Wamejitahidi kuficha mwisho wamekubali kuwa Patriot Air Defense System imeshachakazwa na makombora hatari ya Urusi

mbingunikwetu

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
13,664
18,040
Wiki iliyopita Ukraine walidai kuwa wamefanikiwa kuangamiza kombora la urusi (hypersonic missile), lakini baadaye ikaonekana kuwa siyo. Na leo mji mkuu wa ukraine ulishambuliwa vibaya na ukraine ikadai imetungua makombora 6 (hypersonic missile) ya urusi kwa kutumia Patriot air defense ya Marekani. Kumbe siyo. Ila ukweli ni kwamba hiyo Patriot air defense ya Marekani ndiyo imeshambuliwa na kuharibiwa. Hatimaye Marekani kupitia CNN wamekubali kuwa Patriot air defense yao imeharibiwa japo wanadai wanaweza kuikarabati!!

But a US official later told CNN that a US-made Patriot system was likely damaged, but not destroyed, as a result of Monday’s Russian missile barrage.

The US is still assessing to what degree the system was damaged, the official said, adding that will determine whether the system needs to be pulled back entirely or simply repaired on the spot by the Ukrainians.
 
Patriot missile base in Kiev destroyed by hypersonic strike – Moscow​

The air defense system was hit by a Kinzhal rocket, the Russian Defense Ministry has said
Patriot missile base in Kiev destroyed by hypersonic strike – Moscow

The hypersonic Kinzhal missile. © Sputnik/Alexey Kudenko
A precision strike by a Russian hypersonic Kinzhal missile has destroyed a Patriot air defense system in Kiev, the Defense Ministry in Moscow reported on Tuesday. The Ukrainian government previously claimed that Kinzhal missiles had been intercepted by the US-made weapons platform.
The Russian military did not provide further details about the strike, which was the first time Moscow claimed to have hit the long-range system supplied to Ukraine by its Western backers.
Kiev reported that it had withstood a massive missile attack by Russian forces on Monday night. The Ukrainian military claimed to have intercepted six Kinzhal missiles, in addition to various other aerial targets.
The Russian ministry confirmed the attack in a daily briefing on Tuesday, stating that it had used long-range precision weapons to hit military targets, including “Ukrainian troops positions and places of storage of munitions, weapons and military hardware delivered from Western nations.”
 
Hivi hesabu ya haraka unajiseema una basi 10 una costa 100 una semi 50 una fuso 90 una haisi 200 halafu unaomba msaada kwa matajiri wenzako mkapigane na mwenye haisi 20 hapo ukweli ukoje ndo urusi muiogope ushabiki weka pembeni ujerumani ufaransa uingereza america nyingine ongeza wanapambana urusi lakini hawajafua dafu hiyo imekaaje kitaaramu
 
Baada ya shambulizi la urusi, Patriot air defense ilikoma kutoa mawimbi ya rada zake wakati mashambulizi yanaendelea. Hiyo ni ishara ya kwanza kuwa imeharibiwa. Hata Marekani pia huwa wanafuatilia mawimbi ya rada yao inapokuwa kazini. Walipoona mawimbi yamekoma ghafla, afisa mmoja wa Marekani akasema "inaelekea Patriot air defense imeharibiwa".

But a US official later told CNN that a US-made Patriot system was likely damaged, but not destroyed, as a result of Monday’s Russian missile barrage.

The US is still assessing to what degree the system was damaged, the official said, adding that will determine whether the system needs to be pulled back entirely or simply repaired on the spot by the Ukrainians.
 
Hivi hesabu ya haraka unajiseema una basi 10 una costa 100 una semi 50 una fuso 90 una haisi 200 halafu unaomba msaada kwa matajiri wenzako mkapigane na mwenye haisi 20 hapo ukweli ukoje ndo urusi muiogope ushabiki weka pembeni ujerumani ufaransa uingereza america nyingine ongeza wanapambana urusi lakini hawajafua dafu hiyo imekaaje kitaaramu
Urusi sio Iraq 🤣🤣
 
Russia jana imetangaza inatuma meli yenye shehena ya madawa,vyakula kusaidia wakimbizi wa Sudan waliokimbilia Chad!!!! zawadi na nipo serious, nitajie mradi wowote wa kijamii hapa nchini ambao upo bankrolled na Russia 🇷🇺, Zawadi ya 50k tshs itakufikia bila vikwazo
Na kwanini mnapenda misaada kutoka kwa wanaume?Unajisikiaje kuulizia miradi ambayo Iko sponsored na vidume?
 
Una matatizo na gender ?,PM wa Finland ni ke na Finland ina sponsor miradi mingi ya kijamii, inaonekana u didn't read to meaning comment yangu, Russia ni sehemu ya tatizo kubwa hasa hapa Africa, wao wanachochea vita tu
Russia kupitia magaidi wa Wagner wanaongoza operation ya wizi wa Madini.
 
Back
Top Bottom