Natamanigi sana hii tabia ni gonjwa

Kiume3000

Senior Member
May 17, 2021
180
218
Gx almaarufu One hundred" Hii aina ya gari ilivuma sana kunako miaka ya 2000 wakati ule Noah ilikuwa my favourite, Leo hii nakumbuka Gx100 sasa udenda unanitoka nikiifikiria.wajuzi kama mnaijua vema na upatikanaji. Hi tabia yangu inanikosesha usingizi....haya ma verrosa yametulia shida yake ni Ile misauti yake. Hili gonjwa lanitesa sana
 
Nenda hospitali
 
Unataka 1G kavu au VVTi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom