Mpenzi mwenye tabia ya kupanic panic ovyo ovyo unamvumiliaje?

g vizy

JF-Expert Member
Jan 5, 2016
896
977
Unapokuwa na mwenza mwenye tabia ya kuchukia chukia kila wakati yaani jambo dogo ameshakasirika wakati mwingine ni jambo la kawaida tu lakini yeye amechukia/amenuna hataki umsemeshe kuvimba yaani ni taflani.

Na sio mara moja yaani mara kwa mara tabia hiyo amekua nayo mpaka kuna wakati ladha ya maisha inapotea kabisa yaani ndani hakuna amani.

Nyie wenzangu mnavumilia vipi hii hali binafsi kwangu naona ni kama mateso kusema kweli.

1622783302772.png

Mwanamke/mwanaume unaye mfikiria akilini mwako hayupo katika maisha halisi. Yaani maana yake watu wote tuna mapungufu yetu.

So ichukue hiyo kama mapungufu aliyonayo huyo mpenzi wako na tengeneza plan ambayo hali hiyo ikitokea wewe unakua unajua unafanya nini, kwa kufanya hivyo utafurahia maisha yako yote ya mahusiano na hata.

"Its hard to date anybody, everyone has insecurity,flaws, and their own way to do things to make them who they are"
 
Unapokuwa na mwenza mwenye tabia ya kuchukia chukia kila wakati Yaan jambo dogo ameshakasilika wakati mwingine ni jambo la kawaida tu lakin yeye amechukia/amenuna hataki umsemeshe kuvimba Yaan ni taflan na sio mara moja Yaan mara kwa mara tabia hyo Amekua nayo mpaka kuna wakati ladha ya maisha inapotea kabisa Yaan ndani hakuna amani

Nyie wenzangu mnavumilia vipi hii hali binafsi kwangu naona ni kama mateso kusema kweli
Vitasa kwa kwenda mbele
 
Shukrani mkuu
 
Huyo atakuwa ARROGANT PEOPLE.

arrogant people huwa katika hali ushali huwa kama mtu mwenye gubu,hasira,mara nyingi ni watu wa kuforge hasira,ukorofi na mwenye kupenda kulalamika bila sababu muhimu,hapo pia atengeneza ugomvi ili tu apate sababu ya kugombana,tabia yake nyingine nikupenda kukutafutia makosa ili apate sababu ya kukejeli.

Yote hufanya kwa sababu ni watu ambao hawajiamini,walio dhaifu,pia kutokana kujijua yeye ni dhaifu basi hujihisi watakuja kuonewa au kudhurumiwa sasa hapo hupelekea yeye kufanya matendo hayo ili tu kujiwekea defensive mechanism ambayo wewe mtu wa pembeni umwogope,ukose kujiamini na huanze kujiona mkosaji wewe ndio unayesababisha hawe vile kumbe nyuma ya pazia lengo ni kushusha ego yako.

Dawa ya watu kama hawa ni kutojali matendo yao,unaweza kubadilika kuwa mbabe pale afanyapo upuuzi wake,na wewe badilika kutokana na anavyokuwa hachana na mambo ya kujishusha akiwa negative na wewe kuwa negative akiwa positive na wewe kuwa positive yani kiufupi huwe kioo cha matendo yake kama utashidwa nibora uachane nae

images (85).jpeg

images (84).jpeg
 
View attachment 1807195

View attachment 1807196
ni sahihi,ninaye wa aina hiyo.kwangu akiweka ugoko mi naweka chuma baada yaa siku 2 ananyooka anarudi kwenye mstari,siku nyingine sirudi home anaanza kuwa na kazi ya kunitafuta na kunibembeleza nimsamehe kwani hanajikuta yuop na hiyo hali
 
Unapokuwa na mwenza mwenye tabia ya kuchukia chukia kila wakati Yaan jambo dogo ameshakasilika wakati mwingine ni jambo la kawaida tu lakin yeye amechukia/amenuna hataki umsemeshe kuvimba Yaan ni taflan na sio mara moja Yaan mara kwa mara tabia hyo Amekua nayo mpaka kuna wakati ladha ya maisha inapotea kabisa Yaan ndani hakuna amani

Nyie wenzangu mnavumilia vipi hii hali binafsi kwangu naona ni kama mateso kusema kweli
Ndo umeona uje kunisemea huku??
 
ni sahihi,ninaye wa aina hiyo.kwangu akiweka ugoko mi naweka chuma baada yaa siku 2 ananyooka anarudi kwenye mstari,siku nyingine sirudi home anaanza kuwa na kazi ya kunitafuta na kunibembeleza nimsamehe kwani hanajikuta yuop na hiyo hali
hahahah ! dawa ya moto volcano
 
ni sahihi,ninaye wa aina hiyo.kwangu akiweka ugoko mi naweka chuma baada yaa siku 2 ananyooka anarudi kwenye mstari,siku nyingine sirudi home anaanza kuwa na kazi ya kunitafuta na kunibembeleza nimsamehe kwani hanajikuta yuop na hiyo hali
Mm mwenyewe Najikuta nalala ofisini kwenda nyumbani kulala naona pachungu yaan maana nategemea kupokelewa kwa furaha unakutana na mnuno
 
Unapokuwa na mwenza mwenye tabia ya kuchukia chukia kila wakati Yaan jambo dogo ameshakasilika wakati mwingine ni jambo la kawaida tu lakin yeye amechukia/amenuna hataki umsemeshe kuvimba Yaan ni taflan na sio mara moja Yaan mara kwa mara tabia hyo Amekua nayo mpaka kuna wakati ladha ya maisha inapotea kabisa Yaan ndani hakuna amani

Nyie wenzangu mnavumilia vipi hii hali binafsi kwangu naona ni kama mateso kusema kweli
Huyo mpenzi ana tabia kama zangu, sema mimi nikichukia lazima nikuwashe makonzi
 
Back
Top Bottom