Men's talk: unaoa tabia, shape au bikira?

Men's talk: unaoa tabia, shape au bikira?

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
371,065
Reaction score
859,146
Mvuto wa Muda Mfupi" dhidi ya "Uimara wa Muda Mrefu

Shape hubadilika (baada ya uzazi au umri), na bikira hupotea siku ya kwanza ya ndoa. Lakini tabia—hekima, heshima, uvumilivu, na jinsi anavyoweza kuisimamia familia—ndio inayobaki.

"Shape inakuvuta chumbani, lakini tabia ndio inakubakiza sebuleni
 
Mwanamke ni tako titi na aura akili atatumia za mwanaume
Mwamba ulipotelea wapi mwanawaneee
markup_61530.png
markup_61529.png
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom