaliza shetani...
  10. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Tabia ya marafiki kukutafuta tarehe ya mshahara

    Kuna watu hawana aibu yaani siku zote hakupigii simu eti ikifika tarehe 23 ndo unaona missed call zake hio NI ujinga aibu Sana afu unakuta ni mtu mkubwa tu.sisi tunakula bata kila siku tunapojisikia kama unadhani tunaishi kwa mshahara pole Sana.
  11. Surya

    JamiiForums Tanzania Tabia ya Mtu kufanana na Mungu na tusio yaamini sana.

    Huenda ni kwasababu ya nidhamu ya uwoga na ujinga ndio sababu tumekuwa watumwa wa kifikra, Mapokeo mabovu ya kidini na Waalimu wanafiki ndio wametufikisha hapa tulipo leo katika fikra za kila mmoja wetu.. Ni maswali kuhusu huyu Mungu na nini anakifanya kwetu hadi sasa. Tabia Wajinga wengi...
  12. Moto wa volcano

    JamiiForums Tanzania Binadamu hatufani kitabia kutokana mazingira yanatengeza tabia za watu

    Usitake watu wengine wawe kama ww ulivyo , kila mtu amekulia ktk mazingira yake , ana mapito yake , uzoefu wake , heshimu utofauti wa wengine . Mtu yeyote mgeni kwako mpe muda wa kumsoma tabia yake na kumzoea
  13. meningitis

    JamiiForums Tanzania Tabia ya kutengeneza drama za siasa kwenye maeneo ya hospitali ikemewe!!

    Ipo Tabia chafu ya baadhi ya wanasiasa kugeuza huduma za tiba na maeneo ya hospitali kuwa sehemu ya kujipatia umaarufu wa kisiasa hususani nyakati hizi za uchaguzi. Inaeleweka wazi kuwa ukibrand hoja yako na maswala yanayohusu afya,uhai,kifo au huduma za dharura basi jamii lazima itataharuki na...
  14. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Kama taifa tukatae Tabia ya kutakiana vifo na umauti. Hii inachafua angahewa la nchi

    Tangu awamu iliyopita imeibuka Tabia ya kutakiana vifo. Kifo sio option ya mwisho, Kuna kubadilika. Mfano Polepole hakuwahi kukemea Lissu kupigwa risasi angalau Sasa anadai kabadilika anakemea maovu. Hii Tabia imeenda mbali Hadi karibu watumishi wa Mungu mitandaoni kukicha wanatabiria watu...
  15. Zero IQ

    JamiiForums Tanzania Mke wangu amekuwa na tabia ya kusema tuachane kila tukigombana kidogo leo nimeamua tuachane kweli

    Ni miaka minne sasa tangu mimi Zero IQ niamue kuoa ili nitulie kuyajenga maisha, Miaka hii yote minne nimepitia mengi Of course naweza kusema kwamba nimejitahidi kulea Familia yangu , Kwa maana kwamba hakuna Chochote kile ambacho familia yangu imetaka nikashindwa kukileta, Tatizo kubwa lipo kwa...
  16. Hyrax

    JamiiForums Tanzania Huyu Pastor Kabigumila ni moja ya wachungaji wenye tabia za attention seeker

    Nimekuwa nikimfuatilia huyu anayejiita mtumishi nimeona ni wachungaji wenye tabia zote za wanasiasa uongo na unafiki mwingi alionao ndio unamfanya apambane ajenge njia yake ya kuingia siku moja kwenye mfumo kula pesa za serikali ni aina ya wachungaji wanaopenda attention za watu, anapenda...
  17. Scott junior

    JamiiForums Tanzania Hii tabia ya wizi baada ya misiba kuisha

    Niende moja kwa moja kwenye mada. Kuna hii tabia ya misiba baada ya kuisha unakuta vitu kama vyakula , nguo au vyombo vimepotea baadhi wakati mwingine hata vyote tu. Na hii tabia haswa ni wadada au wanawake wana hii michezo , sasa sijui ni tamaa au ni nini. Msiba unapoisha suala kukuta mchele...
  18. Papillon 1906

    JamiiForums Tanzania WARAIBU WENGI HAWAPENDI HUACHE VILEO

    Waraibu wengi hawapendi kumuona mraibu mwenzao anafanya jitihada za kujitoa katika matumizi ya vilevi kama kuvuta bangi, madawa ya kulevya na kutumia pombe. Ikitokea unafanya jitihada kama kupunguza kuhudhuria maskani au vilabuni au baa wanakuona snitch, kama ulikuwa mlevi ukaanza kunywa juisi...
  19. G

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya tabia zinazoimarisha afya ya akili

    Some random menu items. Especially important. For individuals. Aspiring a balance. Healthy longevity. Keeping the sanity Intentional cold shower in the morning A glass of hot water before sunrise Eating only once per day A mindful 1 hour walk every evening 1 day per week without technology...
  20. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Sina tabia ya kuchagua vitu (vyakula) sokoni vilivyo bora

    Kuna watu hela yao wanaichungulia Sana mtu anaenda sokoni kununua vitu ila anashika shika Sana Mimi sinaga pigo hizo yaani nachoamini vitu vyote kavileta Mungu na kila kitu NI chema na kila mtu anastahili riziki hiyo hiyo so hata nikiwa nanunua mihogo me namwambia Tu niwekee yoyote.unawazaje...
Back
Top Bottom