taarifa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N

    JamiiForums Tanzania Amekamilisha taarifa zake zote muhimu kwa ajili ya kubadili jina na amehakikiwa kwa finger print ila kaambiwa asubiri miezi 3 jina ndiyo

    USUMBUFU NIDA:Amekamilisha taarifa zake zote muhimu kwa ajili ya kubadili jina na amehakikiwa kwa finger print ila kaambiwa asubiri miezi 3 jina ndiyo libadilike Kwenye system Mbona Kwenye usajili wa laini mambo haya hayapo? Pesa kalipa, uhamiaji kapita na kahakikiwa kila kitu na mhusika ni...
  2. JamiiForums Tanzania Pafanye JamiiForums kisima cha maarifa na taarifa

    Kama una jambo, au mada ambayo haina mashiko, kwanini uilete JamiiForums? Wote tuna jukumu moja, kuifanya JamiiForums kuwa ni kisima cha maarifa. Hutuhitaji @Brianica tena, tuna uwezo wa kuifanya JF kuwa zaidi ya tuwazavyo, iwapo tu tutaamua kuto post upumbavu. JamiiForums ijayo inafurahisha...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Natumia Excel kutengeneza taarifa na kuzichambua Katika njia mbalimbali ili ziweze kukusaidia kufatilia maendeleo kwenye biashara yako

    Ndugu habari Mimi ni kijana mwenye ujuzi na excel sasa nmeona pengine naweza kuufanya ujuzi huu kuwa huduma na kupata chochote kinisadie hapa na kule. Nina ujuzi na excel na ninaweza kutumia katika namna mbalimbali ili kuweza kusaidia kutatua changamoto tofauti tofauti. Wee mfanya biashara...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Mwaka 2023 vimerekodiwa vitendo vingi zaidi vinavyozuia upatikanaji wa taarifa kwa Waandishi wa Habari kuliko miaka 3 nyuma

    Baraza la Habari Tanzania (MCT) liliungana na Dunia katika kuadhimisha siku ya kukomesha na kuondosha kabisa vitendo vya ukatili dhidi ya waandishi wa habari (International Day to End Impunity for Crimes Against Journalists). Kila mwaka siku hii imekuwa ikiadhimishwa kutokana na vitendo...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa Mbunge kutoa taarifa Bungeni wakati wa mjadala unaendelea ufanyike kidijitali

    Kama kichwa cha habari. Naona huu utaratibu wa mbunge kupiga kelele ' taarifa, taarifa, taarifa' una distract anayeongea. Yaani mimi huwa hata siwaelewi, unavuruga kabisa flow ya mchangiaji na hata usikivu kwa sisi wasikilizaji. Nadhani hicho kipengele kiliwekwe kwa nia nzuri na Mabunge ya...
  6. JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya: Taarifa ya uchunguzi - Baraza la adaktari Tanganyika linaendelea kuendesha Mitihani ya Watarajali

    Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu ameliagiza Baraza la Madaktari Tanganyika kuendelea kuendesha mitihani miwili ya kabla na baada ya Utarajali kwa Madaktari wote nchini wanaomaliza vyuo na kuuanza mafunzo kwa vitendo. Waziri Ummy amesema hayo leo jijini Dodoma wakati akipokea taarifa ya matokeo ya...
  7. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri TAMISEMI Dkt. Festo Dugange: Utoaji wa Taarifa kwa Wananchi Uwe Endelevu

    UTOAJI WA TAARIFA KWA WANANCHI UWE ENDELEVU - Dkt. Dugange Naibu Waziri TAMISEMI Dkt. Festo Dugange: Utoaji wa Taarifa kwa Wananchi Uwe Endelevu Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Festo Dugange amewataka Wakuu wa Mikoa na Wakurugenzi wa Mamlaka za Serikali za...
  8. JamiiForums Tanzania Nani anawajibika kutoa ajira au kazi?

    Tupo kwenye dunia ambayo mageuzo ni makubwa na athari ni kubwa hasa kwa jamii ambayo haijajiandaa. Mbaya zaidi mageuzo hao hayajali umejiandaa au hujajiandaa, umeelewa au hujaelewa. Hivi leo, kwa sababu ya maendeleo mbalimbali ikiwemo maendeleo ya teknolojia, dunia inakabiliwa na changamoto...
  9. JamiiForums Tanzania Baada ya kugundua Google chrome inakusanya taarifa zangu nyingi niliwahama, ni mwaka wa pili sasa natumia Brave Browser.

