Tabia hizi nilizonazo naziona kabisa zikienda kufupisha maisha yangu

The king mswati

JF-Expert Member
Jun 20, 2020
787
820
Habari zenu wakuu,

Hivi ninyi mliachaga vipi hizi tabia mbona mimi najiona kabisa maisha yangu yanaenda kuwa mafupi kwa sababu ya hizi tabia sugu ambazo zimenikumba mimi?

MOJA :KUBETI MPIRA ; Nilianza kubet mwaka 2016 kwa sh 500 tu lengo kutafta walau kutafta hela ya vocha tu kila siku ila leo hii 2021 naweka hadi laki 2, 3,5 mpaka 8 na mikeka inachanika na lengo siyo kutafta tena hela ya vocha bali imekuwa kutafta hela ya maisha,MUNGU nihurumie maana kuna mda naliwa hela nyingi hadi natamani kujiua lakini ghafla najikuta napumua nakuzinduka tena.

MBILI : PUNYETO ; Hii ndo huwa sehemu yangu ya kupunguza machungu baada ya kuliwa hela kubeti.yaani naweza weka laki 5 nikishaliwa naweka GB 3 kwenye simu najifungia geto nacheki video za ngono na kupiga punyeto tu kwa siku nzima najikuta nimepiga goli 8 hadi 12 hadi miguu inaishiwa nguvt nashindwa hata kusimama na nakojoa matone siyo nyege tena.

TATU : UONGO ; Hii imesababishwa kwa kiasi kikubwa na kubeti, pesa ambayo ningewapa wazazi wangu wafanyie mambo ya msingi najikuta nimebetia imeliwa kwa hiyo naanza kutunga stori za kiwango cha digrii ili tu nieleweke ingawa haisaidii kitu maana mwongo mwisho wa siku huumbuka tu.

NNE NA MWISHO : KUTOMCHA MUNGU ; mara kadhaa nimekuwa nikiamini kuwa nikimcha mungu katika usiriazi basi sitabeti,sitapiga punyeto na sitadanganya, lakini nako nashindwa, natubu nakaa wiki moja kama sina hela nauza hata kitu ndani kama sabufa hivi hela nabetia naliwa yote narudi kupiga punyeto kujipoza machungu ya kwa kifupi najiona nna maisha mafupi kwa uraibu wa hizi tabia nilizo nazo.

1626070406195.png
 
Mmh!kwa upande mwingine sikushangai coz mwenyew yote ayo milishapitia, cha msingi tu kwa kua umeshatambua mchawi wa maendeleo yako in nani basi ndo mwanzo wa mabadiliko.

Hivyo basi Jaribu kukaa hata wiki bila kubeti uone mabadiliko. Pia jaribu kujichanganya ata kwenye draft au bao uo muda unaotumia kubeti ili kufuta hayo mawazo naimani ukiweza kuyafanya hayo basi utakua ushajiokoa kwa asilimia kama 60.
 
Anza na la mwisho hayo mengine yote yatakaa sawa.
siku moja nilibeti nikaliwa laki 6 na 80 elfu kwa siku moja, na siku hiyo ndo mshahara ulikuwa umetoka na kabla sijanunua chakula ndani kodi ya chumba nadaiwa nikasema ngoja nibeti walau ifikike milion moja then ndiyo nifanye mahemezi, nilipe kodi na kufanya mengine madogo madogo, lakini kilichotokea nililiwa hiyo more than 600k bado sijaanza kulala njaa na kodi nadaiwa, nikarudi geto nikajifungia nikapiga magoti nikalia kwa uchungu nikasema "EE MUNGU NAOMBA PEPO LA KUBETI LINIPITE MBALI ".

Nikaingia you tube nikatafta clip ya pastor mmoja ili nitubu maana nikawa naona kusubiri jumapili kanisani ni mbali, nikaipata clip moja ya pastor anaitwa CHRISTOPHER MWAKASEGE akiwa anawaongoza watu toba na kuziungama dhambi zao, nikawa nawafatisha maneno alokuwa anayasema huku nikiwa nimepiga magoti kabisa geto.

Nikaapa kabisa sitorudia kubeti, lakini nilikaa siku 5 tu sijui shetani akatokea wapi nikauza redio na pesa yote nikabetia na ikaliwa kilichofata ilikuwa ni kupiga punyeto kupunguza machungu na msongo wa mawazo na ndiyo tabia yangu hadi leo, so natamani kabisa kutoka kwenye hiki kifungo lakini imefika muda roho yangu ndani inanambia kabisa kuwa siwezi tena kutoka, najikuta kama teja flani tu ivi
 
Nia unayo na unaihitaji sana neema ya Mungu ikufikie lakini pia biblia imeandika mkataeni shetani nae atawakimbia. Sasa swali linakuja unaweza kumkataa...mbona wenza ambao ni wachungu kwetu tunawakataa kirahisi ila tukija kwa shetani kipengele.

Neema ingalipo tujitahidi tumkatae shetani..then ukae kwenye toba ya ukweli.
 
Nia unayo na unaihitaji sana neema ya Mungu ikufikie lakini pia biblia imeandika mkataeni shetani nae atawakimbia. Sasa swali linakuja unaweza kumkataa...mbona wenza ambao ni wachungu kwetu tunawakataa kirahisi ila tukija kwa shetani kipengele.

Neema ingalipo tujitahidi tumkatae shetani..then ukae kwenye toba ya ukweli.

Kushindana na kiumbe wa kiroho katika umbile (shetani) na wewe ukiwa katika mwili (binadamu) napo kipengele kingine ambacho waliopewa nguvu hiyo na MUNGU nafikiri ni wachache sana na mimi huenda sikuwa miongoni mwao.

Lakini nia ya kubadilika kabisa nilikuwa nayo ila kwa sasa ni nikama nimeacha nature iniongoze yenyewe inavyotaka kunipelaka
 
Badilisha simu yako na utumie simu ndogo ambayo haina access na intaneti, ukiweza hapa unaelekea hatua nzuri, sababu simu janja inaweza kuwa sababu kuu katika mapito hayo yote sababu uko nayo muda wote.

Muite Mungu aongoze njia zako. Hakuna atakayekuja kukuambia fanya hivi ama vile, maisha yako yako mikono mwako, ni uamuzi wako uyajenge /uyabomoe.

Fanya mazoezi ya viungo kama skwayat/push-up kupunguza mawazo ya kujiselfia mwenyewe.
Andaa ratiba ya siku 21/30 uifuate, Kama jambo siyo la muhimu liache fanya yaliyo katika uwezo wako na nafsi yako itatulia.
 
Pole sana ndugu yangu, ila kitu cha kukushauri addiction yeyote huwezi kuamua kuacha na ukaacha ghafla. It takes time, discipline & commitment na pia hizo tabia utaweza kuziacha kwa hatua ila sio kwa mara moja.

Mfano jiwekee malengo ya kuacha punyeto, kubeti n.k ndani ya miezi sita au mwaka kwa hatua na mipango. Kama ulizoea kupiga punyeto kila siku kwa wiki basi weka mpango wa kupunguza na kufanya mara tano kwa wiki. Ukiweza kupunguza hadi hizo siku punguza tena hadi mara 4 au 3 kwa wiki. Endelea hadi mara mbili moja hadi uache kabisa. Kumbuka hatua moja inaweza kuchukua wiki kadhaa hadi mwezi ili ufaulu ndio maana nasema inachukua muda.

Kuhusu kubeti unaeza kufuata hatua zile zile mfano km ulizoea kubeti laki5 basi jiwekee mpango wa kupunguza kiwango chako cha kubeti labda hadi laki 3, shuka hadi laki 2, 1 hadi elfu 50 mpaka uache kabisa. Kumbuka kuzingatia uamuzi wako usije kupunguza hadi laki 1 ukarudi tena laki 5 utakuwa unafanya kazi bure ndio maana nasema unahitaji discipline na commitment.

Kila kitu kinawekana kama ukiamua wengi wamepitia hayo na wamevuka hata wewe unaweza. Nakutakia kila la kheri naamini utafanilkiwa.

God bless you.
 
Goli nane au kumi kwa nyeto........mmmhhhhh hii chai.

Unaweza kuona ni chai ila mimi ndiyo muathirika ukweli naujua mimi.

Mimi huwa nikiwa na msongo wa mawazo uliopitiliza huwa napiga punyeto kwa kiwango ambacho hata mimi huwa najishangaa, naweza kujifungia geto kuanzia asubuh labda saa nne, nalala kitandani najaza GB 3 nakuwa nipo online kwenye web za porno tu mda wote, wastani kila baada ya saa napiga goli mbili, mle ndani hakuna ninachoangalia zaidi ya video za ngono, kwa sababu ya stress naweza kuja kuamka saa mbili au saa nne usiku na kumbuka ni since morning nipo ndani, na mpaka niamke ni kwamba uwezo wa kupizi tena sina kwa hiyo naamka kila kiungo cha mwili kinauma kwenda tu bafuni naenda nayumba kama mlevi aliyezidiwa pombe na nikishaoga ndo network zinaanzaga kurudi na naanza kujutia kitendo nilichofanya.

Kuna siku nililiwa hela ya ada ya chuo kwenye kubeti na mitihani imekaribia, nilijifungia geto kwa hasira nikaanza kuchek porno na kupiga punyeto tu nakumbuka nilipiga bao 12 siku hiyo mpaka nikawa nachechemea kusimama siwezi, mashine yangu ilichubuka ikawa na kitonda kabisa lakini bado nikawa napiga hivo hvo hata maumivu nikawa sihisi tena, na mimi kwenye suala la nyeto huwa situmii kilainishi chochote huwa ni mkono mkavu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom