system

  1. Geofrey P Buchard

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kwa aliyefanikiwa kutuma maombi HESLB anielekeze

    Kwa ambae amefanya maombi ya mkopo mpaka mwisho mwaka huu 2023 HESLB. Atuambie amefanyaje maanake hii system mpya hatuielewi.
  2. Mtini

    JamiiForums Tanzania Serikali itueleze, imeanzisha tozo mpya kwenye manunuzi ya luku kinyemela? Au system imejichanganya, kwanini tozo zinakatwa mara 2 kwa mwezi?

    Nimenunua umeme tarehe 29 mwezi wa sita nimekatwa 1000 huku huko nyuma nilishakatwa tarehe moja. Nilijua wamebadirisha tareha za makato. Leo nimenunua tena nimekatwa 1000
  3. leroy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nishauri juu ya TV na Music System

    Nina Bajeti ya 1.5M kwa ajili ya TV 55" na 1M kwa ajili ya Music system. Lengo niviweke Master Bedroom. Naomba pendekezo la options ambazo sitajutia. Kwenye TV preference zangu ni true color quality (Ikiwezekana 8k) na kwenye sound system ni mtetemesho. Natanguliza shukrani
  4. lumwetuli

    JamiiForums Tanzania Kupata Program ya POS & Accounting System

    Say goodbye to manual bookkeeping and hello to streamlined operations! Our powerful system seamlessly integrates point-of-sale transactions with accounting records, saving you time and reducing errors. 💪💰 ✨ Key Features: 📱 User-friendly interface for easy sales processing and inventory...
  5. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wamejitahidi kuficha mwisho wamekubali kuwa Patriot Air Defense System imeshachakazwa na makombora hatari ya Urusi

    Wiki iliyopita Ukraine walidai kuwa wamefanikiwa kuangamiza kombora la urusi (hypersonic missile), lakini baadaye ikaonekana kuwa siyo. Na leo mji mkuu wa ukraine ulishambuliwa vibaya na ukraine ikadai imetungua makombora 6 (hypersonic missile) ya urusi kwa kutumia Patriot air defense ya...
  6. TPP

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uteuzi na uchaguzi ndani ya China (China's Meritocracy)

    China has a unique system of selection and election of officials, which Canadian scholar Daniel A. Bell has described as "political meritocracy." Unlike Western models, China's selection of officials is focused on ability and merit. "Political meritocracy" is the idea that the political system...
  7. KENGE 01

    JamiiForums Tanzania Biashara ya GPS Tracking system installation kwenye vyombo vya Usafiri

    Na kenge, Hakuna biashara ngeni lakini unaweza kuifanya bila kuwa na mtaji mkubwa na bila taaluma kama IT au ufundi gereji kama wengi wanavyodhani. UTAFANYAJE? Wizi wa vyombo ni tatizo kote duniani sasa kama ni Jobless na unatafta pakuanzia unaweza kutafta mtaji wa kuanzia LAKI 5 NA...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa gps tracking kwa ajili ya magari pikipiki na bajaji

    GPS TRACKING SYSTEM NI NINI Ni mfumo ambao unawezesha chombo cha moto ambacho kimefungwa kifaa hicho kuweza kutoa taharifa mbalimbali kwa muhusika. Mfano ---- Sehemu chombo kilipo ---- Mwendokasi wake ---- Kupata ripoti mbalimbali za mwenendo wa chombo husika ---- Chombo kuwashwa na kuzimwa...
  9. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Urusi inavyonyanyasa ulinzi wa anga wa Marekani nchini Ukraine uitwao Patriot Air Defense System

    Wakati Marekani imeamua kupeleka Patriot nchini ukraine ikasemekana kuwa muarobaini wa mashambulizi ya anga ya urusi nchini ukraine umepatikana!! Kumbe hakuna kitu! Patriot ni kama midoli tu mbele ya Kinzhal hypersonic missile system. Russian forces have delivered a massive missile strike on...
  10. Artifact Collector

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Fahamu Solar System na Jupiter/Saturn System ambao hukuwahi kuujua

    Huu ndo mfumo wa sayari achana kupitia attachment, achana na huo ambao unaouona kutokea NASA A- sun Jua haina umbo la duara kama tunavyoaminishwa, kwa lugha nyingine hakuna star yenye umbo la duara kama tunavyoaminishwa B- Sun Fussion activity Tofauti na saturn na jupiter, fussion activity...
  11. mBONEASenior

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simulizi ya Vita: Mwanzo baada ya Mwisho by M.Kitua

    HABARI WANA JF. SEHEMU YA 1 MWANZO BAADA YA MWISHO .... Watu walikuwa wakifa, wengine wakikimbia, wengine wakijikuta kuna miguu mikubwa kama ile ya vunjachungu(parying mantis) ikitenganisha miili yao na wengine wakihangaika kupambana na wanyama ‘beasts’ wakubwa kuliko wao walio wazidi...
  12. Benjamin10

