Moto wa volcano
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 2,625
- 6,528
Kuna ile umetoka kzn na stress mishe zimebuma halafu unarudi hm mke kanuna / kelele nyingi.
Hapo ndo utajua umuhimu wa kuangalia tabia kuliko Nyash.
Unakuwa na battle nyengine nyumbani
Hapo ndo utajua umuhimu wa kuangalia tabia kuliko Nyash.
Unakuwa na battle nyengine nyumbani