tabia

Tabia is a small town and rural commune in Taroudannt Province of the Souss-Massa-Drâa region of Morocco. At the time of the 2004 census, the commune had a total population of 2329 people living in 487 households.

View More On Wikipedia.org
  1. The king mswati

    JamiiForums Tanzania Tabia hizi nilizonazo naziona kabisa zikienda kufupisha maisha yangu

    Habari zenu wakuu, Hivi ninyi mliachaga vipi hizi tabia mbona mimi najiona kabisa maisha yangu yanaenda kuwa mafupi kwa sababu ya hizi tabia sugu ambazo zimenikumba mimi? MOJA :KUBETI MPIRA ; Nilianza kubet mwaka 2016 kwa sh 500 tu lengo kutafta walau kutafta hela ya vocha tu kila siku ila leo...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Je, mzunguko wa mwezi kuizuka dunia hua una athali katika akili za wanadamu na tabia za wanadamu?

    Nawasalimu wakuu wote. Mara nyingi nimekua nikiona watu wenye matatizo ya akili vichaa vyao hupanda zaidi wakati wa mwezi mchanga. Nimekua nikifanya pia hata uchunguzi kwa watoto wadogo kuna kitu wanaita mchango hua unawapata zaidi wakati wa mwezi mchanga. Pia wakati huo hata kwa watu wengi...
  3. Nduka Original

    JamiiForums Tanzania Wadada wacheni hii tabia inakera sana wanaumee - Be real

    Kuna tabia wadada wanaweka picha kwenye profile zao ambazo siyo halisi. Yani unakuta kajipiga picha halafu anaifanyia manjonjo wewe una base kwenye picha hiyo lakini ukija kumuona ni vitu viwili tofauti. Unakuta mdada labda ulisoma nae sasa mmechat ukaona profile ukasema ngoja nirushe nyavu na...
  4. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Kero: Tabia ya ajabu Mbeya kuchangisha pesa za misiba imezidi mno

    Binafsi niweke wazi kabisa kwamba napenda kuishi kijamii na wala sinaga tatizo na misiba ila hali ya mbeya imezidi sana Sasa kwa huku Mbeya hali ya misiba imekuwa tofauti sana, watu hawajali kushiriki kwako msibani hawakwambii hata msiba ulipo mpaka uwauilze na hata hawajali ukaribu wako na...
  5. Justine Kakoko

    JamiiForums Tanzania Tabia muhimu za kuzijenga kwa watoto

    Wazazi/walezi wengi hutamani kujenga tabia mbalimbali nzuri kwa watoto lakini hujikuta katika njiapanda ya kuchagua tabia ipi waiwekezee nguvu zaidi ya nyingine. Katika kuhudumia kwangu wazazi kwa kuwapa ushauri kwa miaka zaidi ya sita sasa nimekutana na wazazi wengi ambao wanajua tabia gani...
  6. uran

    JamiiForums Tanzania Tabia hizi za Wachagga za kujenga nyumbani zinapaswa kuigwa na Makabila yote

    Wakuu, Kati ya kitu ambacho makabila mengine yanapaswa kuiga kwa wachagga ni hii tabia ya kujenga nyumbani (kwenye asili yako). Hii picha nimeipiga Huko Moshi Vijijini, ndanindani sana huko kijiji cha Kirua. Hii tabia ndio inayowahamasisha kurudi makwao mwisho wa Mwaka, kwasababu wanajua...
  7. Kiume3000

    JamiiForums Tanzania Natamanigi sana hii tabia ni gonjwa

    Gx almaarufu One hundred" Hii aina ya gari ilivuma sana kunako miaka ya 2000 wakati ule Noah ilikuwa my favourite, Leo hii nakumbuka Gx100 sasa udenda unanitoka nikiifikiria.wajuzi kama mnaijua vema na upatikanaji. Hi tabia yangu inanikosesha usingizi....haya ma verrosa yametulia shida yake ni...
  8. Jumbe Brown

    JamiiForums Tanzania Mdude Nyagali na saluti: Hii tabia Watanzania tulio raia tumejifunzia wapi?

    Leo katika mkutano wao wa katiba ambao Ndg. Mbowe ameendelea kudhihirisha ukaidi alionao kwa mamlaka za nchi ya "kijamaa" ndugu yetu mdude nyagali ametushangaza. Mdude nyagali amenishangaza vipi? Tabia inayoota mizizi hapa nchini. Mdude nyagali alitoa ishara ya saluti kwa meza kuu pale...
  9. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Askofu Benson Bagonza: Kuweka nchi sawa ni kazi isiyoisha

    Askofu Dkt. Benson Bagonza, Askofu Mkuu wa kanisa la KKKT Dayosisi ya Karagwe "Nampongeza mama kwa "100 kwanza". Namwombea "100 tena" zenye maono mapana zaidi" "Haki na uhuru ni misingi imara ya kuweka nchi sawa. Ukiyaahirisha unajitwisha mzigo mzito. Dai la katiba mpya lina faida kubwa kwa...
  10. G

    JamiiForums Tanzania Watanzania tuache hii tabia ya kuwasifia viongozi kupitiliza, tunawaharibu

    Kuna tabia iliyojengwa miongoni mwetu ya kutoa sifa zilizopitilizakwa viongozi wapya, hasa rais, waingiapo madarakani. Tabia hii sijui tumeirithi wapi? Tunawapa sifa mpaka wanajiona miungu. Tumejifunza kwa mwendazake na sasa tumehamia kwa mama. Baada ya siku 100 madarakani zimeimbwa ngonjera...
  11. Marconho

    JamiiForums Tanzania Tabia ya kuwa na miadi sehemu na mwanamke, yeye anakuja na rafiki zake bado ipo?

