mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,664
- 18,039
Kama kuna siku Marekani imechezewa sharubu ni leo!! Marekani hudai majeshi yake yako korea ya kusini ili kuilinda korea ya kusini dhidi ya kitisho cha korea ya kaskazini. Anga la korea ya kusini linalindwa na air defense za marekani zikiwemo Patriot air defense system na THAAD. Lakini leo drones tano (5) za Korea ya kaskazini zilivuka mpaka na kuingia korea ya kusini na kutamba kwenye anga hilo kwa masaa 7!! Kuona drones zimeingia kwenye anga lake, korea ya kusini ilituma ndege zake za kivita ili kuzishambulia bila mafanikio. Ndege za kivita za korea ya kusini zilizirushia makombora 100 lakini makombora yote hayo yaliambulia patupu!!!
Kilichoshtua sana ni kuwa drone moja ilienda mpaka pembezoni mwa anga lililo juu ya mji mkuu wa korea ya Kusini-Seoul. Ndege nyingine ya korea ya kusini ilirushwa kwenda kuongezea nguvu lakini iliishia kuanguka!! Kuona hivyo korea ya kusini ikahisi kuwa ndege yake imepigwa tochi (imeelekezewa electronic warfare na kuzidiwa), hivyo korea ya kusini ikatoa amri ndege zake za kijeshi zikiwemo za kiraia zisiruke kwa masaa kadhaa!!
Baada ya kufanya "manuva" kwenye anga la korea ya kusini kwa masaa 7 na zikafanikiwa kukwepa makombora 100 toka ndege za kijeshi za korea ya kusini, drones hizo zilirudi kwenye vituo vyake huko korea ya kaskazini zikiwa salama salimini!!
Hebu fikiri hasara iliyopata korea ya kusini: 1. Ndege yake moja ya kijeshi imedondoka na kuwaka moto japo marubani wake wawili waliruka kwa miamvuli 2. Makombora 100 ya gjarama kubwa yamerushwa bila mafanikio!! Hii imetokea siku kadhaa baada ya Marekani na Korea ya Kusini kufanya MAZOEZI ya pamoja ya KIJESHI ili kujilinda na kitisho cha Korea ya Kaskazini. Hii inaonesha kuwa Marekani haina uwezo wa kulinda anga lolote kwa uhakika!!
Kama ilishindwa kulinda anga la kituo chake cha kijeshi nchini Iraq hadi ikashambuliwa na makombora lukuki nya Iran, inabidi mtu awe anafikiri kwa kutumia tumbo kuamini kuwa Marekani inaweza kulinda kwa ukamilifu anga la nchi yoyote ikiwemo UKRAINE!!!
A South Korean Army Apache helicopter fires.
The South Korean military has said it fired more than 100 rounds at a trespassing North Korean drone on Monday, but failed to down it, according to Yonhap news agency. It is estimated that several unmanned aerial vehicles (UAV) remained in the South Korean airspace for seven hours.

Details of North Korean drone incident revealed – media
A North Korean drone ventured into its neighbour’s airspace for at least seven hours, South Korean media said, citing the militaryA South Korean Army Apache helicopter fires.