    Yani google ni majasusi waliokubuhu, Sina tatizo kwa google kutunza baadhi ya taarifa zangu kama cintacts zangu lakini kuna muda wanavuka mipaka kuchungulia hata visivyowahusu. Google chrome ukiitumia historia yako ya kila kitu ulichosechi kitaonekana, Google chrome inatunza passwords za...
  10. JamiiForums Tanzania Shida ya Moses Phiri ni kuwa position yake haijulikani pale Simba

    Hili jambo nililiona siku nyingi za nyuma nikaamua kulikaushia ila ngoja tu leo niliseme. Ukipitia profile za wachezaji wote wa Simba katika website ya timu, Moses Phiri ndiye mchezaji ambaye ana taarifa fupi na chache kuliko mchezaji yoyote. Wakati wachezaji wengine katika profile zao...
  11. JamiiForums Tanzania Siri hadharani: Siyo Vyama vya Upinzani ni Vyama Vya Watoa Taarifa

    Akipokelewa mkoani Dar es Salaam kama Katibu Mwenezi na Itikadi wa CC, Paul Makonda amesema kazi ya CCM ni kusikiliza kuwa sikio la Serikali na kusema kuwa Sauti ya Wananchi Amesema "Naomba nitumie fursa hii kutuma salamu kwa Mawaziri wote, Wakuu wa mikoa, na kwa Watendaji wote ya kwamba pale...
  12. JamiiForums Tanzania Dawa hii kuna mwenye taarifa zake?

    Mssada wa hii bidhaa
  13. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded TAHLISO wanapaswa kusimama na kupigania haki za Wanafunzi kuhusu Mikopo

    Naitwa Abdul-Aziz Carter Mwanafunzi wa chuo kikuu cha Dar es salaam (UDSM): Octoba 20,2023 Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya mikopo (HESLB) Abdul-Razaq Badru aliishukuru serikali kwa kutenga Bilioni 731 kwa ajili mikopo ya wanafunzi 220,376 wa Elimu ya juu, lakini pia alitangaza awamu ya kwanza ya...
  14. JamiiForums Tanzania TAZARA yatoa taarifa ya ajali ya Treni ya abiria na mizigo zilizogongana uso kwa uso maeneo ya Mwakanga, 62 wajeruhiwa

    Pia soma: TAZARA: Treni ya abiria na mizigo imegongana uso kwa uso maeneo ya Mwakanga, 62 wajeruhiwa
  15. JamiiForums Tanzania Treni ya abiria na mizigo imegongana uso kwa uso maeneo ya Mwakanga, Oktoba 18, 2023

    Kuna ujumbe huu unasambaa kwenye mitandao ya kijamii juu ya ajali ya treni kugongana uso kwa uso, mwenye taarifa kamili atupatie, inasemekana imetokeo usiku huu Jumatano Oktoba 18, 2023. Ujumbe unaosambaa na video hiyo unasema "Ajali hii imetokea usiku huu hapa station ya Mwakanga, treni ya...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Vijana wanaokwenda kuanza masomo University 2023/2024 wakosa kuanza masomo 16/10/2023 (orientation) wakisubiri taarifa za mikopo

    Uchunguzi nilioufanya, wanafunzi wengi kutoka familia masikini wamekosa kwenda shule (University-kuanza orientation/masomo) kwa vile wanasubiri kama watapata mikopo toka HESLB. Rais Samia/Waziri Mkenda ingilia kati watoto wajue kama wamepata mikopo au hapana wapange what next .........
  17. JamiiForums Tanzania Taarifa Kuhusu Malalamiko ya Wakulima Juu ya Matrekta ya URSUS kutoka Nchini Poland Yawasilishwa Kwenye Kamati ya Bunge

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo imepokea na kujadili taarifa ya hatua zilizofikiwa za utekelezaji wa maelekezo ya Spika wa Bunge kuhusu Malalamiko ya wakulima juu ya Matrekta ya URSUS kutoka Nchini Poland. Taarifa hiyo imewasilishwa na Waziri wa Viwanda na...
  18. JamiiForums Tanzania Nasubiri kujiridhisha kama sitomuona Feitoto Kikosini Taifa Stars ili nije na mhusika aliyesababisha hayo tumnyooshe

    Nimeshauandaa Uzi Maalum wa huyo mtu ila nasubiri hiyo Saa 1 Kamili Usiku nikione Kikosi cha Taifa Stars na kama hayuko na hakuitwa kabisa basi Usiku wa Leo hapa JamiiForums patawaka Moto kwani GENTAMYCINE nitaanika kila kitu. Update: Niliahidi kuja na Taarifa ya Ndani kwanini 'Feitoto'...
  19. JamiiForums Tanzania Costco Shoppers yashtakiwa ikidaiwa kuingilia taarifa za wateja wao na kuzituma Meta kwa nia ya matangazo

    Katika nyaraka zilizowasilishwa kwenye Mahakama ya Shirikisho ya Seattle zinadai Costco Shoppers inatumia Meta Pixel kwenye eneo la Huduma za Afya katika tovuti yake bila wateja kujua au kuridhia. Meta Pixel ni nyenzo ya Uchanganuzi inayoruhusu tovuti kufuatilia shughuli za wanaotembelea...
  20. JamiiForums Tanzania Taarifa za intelijensia zinaonesha hata Iran walishtukizwa na mashambulizi ya Hamas

    Babkubwa la magaidi Iran linaonekana halikua na taarifa za HAMAS, bado uchunguzi unaendelea kufanyika huku Israel ikiendelea kusambaratisha kila kitu, wakimbizi wamefika 250,000 hadi sasa wamekusanyika wanategemea chakula cha wazungu (UN) =========== WASHINGTON, Oct 11 (Reuters) - Iran likely...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…