Tabia is a small town and rural commune in Taroudannt Province of the Souss-Massa-Drâa region of Morocco. At the time of the 2004 census, the commune had a total population of 2329 people living in 487 households.
Binafsi nilikuwa mpenzi mkubwa wa bidhaa za kampuni ya Google lakini naona tumeanza kukerana kwa mfululizo wa matangazo yasiyozuilika
Matangazo sio kosa kwa watumiaji lakini kosa ni kulazimisha matangazo kwa watumiaji hata kama wanakuwa wamekataa
Baadhi ya watu katika community za India...
Unaweza usiamini lakini fanya utafiti wako binafsi kimya kimya utagundua kwamba Wabongo wengi, hawana maarifa ya msingi, hawana maudhui ya kutosha na hawana uwezo mkubwa wa kufikiri kwa kina hata kwenye masuala ya kawaida sana. Kunaweza kuwepo na sababu mbalimbali lakini mojawapo ni kukosa tabia...
Nimekutana na matokeo haya ya mikoa, ya kwanza ni kwa ufaulu wa division 1 hadi 3, ya pili ni division 1 hadi 4, Matokeo nayoamini yanaonyesha ufaulu wa uhakika ni division 1 hadi 3.
1. Division 1 hadi 3
Top 3 zote zinaenda mikoa ya kaskazini na wala hakuna kelele.
2. Division 1 hadi 4...
WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi amekemea tabia ya kila mtu kuwa msemaji nchini hali inayopelekea utolewaji wa Matamko ambayo yamekua yakihatarisha hali ya Amani hapa nchini.
Ametoa kauli hiyo wakati wa Kikao na Uongozi wa Juu wa Jeshi la Polisi,Maafisa na Askari...
Kamati ya Nidhamu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limewasimamisha wachezaji wawili wa timu ya Taifa ya Morocco, Achraf Hakimi (mechi mbili) na Ismaël Saibari (mechi tatu) baada ya kuonesha tabia isiyo ya kiungwana wakati wa fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) dhidi ya...
hawapendi mgeni akae muda mrefu
hawapendi kukaa ugenini
wana marafiki wachache sana au hawana
hupenda kujifungia
hawapendi kuona mtu anaonewa mbele yao
wanaogopa sana mikopo mikubwa, hawapendi kelele za kudaiwa
Hakuna amani kwenye mauwaji na utekaji unaoendelea acheni tabia za kimalaya mnao dai nchi ina amani nawaonya.
Aidha wauwaji na watekaji lazima wawajibishwe kwa matendo yao wameuwa watu wengi sana makusudi kisha wanatengeza vikundi vya watu wenye tabia za kimalaya kuja kutuambia nchi ina amani...
13 jan 2026
Tabia 10 Muhimu za Mafanikio ambazo utazikuta kwa kila tajiri kokote duniani
1.Lala mapema
2.Amka mapema
msimulizi
3.Soma kitabu atleast 20dk/siku
4.Fanya mazoezi kila siku
5.Tengeneza ratiba na uifate na usiivunje ratiba yako kirahisi
6.usikate tamaa
7.weka malengo na na...
Leo tunakumbushana jambo moja tu, hatuwezi kubadili tabia nchi bila kubadili tabia zetu. Ni jukumu letu kulinda mazingira, kutunza vyanzo vya maji, na kuheshimu ardhi inayotupa riziki. Tukifanya hivyo, tunalinda maisha yetu na vizazi vinavyokuja.
Tuchukue hatua kwa umoja na hekima. Dunia ni...
HIi serikali ya CCM ni waigizaji wazuri sana, mfano wanajiridhisha kwa kusema maandamano ya jana hakufanyika sababu Vijana hawataki kuandamana huku walijaza Askari kila sehemu.
Jibu lake watu hawakuandamana sababu Askari walijaa kila sehemu, maana yake walipata muda wa kubadilisha mawazo na...
Inakuwaje waendesha mashitaka wanaletewa kesi na polisi na kuwashitaki wananchi kwa makosa ya kusingiziwa yaliyowazi kabisa pasipo kuhoji?
Inakuwaje hakimu anaona kabisa kesi iliyofunguliwa na waendesha mashitaka ni ya uongo na bado anaiedesha?
Kwanini wasisimamie HAKI ili kulinda AMANI kwa...
Najua kuwa kabila halina mchango sana kwenye masuala ya ndoa, lakini kutokana na kuwa watanzania wengi sio watembeaji sana na wanapenda kufuata mila zao, mfano wachaga, kila mwezi wa 12 hawaachi tamaduni zao, hupenda kwenda kwao na kukutana.
Natamani nione watu wanazungumziaje wadada wa...
Hello habari njema kwa wana JF wote na leo hii naandika hii thread nikiwa kama mmojawapo wa wahanga ambao nishawahi pitia hiki kitu unakuta kuna wakati mtu anakuwa na shauku kubwa ya kuanza jambo jipya au kufanya kitu kipya kama kusoma kozi, kufungua biashara ndogo, au hata kufanya mazoezi...
Mimi wife kila akiwa mimba haishiwi vituko asee nimewahi agizwa embe bichi usiku wa maneno Mungu saidia nilipata kaembe kachanga na kadogo japo ilikuwa kwa binde sana.
Uzi huu hapa...
Kwenye mahusiano ni ngumu kumpata mtu aliyenyooka kila mtu anavipengele vyake , utajikuta kila siku unabadilisha mtu , inatakiwa upime, kuna tabia zinazoweza kuvumilika na zisizoweza kuvumilika unaangalia ni nani ana unafuu
Tabia ya nyota (au zodiac signs) kwenye mapenzi
Nyota za Moto (Fire Signs)
Aries, Leo, Sagittarius
Aries (Machi 21 - Aprili 19)
Mpenzi mwenye nguvu, mchangamfu na anayeongoza.
Huangukia mapenzi haraka lakini pia hupoteza hamasa haraka.
Anapenda ushindani na changamoto.
Leo (Julai 23 -...
Poleni kwa jf kufungiwa.
Kuna utafiti nimekua nikiufanya,nimegundua wanawake wengi huwa wanapenda kunyonya sehemu za siri za wanaume.
Sasa huruma yangu ni hii,mwanamke let's say ni mke wa mtu amechepuka mchana amekuja kwangu Mr kyagata amechezea na kunyonya mti siku nzima,then jioni anarudi...
Wachaga na Wakikuyu
Wote wanalima kahawa
Wote wanapenda pesa
Wote ni wakatili
Wote ni wezi
Wengi wao ni Wakristo
Wote ni wakabila
Wote ardhi zao zinafanana
Wanaishi kwenye miinuko ya milima Kilimanjaro na Kenya respectively
Wote hupenda kudumisha mila
Wote wana tabia ya kuchukuana ndugu kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.