    JamiiForums Tanzania Manabii wanaouza maji na mafuta ya upako nao waingizwe kwenye system walipe kodi

    Habari za muda huu wakuu.. Naomba niende kwenye maada husika. Mimi ombi langu kwa serikali ni kua.. Wale manabii wanaouza maji ya upako wasajiliwe na mamlaka za maji (ewura) ili na wao walipe kodi.. vivyo hivyo mafuta nao ... maana hiyo imekua ni biashara kubwa watu wanatumia shida zetu...
  13. Benjamin10

    JamiiForums Tanzania Manabii wanaouza maji na mafuta ya upako nao waingizwe kwenye mfumo walipe kodi

    Habari za muda huu wakuu, Naomba niende kwenye maada husika. Mimi ombi langu kwa serikali ni kua wale manabii wanaouza maji ya upako wasajiliwe na mamlaka za maji (EWURA) ili na wao walipe kodi vivyo hivyo mafuta nao, maana hiyo imekua ni biashara kubwa watu wanatumia shida zetu kujinufaisha...
  14. E

    JamiiForums Tanzania Jaribu haya makadilio kwa plumbing system

    Kwa ufupi. Hii list ya materials ya plumbing, imekuwa ikinunuliwa sana kwa makadilio ya nyumba ya vyumba vitatu, Sasa kwa aliye kwenye ujenzi unaweza kupata list hii au ikaongezeka kidogo au kupungua kidogo. Kwa bei ya Jumla dukani kwetu utapata kwa 300k tu. WhatsApp +255 699 494650...
  15. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Drones za Korea ya Kaskazini yalichezea anga la Korea ya kusini mbele ya Air defense system za Marekani kwa masaa 7 na kurudi salama kituoni

    Kama kuna siku Marekani imechezewa sharubu ni leo!! Marekani hudai majeshi yake yako korea ya kusini ili kuilinda korea ya kusini dhidi ya kitisho cha korea ya kaskazini. Anga la korea ya kusini linalindwa na air defense za marekani zikiwemo Patriot air defense system na THAAD. Lakini leo drones...
  16. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Marekani kuipa Ukraine Patriot air defense system ambayo Zelensyky amekuwa akiililia kila Siku: Ila siyo mwarobaini dhidi ya kipigo cha Urusi!

    Hatimaye Marekani imeamua kuipa Ukraine ulinzi wa anga "Patriot Missile Defense System". Kwa wasiojua wanaweza kudhani kuwa hizi ni silaha za ajabu sana na ulinzi wake dhidi ya mashambulizi ya anga ni wa uhakika! Niwakumbushe tu kuwa ulinzi huu wa anga kwa kutumia Patriot Missile defense system...
  17. February Makamba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada: PC system inakula sana data

    Beijing! Bonjour wakuu, PC yangu inakula sana data kwa vitu visivyoeleweka. Nimeweka connection kuwa metered Nimestop background applications Nimestop google updates (ilikuwa ishakula mb95) Nimeweka data limit Nimezuia system updates mpaka January huko Lakini bado kila mkitumia nakuta Mb kibao...
  18. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ijaribu hapa System inayoandika cover letter zenye mvuto

    Habarini. Nimewaletea simple system inayokuasaidia kuandika cover letter kwa kazi ambayo unataka kuomba. Unachotakiwa kufanya ni kupaste link ya kazi unayotaka kuapply, andika jina lako na uzoefu wako kisha itakusaidia kutengeza cover letter yenye mvuto kwa mwajiri. Unaweza ijaribu hapa kabla...
  19. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Sekretarieti ya ajira ondoeni kigezo cha cheti cha ERB kwa kozi za mafuta na gesi (petroleum) wekeni kigezo cha COMMON QUALIFICATION SYSTEM

    Kazi yoyote inayohusu mafuta na gesi (petroleum) watangazieni wote waliosomea mafuta na gesi na mwaite wote wafanye usaili atakayepita ndio huyohuyo. Kazi hizi ni: Production, Reservoir, Drilling, Petroleum, Exploration, Processing, Oil and Gas Operation, Quality Assurance and Control. Hizo...
  20. F

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya networking na security system installation

    Kwa wale wenye Nia za kuifungua ofisi ambazo zinahitaji network au mifumo ya hospitalini au kufunga camera za usalama kwa majumbani na ofisini au sehem za biashara.... Naomba tuwasiliane nafanya kazi kwa uhakika kabisa. Sina meng ya kuandika ila mwenywe swali karibu na mwenye kazi karibu...
Back
Top Bottom