Serikali itueleze, imeanzisha tozo mpya kwenye manunuzi ya luku kinyemela? Au system imejichanganya, kwanini tozo zinakatwa mara 2 kwa mwezi?

Mtini

JF-Expert Member
Apr 28, 2011
1,487
2,344
Nimenunua umeme tarehe 29 mwezi wa sita nimekatwa 1000 huku huko nyuma nilishakatwa tarehe moja. Nilijua wamebadirisha tareha za makato.

Leo nimenunua tena nimekatwa 1000
20230702_185303_923.jpg
20230702_185238_607.jpg
 
Humu kwwnye transactions digital humu kuna wiz sanaaa..Sema ni ule wiz mdogo mdogo ambao unahitaji kuwa makin sana kuubaini.mfano huu sasa..
Imagine humu ma bank wakiamua wanaiba shiling 100 kila week kimya kimya nani anaweza akagundua kuwa katika milion 2 zako bank wamechukua sholingi 100? Hata ukijua ni rahis ku assume kuwa inawezekana labda ni charges za kitu flan...sasa wafanye hivyo kwa watanzania milion 1 tuu kila week maana yake kila week wanaweza wakawa wanatengeneza milion 100 bure bure...
Same same applies kwenye mobile networks
 
Kuna mtu alianiambia kuna wakati benki zinapata mishahara kwa njia hiyo wakiona mambo yako fyongo. Sasa sijui kama ina ukweli
 
Mkuu pole.

Unanunua umeme wa 1,500 kila baada ya siku 3, ni sawa kununua mara 10 kwa mwezi sawa na 15,000.

Nunua mara moja tu mkuu uachane na hii nunua nunua.

Ni ushauri tu mkuu.
 
Humu kwwnye transactions digital humu kuna wiz sanaaa..Sema ni ule wiz mdogo mdogo ambao unahitaji kuwa makin sana kuubaini.mfano huu sasa..
Imagine humu ma bank wakiamua wanaiba shiling 100 kila week kimya kimya nani anaweza akagundua kuwa katika milion 2 zako bank wamechukua sholingi 100? Hata ukijua ni rahis ku assume kuwa inawezekana labda ni charges za kitu flan...sasa wafanye hivyo kwa watanzania milion 1 tuu kila week maana yake kila week wanaweza wakawa wanatengeneza milion 100 bure bure...
Same same applies kwenye mobile networks
Kabisa mkuu mi nilishawaza sana hii kitu
 
Hii ipo kuna mtu aliwahi niambia hii inafanyikaga sana,
 
Mkuu pole.

Unanunua umeme wa 1,500 kila baada ya siku 3, ni sawa kununua mara 10 kwa mwezi sawa na 15,000.

Nunua mara moja tu mkuu uachane na hii nunua nunua.

Ni ushauri tu mkuu.
Ni lazima akili yako ikubaliane na ukweli kwamba, kuna utofati mkubwa wa vipato vyetu,

Kuna anayelazimika aingie jobu ndo arudi na shilingi, huyu hawezi kununua umeme wa mwezi mara moja tu

Itoshe kusema, si kila mtu ni mfanya kazi anayelipwa kwa mwezi mkuu
 
Humu kwwnye transactions digital humu kuna wiz sanaaa..Sema ni ule wiz mdogo mdogo ambao unahitaji kuwa makin sana kuubaini.mfano huu sasa..
Imagine humu ma bank wakiamua wanaiba shiling 100 kila week kimya kimya nani anaweza akagundua kuwa katika milion 2 zako bank wamechukua sholingi 100? Hata ukijua ni rahis ku assume kuwa inawezekana labda ni charges za kitu flan...sasa wafanye hivyo kwa watanzania milion 1 tuu kila week maana yake kila week wanaweza wakawa wanatengeneza milion 100 bure bure...
Same same applies kwenye mobile networks
Mimi leo line ya tigo imeamisha pesa bila idhini yagu kutoka tigo pesa na kuipeleka kwenye matumizi ya kawaida kisha wakaniambia nadaiwa sijui mia tatu wakati sijawai kukopa huduma yoyote wala nini ....nimeshangaa sana kutoa buku yangu kutoka tigopesa wakaipeleka kwenye vocha na kukata hiyo pesa bila ya idhini yangu
 
Umeona eehh...
 
Mkuu pole.

Unanunua umeme wa 1,500 kila baada ya siku 3, ni sawa kununua mara 10 kwa mwezi sawa na 15,000.

Nunua mara moja tu mkuu uachane na hii nunua nunua.

Ni ushauri tu mkuu.
Uwezo unatofautiana ndugu. Ikiwa rahisi kwako kununua 15,000 kwa mkupuo kuna mtu hiyo 15,000 ni ujira wake wa siku 3.

Sasa kwa ujira wa 5,000 kwa siku ananunuaje umeme kwa mkupuo??
 
Humu kwwnye transactions digital humu kuna wiz sanaaa..Sema ni ule wiz mdogo mdogo ambao unahitaji kuwa makin sana kuubaini.mfano huu sasa..
Imagine humu ma bank wakiamua wanaiba shiling 100 kila week kimya kimya nani anaweza akagundua kuwa katika milion 2 zako bank wamechukua sholingi 100? Hata ukijua ni rahis ku assume kuwa inawezekana labda ni charges za kitu flan...sasa wafanye hivyo kwa watanzania milion 1 tuu kila week maana yake kila week wanaweza wakawa wanatengeneza milion 100 bure bure...
Same same applies kwenye mobile networks
Kuna benki moja niliamua kuachana nayo kwa mambo haya. Sijui kama wamejirekebisha maana naona siku hizi hata jina wamebadili.
Kama unafanya miamala mara kwa mara siyo rahisi kugundua.
Weja pesa na ikae atleast 3 months hujaigusa ndio utagundua huko nako shida tu.
 
Yan hik kitu ni live bila shida transactions za mitandaoni hiz zina wiz wa hali ya juu sana
 
Back
Top Bottom