    Kuna siku nilikua na miadi na manzi mmoja, budget yangu ilikua ni mimi na yeye, nashangaa anafika na nyomi la rafiki zake! Nikawakaribisha kwa roho ya unyenyekevu sana! Wakaona hapa wamepata shem mwenye kujali. Nikawaeleza waagize chochote! Baada ya hapo nikamuita pembeni yule manzi wangu...
  12. Blue G

    JamiiForums Tanzania Mwonekano mzuri huvutia kuanzisha Mahusiano, Utu au Tabia nzuri ndio hudumisha mahusiano

    Habarini Wana MMU, Nimekuwa nikijaribu kufikiria hii kauli ya "mke sio sura bali tabia" na matumizi yake,wengi hasa vijana wa siku hizi wanaichukulia kauli hii kama kauli iliyopitwa na wakati hasa kwa kuwa vijana wengi siku hizi ni wazee wa pisi kali wakiamini kuwa na pisi kali au smart...
  13. Its Pancho

    JamiiForums Tanzania Haya ndio ya makundi ya watu wa JF na tabia zao

    JF imejaa watu wa kila aina na ndio hawa hawa tunaishi nao mtaani, wengine pia ni ma diaspora, viongozi nk. Haya ndio makundi ya J na karibu kila mtu yupo kundi tajwa na tabia zake kama ifuatavyo. 1: Wapenda siasa Hapa wapo watu ambao wao utawakuta kwenye jukwaa la siasa tu, maisha yao na...
  14. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Kutokana na tabia zako mbaya, jitambulishe wewe ni nani?

    Hamna mtu asiye na tabia mbaya, wote tunazo, za kurithi, za kujifunza na za kuiga. Kila mtu anayejijua vyema, huwezi ukawa mwizi halafu usijijue. Huwezi ukawa kicheche halafu useme eti hujui. Sasa hapa tujuane kwa tabia zetu mbaya. Binafsi:- Siwezi kunywa bia mbili halafu niseme nimetosheka...
  15. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Ewe kijana wa kiume unapata wapi tabia na ujasiri wa kulala na mama yako mzazi?

    Ukishangaa ya Musa utayaona ya Firauni. Sasa nina amini kwamba dunia imefika tamati. Hapa mtaani kuna jamaa mmoja umri unakadirika kati ya 34 - 39 hivi. Ameoa na kufanikiwa kubahatika kupata watoto 3 wote wakiwa wadogo Shule ya Msingi. Lakini kitu kilichonishangaza zaidi pamoja na kwamba jamaa...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi, na kujenga dunia yenye hatma ya pamoja ni msingi wa China katika kushughulikia suala la mazingira

    Kwenye mkutano wa baraza la Umoja wa Mataifa uliofanyika Septemba 2020, Rais Xi Jinping aliushangaza dunia kwa kutoa ahadi kuwa China itafikia kilele cha utoaji wa carbon mwaka 2030, na kuanzia hapo itapunguza kiwango hicho hadi kufikia 0 mwaka 2060. Wataalamu wanakubaliana kuwa China ni moja...
  17. g vizy

    JamiiForums Tanzania Mpenzi mwenye tabia ya kupanic panic ovyo ovyo unamvumiliaje?

    Unapokuwa na mwenza mwenye tabia ya kuchukia chukia kila wakati yaani jambo dogo ameshakasirika wakati mwingine ni jambo la kawaida tu lakini yeye amechukia/amenuna hataki umsemeshe kuvimba yaani ni taflani. Na sio mara moja yaani mara kwa mara tabia hiyo amekua nayo mpaka kuna wakati ladha ya...
  18. Mwanamayu

    JamiiForums Tanzania Hivi ni msomi mzuri wa 'sociology' au 'psychology' ndio mwenye utaalam wa kusoma tabia ya mtu na kubashiri matokeo? Je, jibu la Rais ni sahihi?

    Wakati wakiaapishwa makatibu tawala wa mikoa, Mhe. Rais Samia alisikika katika hotuba yake kuwa aliwasimamisha wakuu wa mikoa na makatibu tawala hao wa mikoa ili kusoma sura zao na kubashiri yatakayotokeoa mikoani. Alisema kwa msomi mzuri wa sociology atafahamu nini kitatokea kwa kuangalia...
  19. Shamkware

    JamiiForums Tanzania Waendesha bodaboda, tabia hii inakera sana

    Habari wakuu, Niende moja kwa moja kwenye maada. Hivi sasa tunatambua bodaboda imekuwa ni kazi inayowasaidia vijana wengi sana kujikwamua kiuchumi katika maeneo mbalimbali ya nchi yetu kitu ambacho ni kizuri sana. Lakini kazi hii baadhi ya maeneo inafanywa kwa kukosa weledi na maarifa ya...
  20. spidernyoka

    JamiiForums Tanzania Muonekano wa mtu sio tabia

    Habari wanajamvi Kwa utafiti mdogo niliofanya watu wengi wana mazoea ya kuhusisha muonekano wa mtu na baadhi ya sifa ambazo hazihusiani mfano ujasiri roho ngumu muda mwingine na ukakamavu yani ukiwa na sura ya kazi ni nongwa. Unaweza ukadhani ukiwa na muonekano mzuri umepona lakini ukiwa na...
Back
Top Bottom